Gwajima hana pua kubwa kama ile, hana macho kama yale. Siyo Gwajima yule

Hivi kile kipande cha 705kb na kile chenye 16MB vimerekodiwa sehemu moja kweli.Au ndiyo vile watu tukiamua kubeba jambo.Kwa macho ya kawaida mimi naona ni venue tofauti kabisa na ni kitu ambacho kinaashiria kuwa "technology innovation" ndiyo imetumika kufanya "manipulation"
Picha imetengenezwa
 
Bashite ameshamzidi kete mpaka hapo halafu yeye bashite haongei yuko kima anazungumzia madeni ya marehemu anayodai,,
 
Kuna uwezekano mkubwa sio Gwaji yule....but huyo adui yake aliyetengeneza hiyo video.. amempiga apakat moja mbaya sana .......
 
Nimeangalia hiyo video na Picha zinazotumwa kwenye mitandao kumuonyesha Mtumishi wa Mungu GWAJIMA akifanya mapenzi na mwanamke akiwa chumbani nimegundua ni zakutengenezwa.. Kwanza ifahamike, Mimi sio mshirika wa Gwajima wala siandiki ili kumtetea.Mimi ni mtaalamu wa maswala ya ICT, na nimefanyakazi nyingi sana za Photoshop na Editting za picha mbalimbali

Kwanza, nimefuatilia kuhusu hiyo video, ni kweli huyo ni Gwajima Ila hiyo sauti ya mwanamke inayosikika ni sauti iliyopenyezwa haitokani na uhalisia wa tukio.

Pili, Hiyo picha inayomuonyesha Gwajima kwamba amelala juu ya mwanamke ni picha iliyotengenezwa, Ukiangalia maungo kati ya shingo na kichwa cha Gwajima kilipopachikwa utaelewa kuwa Gwajima hana shingo ndefu namna ile.Hicho kichwa kimekuwa croped kutoka katika ile video.

Tatu, Mazingira ya video inayoonyeshwa na mazingira ya picha iliyotumwa hayaendani, angalia mapazia na background zimetofautiana kabisa

Nne, Ni swala la kujiuliza maswali ya logic tu ambayo yatakupa kujua Hilo tukio Si la kweli Bali kutengenezwa. Je ni nani ambaye Gwajima angekubali ampige picha wakati anafanya mapenzi?Kama huyo mwanamke ni mchepuko wake, Je Gwajima ni kwamba hana akili mpaka akubali kupigwa picha akiwa anafanya mapenzi? Hata kama angekuwa kweli yupo na mkewe au mchepuko, isingewezekana kukubali kupigwa picha, ajipige picha ili akamuonyeshe nani?

Hizi taarifa ni za uongo kabisa zenye lengo Si tu la kumchafua na Kumshushia heshima Gwajima Bali linachafua kanisa la Mungu kwa ujumla, hata kama Gwajima humpendi au sio mchungaji wako lakini kufurahia aibu na video hizi kwa Gwajima ikiwa ni Kuutukanisha Ukristo wako pia na kumtukana Mungu.

Hivyo, Ikiwa kweli wewe ni mkristo wa kweli lazima utaukemea ushetani huu unaosambazwa na maajenti ya ibilisi kuuchafua ukristo kwa ujumla.Hivyo kushiriki kufurahia au kusambaza taarifa hizi chafu na kuanzisha mada kwenye kwa kufurahia aibu hii kwa Gwajima ujue unashiriki kazi za shetani, na wewe ni mchafu wa namna hiyo hiyo.
 
Kwa haraka ukiangalia ile picha inayosambazwa utadhani ni Gwajima, lakini kumbukeni watu huwa wanafanana. Gwajima hana shingo pana kama ile, pua kubwa kama ile, kidevu kipana na hata macho yake siyo makubwa kama yale... MUDA UTASEMA.
Mijitu kama wewe, unastahili akulawiti ndo ujue ufuasi wa mpuuzi!
 
Iwe kweli au si kweli lakini kwani gwajima yeye ni Mungu mpaka asitende dhambi? malaika tu licha ya kukaa mbinguni na kumuona Mungu uso kwa uso walitenda dhambi sembuse gwajima, yeye ni nani kwan?

sipo hapa kumhukumu hapana ila kuja na hoja ya kusema sio yeye au yeye as mtumishi wa Mungu hawezi kufanya hivyo inaleta sana ukakasi.
 
Pole sana mkuu haya mambo iwe ni ya kweli au sio mhusika lazima atakuwa amechafuliwa sana!
Hata iweje hili doa kufutika kunahitaji nguvu za ziada mkuu!
By the way mchungaji nae ni binadamu tu Kama binadamu wengine!
Hata Biblia inasema kuwa kuna wateule wengi tu walianguka kwa ajili ya wanawake!
 
hawa jamaa wanajionaga watakatifu sana na dhambi ni za watu ambao sio walokole ndio maana wana judge sana dini zingine na kujibhesabia haki.
Leta ya ukweli basi

Hata Mzee wa upako alivyoonekana kalewa waumini wake walisema sio yeye.

Walokole bwana!!!
 
Nimeangalia hiyo video na Picha zinazotumwa kwenye mitandao kumuonyesha Mtumishi wa Mungu GWAJIMA akifanya mapenzi na mwanamke akiwa chumbani nimegundua ni zakutengenezwa.. Kwanza ifahamike, Mimi sio mshirika wa Gwajima wala siandiki ili kumtetea.Mimi ni mtaalamu wa maswala ya ICT, na nimefanyakazi nyingi sana za Photoshop na Editting za picha mbalimbali

Kwanza, nimefuatilia kuhusu hiyo video, ni kweli huyo ni Gwajima Ila hiyo sauti ya mwanamke inayosikika ni sauti iliyopenyezwa haitokani na uhalisia wa tukio.

Pili, Hiyo picha inayomuonyesha Gwajima kwamba amelala juu ya mwanamke ni picha iliyotengenezwa, Ukiangalia maungo kati ya shingo na kichwa cha Gwajima kilipopachikwa utaelewa kuwa Gwajima hana shingo ndefu namna ile.Hicho kichwa kimekuwa croped kutoka katika ile video.

Tatu, Mazingira ya video inayoonyeshwa na mazingira ya picha iliyotumwa hayaendani, angalia mapazia na background zimetofautiana kabisa

Nne, Ni swala la kujiuliza maswali ya logic tu ambayo yatakupa kujua Hilo tukio Si la kweli Bali kutengenezwa. Je ni nani ambaye Gwajima angekubali ampige picha wakati anafanya mapenzi?Kama huyo mwanamke ni mchepuko wake, Je Gwajima ni kwamba hana akili mpaka akubali kupigwa picha akiwa anafanya mapenzi? Hata kama angekuwa kweli yupo na mkewe au mchepuko, isingewezekana kukubali kupigwa picha, ajipige picha ili akamuonyeshe nani?

Hizi taarifa ni za uongo kabisa zenye lengo Si tu la kumchafua na Kumshushia heshima Gwajima Bali linachafua kanisa la Mungu kwa ujumla, hata kama Gwajima humpendi au sio mchungaji wako lakini kufurahia aibu na video hizi kwa Gwajima ikiwa ni Kuutukanisha Ukristo wako pia na kumtukana Mungu.

Hivyo, Ikiwa kweli wewe ni mkristo wa kweli lazima utaukemea ushetani huu unaosambazwa na maajenti ya ibilisi kuuchafua ukristo kwa ujumla.Hivyo kushiriki kufurahia au kusambaza taarifa hizi chafu na kuanzisha mada kwenye kwa kufurahia aibu hii kwa Gwajima ujue unashiriki kazi za shetani, na wewe ni mchafu wa namna hiyo hiyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umemaliza kutoa utetezi wako?
Haya nenda kalale sisi tunaendelea kuburudika na video ya Gwajiboy
 
Wanakanisa naona mpo usiku kucha kumtetea....

Kwann isiwe yake? Hata kama ni ya muda kidogo...ila ilikuwa sehemu ....

Kwann kumkatalia sio yake?
Ngono ni isue ya kibiolojia kila mtu anafanya ila tatizo ni kupost picha.

Hatuna tatizo na Mungu wake....atamwambia nn.....watajuana.....tatizo ni kwamba inachafua jamii.

Kuna kafara za ngono hatujui yeye na imani yake.....

Usiseme mwanamke hajaonekana sura....jee kama ilikuwa wamekubaliana irekodiwe ndo maana akakosa uhuru?
Jee kama alifanya ngono akiwa na woga flan.... ukizingatia yule ni askofu mkuu

Cha msingi tulia fanya mambo yako
 
Nimeangalia hiyo video na Picha zinazotumwa kwenye mitandao kumuonyesha Mtumishi wa Mungu GWAJIMA akifanya mapenzi na mwanamke akiwa chumbani nimegundua ni zakutengenezwa.. Kwanza ifahamike, Mimi sio mshirika wa Gwajima wala siandiki ili kumtetea.Mimi ni mtaalamu wa maswala ya ICT, na nimefanyakazi nyingi sana za Photoshop na Editting za picha mbalimbali

Kwanza, nimefuatilia kuhusu hiyo video, ni kweli huyo ni Gwajima Ila hiyo sauti ya mwanamke inayosikika ni sauti iliyopenyezwa haitokani na uhalisia wa tukio.

Pili, Hiyo picha inayomuonyesha Gwajima kwamba amelala juu ya mwanamke ni picha iliyotengenezwa, Ukiangalia maungo kati ya shingo na kichwa cha Gwajima kilipopachikwa utaelewa kuwa Gwajima hana shingo ndefu namna ile.Hicho kichwa kimekuwa croped kutoka katika ile video.

Tatu, Mazingira ya video inayoonyeshwa na mazingira ya picha iliyotumwa hayaendani, angalia mapazia na background zimetofautiana kabisa

Nne, Ni swala la kujiuliza maswali ya logic tu ambayo yatakupa kujua Hilo tukio Si la kweli Bali kutengenezwa. Je ni nani ambaye Gwajima angekubali ampige picha wakati anafanya mapenzi?Kama huyo mwanamke ni mchepuko wake, Je Gwajima ni kwamba hana akili mpaka akubali kupigwa picha akiwa anafanya mapenzi? Hata kama angekuwa kweli yupo na mkewe au mchepuko, isingewezekana kukubali kupigwa picha, ajipige picha ili akamuonyeshe nani?

Hizi taarifa ni za uongo kabisa zenye lengo Si tu la kumchafua na Kumshushia heshima Gwajima Bali linachafua kanisa la Mungu kwa ujumla, hata kama Gwajima humpendi au sio mchungaji wako lakini kufurahia aibu na video hizi kwa Gwajima ikiwa ni Kuutukanisha Ukristo wako pia na kumtukana Mungu.

Hivyo, Ikiwa kweli wewe ni mkristo wa kweli lazima utaukemea ushetani huu unaosambazwa na maajenti ya ibilisi kuuchafua ukristo kwa ujumla.Hivyo kushiriki kufurahia au kusambaza taarifa hizi chafu na kuanzisha mada kwenye kwa kufurahia aibu hii kwa Gwajima ujue unashiriki kazi za shetani, na wewe ni mchafu wa namna hiyo hiyo.
ICT feki hiyo. Ndo maana tunataabishwa na elimu zenu za kishenzi tu! ICT gani hiyo inayokufanya usione mkono wa muhusika akijirekodi mwenyewe? Halafu unaanza kujiuliza maswali kama kijana wa kindergarten. Eti Gwajina akubali kurekodi, sijui ni mchungaji, na bhla! Bhla! kibao. Acha kutuletea upuuzi wako hapa.

Kama uliamini Gwajima atakupeleka Mbinguni, sasa elewa ataanza kukulawiti.
 
Back
Top Bottom