Renegade
JF-Expert Member
- Mar 18, 2009
- 7,221
- 6,940
Kuna mtu alikuwa anajaribu kutofautisha mandhari na Mimi nikawa naweka sawaKwani alitombania juu ya mapazia au kitanda kilitandikwa mapazia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mtu alikuwa anajaribu kutofautisha mandhari na Mimi nikawa naweka sawaKwani alitombania juu ya mapazia au kitanda kilitandikwa mapazia?
Picha imetengenezwaHivi kile kipande cha 705kb na kile chenye 16MB vimerekodiwa sehemu moja kweli.Au ndiyo vile watu tukiamua kubeba jambo.Kwa macho ya kawaida mimi naona ni venue tofauti kabisa na ni kitu ambacho kinaashiria kuwa "technology innovation" ndiyo imetumika kufanya "manipulation"
yule aliyetekwa na watu wasiojulikana na atauawa mda wowoteMkuu mdude ndio nani?
Mijitu kama wewe, unastahili akulawiti ndo ujue ufuasi wa mpuuzi!Kwa haraka ukiangalia ile picha inayosambazwa utadhani ni Gwajima, lakini kumbukeni watu huwa wanafanana. Gwajima hana shingo pana kama ile, pua kubwa kama ile, kidevu kipana na hata macho yake siyo makubwa kama yale... MUDA UTASEMA.
Leta ya ukweli basi
Hata Mzee wa upako alivyoonekana kalewa waumini wake walisema sio yeye.
Walokole bwana!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimeangalia hiyo video na Picha zinazotumwa kwenye mitandao kumuonyesha Mtumishi wa Mungu GWAJIMA akifanya mapenzi na mwanamke akiwa chumbani nimegundua ni zakutengenezwa.. Kwanza ifahamike, Mimi sio mshirika wa Gwajima wala siandiki ili kumtetea.Mimi ni mtaalamu wa maswala ya ICT, na nimefanyakazi nyingi sana za Photoshop na Editting za picha mbalimbali
Kwanza, nimefuatilia kuhusu hiyo video, ni kweli huyo ni Gwajima Ila hiyo sauti ya mwanamke inayosikika ni sauti iliyopenyezwa haitokani na uhalisia wa tukio.
Pili, Hiyo picha inayomuonyesha Gwajima kwamba amelala juu ya mwanamke ni picha iliyotengenezwa, Ukiangalia maungo kati ya shingo na kichwa cha Gwajima kilipopachikwa utaelewa kuwa Gwajima hana shingo ndefu namna ile.Hicho kichwa kimekuwa croped kutoka katika ile video.
Tatu, Mazingira ya video inayoonyeshwa na mazingira ya picha iliyotumwa hayaendani, angalia mapazia na background zimetofautiana kabisa
Nne, Ni swala la kujiuliza maswali ya logic tu ambayo yatakupa kujua Hilo tukio Si la kweli Bali kutengenezwa. Je ni nani ambaye Gwajima angekubali ampige picha wakati anafanya mapenzi?Kama huyo mwanamke ni mchepuko wake, Je Gwajima ni kwamba hana akili mpaka akubali kupigwa picha akiwa anafanya mapenzi? Hata kama angekuwa kweli yupo na mkewe au mchepuko, isingewezekana kukubali kupigwa picha, ajipige picha ili akamuonyeshe nani?
Hizi taarifa ni za uongo kabisa zenye lengo Si tu la kumchafua na Kumshushia heshima Gwajima Bali linachafua kanisa la Mungu kwa ujumla, hata kama Gwajima humpendi au sio mchungaji wako lakini kufurahia aibu na video hizi kwa Gwajima ikiwa ni Kuutukanisha Ukristo wako pia na kumtukana Mungu.
Hivyo, Ikiwa kweli wewe ni mkristo wa kweli lazima utaukemea ushetani huu unaosambazwa na maajenti ya ibilisi kuuchafua ukristo kwa ujumla.Hivyo kushiriki kufurahia au kusambaza taarifa hizi chafu na kuanzisha mada kwenye kwa kufurahia aibu hii kwa Gwajima ujue unashiriki kazi za shetani, na wewe ni mchafu wa namna hiyo hiyo.
ICT feki hiyo. Ndo maana tunataabishwa na elimu zenu za kishenzi tu! ICT gani hiyo inayokufanya usione mkono wa muhusika akijirekodi mwenyewe? Halafu unaanza kujiuliza maswali kama kijana wa kindergarten. Eti Gwajina akubali kurekodi, sijui ni mchungaji, na bhla! Bhla! kibao. Acha kutuletea upuuzi wako hapa.Nimeangalia hiyo video na Picha zinazotumwa kwenye mitandao kumuonyesha Mtumishi wa Mungu GWAJIMA akifanya mapenzi na mwanamke akiwa chumbani nimegundua ni zakutengenezwa.. Kwanza ifahamike, Mimi sio mshirika wa Gwajima wala siandiki ili kumtetea.Mimi ni mtaalamu wa maswala ya ICT, na nimefanyakazi nyingi sana za Photoshop na Editting za picha mbalimbali