Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE


Another typical mfuasi wa Gwajima.

Hebu onyesha mimi niliposhangilia, tafadhali sana.
 
Gwajima anajua kufyatuka acha kabisa. Jamaa angu gwajima tuliza bolu kwanza aisee
 
.... Mkuu tatizo ni kwamba nyati unapoamua kupambana naye make sure risasi utakayopiga inaamuuwa once and for all... But kama utaishia kumjeruhi wallah hilo unalo, nyati aliyejeruhiwa ni very dangerous.
 
mkumbuke naye ni mwanadamu kuna wakati anapata hisia za kibinadamu ila kuna wakati hisia za kiuchungaji zinakuja yeye si sawa na mesiah.
 
Makonda sijui anajisiiaje naimagine ningekuwa mm

Ugali moto mboga moto na najaribu kuwaza kwa sauti huwa nikipata kashikashi kidogo naomba ardhi ipasuke nizame. Sasa hili la Makonda ukiachilia yeye mwenyewe hakika kama haya mambo ni kweli yuko katika wakati mgumu sana .
 
Nilikwambia jana kwamba unafanya utetezi ukanibishia. Kuna kitu unaficha nyuma ya pazia Nyani Ngabu. Hisije kuwa ukada au ukanda

Ninachokitetea kimekuzidi upeo. Huwezi kukielewa.

Ndo maana unaona kama namtetea Makonda.

Ila sikulaumu maana sasa nimeshaanza kupata mwanga nyie wafuasi wa Gwajima ni watu wa aina gani.
 
Well spoken lakini huyo unayemtetea naye si ni mkristo au yeye mkristu ?
 
Gwajima hatakagi mchezo, ANAMCHAMBA MTU NAKUBAKISHIA AKIBA, HIYO AKIBA NDIO ANAKUPA MASHARTI, YA KUTOKUJIBU NONDO ZAKE, NA KUKUONYA UKINIJIBU, NDIO HIYO AKIBA NAIMALIZIA NA KUKUMALIZA.
Nakumbuka sharti kama hilo kali tii Mzee Slaa kwenye issue yakumwambia Gwajima ni Mshenga wangu kwa lowassa, mbona Mzee, kafyata mkia.
 
Hata mimi najiuliza anakuwa vipi kiongozi wa dini, huku akiwa na maneno na kujibizana na watu bila staha?

Nadhani huyu jamaa anafanya kazi tofauti wito wake wa uchungaji.

Hebu linganisha comportment ya Mbowe na ya huyo Gwajima tokea hili saga lianze....
 
Ninachokitetea kimekuzidi upeo. Huwezi kukielewa.

Ndo maana unaona kama namtetea Makonda.

Ila sikulaumu maana sasa nimeshaanza kupata mwanga nyie wafuasi wa Gwajima ni watu wa aina gani.
Huwezi kukwea na kulingana na upeo wangu. Nyamaza kama huna cha maana kutwambia
 
Ukikinukisha kwa wenzio wao lazima wakichefue kwako.
 
Gwajima una bahat sana mi sio Makonda. Upuuzi unaofanya ningekuwa RC na serkali ndo ungejua maana ya utawala. Unajarib kushika sharubu za simba kisa amelala. Kuna uwezekano ndo unajipoteza mazma na mirija ya kupatia za mkate wa kila siku ikakatwa kwa njia ambayo hutaamini milele. Rudi nyuma kidogo upate kuishi vizuri katika upigaji wa kikanisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…