TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,815
Ngigana nakuunga mkono 100℅, kunawatu wanakalili maandiko eti 7×70, Mungu mwenyewe mpaka Leo kashindwa kumsamehe Shetani , je Yesu nae alimsamehe Yuda Iskariote? Nabii Musa naye akatembeza mapanga kwa waabudu ndama woote 3000.Makonda aweke vyeti mezani .Wametusumbua sanaa hawa jamaa kwenye uhakiki wa vyeti sinahata hamu nao!
Yesu alipopigwa HAKUTISHANajua Mchungaji Josephat Gwajima upo hapa JF.
Tumepata taarifa jumapili ijayo kuna wageni watatoka Kolomije village kuja kuongea na familiya ya wana Ufufuo,tumesikia wengine ni waalimu waliomfundisha Mh Makonda na wengine ni wanakijiji.
Naomba nikuombe neno moja,samehe na kusahau kwa kuwa ndio tulioitiwa,waendao katika mwili hawawezi kumpendeza Mungu,wewe ni mtu mkubwa katika jamii na unaheshimika,hivi unaweza kufundisha somo la kumsamehe adui yako?
Naomba uwe mfano wa kuigwa ili usipoteze kondoo unao waongoza,kumbuka maneno ya Yesu,akulazimishae kutembea maili moja tembea nae mbili,na akuny,ang,anyae koti mwachie na shati.
Asante kwa mchango SAAAAAFFIIIIIKuna Nyakati Hata Binadamu Anachukizwa Na Visa Vya Watu Waovu, Kama Ni Kweli Makonda Alitumia Vyeti Vya Kughushi Na Akapata Nafasi Anayoitumia Kufanya Uovu Kwa Watu Hivyo Anastahili Kukemewa Kwa Kauli Moja Na Watu Wote Wenye Mapenzi Mema Na Imani Kwa Mungu.
Pia Wachungaji Wana Nafsi Kama Binadamu Wa Kawaida, Na Shambulio La Mchungaji Ni Shambulio La Kanisa. Hata Yesu Akiwafundisha Watumishi Wake Somo La Imani Kupitia Pale Alipoona Njaa Wakati Anaelekea Mjini (Bethania) Akaona Mti Kando Ya Njia Akauendea Na Asione Kitu Juu Yake Ila Majani Tu Akakemea Yasipatikane Matunda Kwako Tangi Leo Hata Milele. Mti Ukanyauka Mara.
Kwa Tafsiri Rahisi Yesu Alitegemea Matunda Kwenye Mti Ule Na Alipokuta Hamna Kitu Akashikwa Na Hasira Akakemea Mti. Lakini Akatumia Kitendo Kile Kufundisha Imani. Sasa Makonda Anafundishwa Nguvu Za Wachungaji Ili Atambue Nguvu Ya Imani Kwa Mungu Aliye Mkuu Asiwe Anapenda Kuchafua Makanisa Kwa Manufaa Yake Binafsi.
Hata Yesu Alipatwa Na Hasira Pale Ekalu La Bwana Lilipogeuzwa Soko Watu Wakawa Wanafanya Biashara, Yasiyo Ya Haki na Wizi. Ndiyo Maana Aliwafukuza Pale Si Mahali Pake Pa Kufanya Mambo Yale. Hata Makonda Ile Ofisi Aliyopewa Ni Kwa Huduma Wala Si Visasi Na Kuweka Watu Polisi Kiholela Holela Tu. Mamlaka Na Ofisi ZaSerikali Lazima Ziheshimiwe
Unajua nyie Gwajima fanboys mnachekesha sana.
Mpaka sasa hamna ushahidi wowote ule juu ya tuhuma mnazozishabikia.
Mnasukumwa na hisia tu. Chochote kijitokezacho ambacho kwenye akili zenu mnaona kinammulika vibaya Makonda basi mnaruka ruka tu kama vikinda vya sungura.
Sasa hivi chochote atachoropoka Gwajima mnameza tu. Hakuna cha kuhoji wala kuuliza.
Sasa wewe hapa eti nawe unakuja kunihoji kama nilimkanya Makonda...nimkanye kwani mi babake?
Endeleeni ni huo ujinga wenu wa kishabiki.
Aisee, Gwajima anakosea sana kwa kuitunishia serikali misuli kwa mwamvuli wa Kanisa, Biblia na U-askofu wake.
Unaelewa, huwa naandika hapa JF kwa kifupi sana wakati mwingine wenye akili wanaelewa ila waliokwisha jazwa upupu wa dini za kigeni zote huwa hawaelewi.
Mfano, Manji aliitunishia sana misuli serikali siku nyingi sana mfano, mwaka 2005 katika serikali ya awamu ya nne (4) juu ya NSSF deal na Ufukwe na kila mtanzania mwenye nia safi kwa Watanzania alielewa kabisa kuwa Manji anaelekea kukwaa jabali sasa hivi habari yake kwisha kabisa.
Sasa, Gwajima naye anaelekea uelekeo ule ule wa Manji.
"No matter he is a bishop or he calls himself as a Bishop, Dr. or whoever he calls himself!
A state will never accept 'the opium of people' to distabilize the fight against drugs and drug lords" The interests of the state always will prevail no matter what it cost to be attained!
For further details refer: Carl Max and Realism Theory By David.
"Time is a Good' Teacher"
gwajima nachafua dhana ya viongozi wa dini na haswa haswa [HASHTAG]#wachungaji[/HASHTAG] ...... mchungaji kama gwajima ni bure kabisa
Ruksa... Karibuni mpate kitu mubasharaSie wa imani nyingine ruksa kija kucheki hili movie mubashara?maana kuhadithiwa ni ukakasi!
Gwajima ya Mungu mpe Mungu ya Kaisari mpe kaisariNajua Mchungaji Josephat Gwajima upo hapa JF.
Tumepata taarifa jumapili ijayo kuna wageni watatoka Kolomije village kuja kuongea na familiya ya wana Ufufuo,tumesikia wengine ni waalimu waliomfundisha Mh Makonda na wengine ni wanakijiji.
Naomba nikuombe neno moja,samehe na kusahau kwa kuwa ndio tulioitiwa,waendao katika mwili hawawezi kumpendeza Mungu,wewe ni mtu mkubwa katika jamii na unaheshimika,hivi unaweza kufundisha somo la kumsamehe adui yako?
Naomba uwe mfano wa kuigwa ili usipoteze kondoo unao waongoza,kumbuka maneno ya Yesu,akulazimishae kutembea maili moja tembea nae mbili,na akuny,ang,anyae koti mwachie na shati.
CHADEMA ndiyo wanaoshabikia hayo ya vyeti.Chadema imetokea wapi? Mleta mada kuna sehemu ameitaja chadema?
Kati ya watu ambao huwa hawakurupuki ni Gwajima, Jamaa anaongeaga kwa fact saana.Kweli kosa vyote ila usikose upeo.! Umeambiwa we ni shoga si mfungulie mashtaka alokuambia wewe shoga ili ukweli upatikane?! Sasa BASHITE kaambiwa aliprove EARTH IS SPHERE yaani aligonga FWE FWE zoote ila alitumia vyeti visivyo vyake sasa si ajitokeze aoneshe vyeti ili tujue ya kwamba GWAJIMA ni Askofu muongo na mzandiki asiye na haya.?!
Hapa ndo Faiza huwa anawaambia sijui huko shule mlienda kusomea ujinga.?!
Najua Mchungaji Josephat Gwajima upo hapa JF.
Tumepata taarifa jumapili ijayo kuna wageni watatoka Kolomije village kuja kuongea na familiya ya wana Ufufuo,tumesikia wengine ni waalimu waliomfundisha Mh Makonda na wengine ni wanakijiji.
Naomba nikuombe neno moja,samehe na kusahau kwa kuwa ndio tulioitiwa,waendao katika mwili hawawezi kumpendeza Mungu,wewe ni mtu mkubwa katika jamii na unaheshimika,hivi unaweza kufundisha somo la kumsamehe adui yako?
Naomba uwe mfano wa kuigwa ili usipoteze kondoo unao waongoza,kumbuka maneno ya Yesu,akulazimishae kutembea maili moja tembea nae mbili,na akuny,ang,anyae koti mwachie na shati.
Kabisa mkuu, hata Yesu alisema apandacho mtu ndicho avunacho. Alichopanda Makonda ndicho atakachokwenda kuvuna. Amen!Jino kwa jino,hatutaki mambo kama ya yesu ukipigwa shavu ili et ugeuze na lingine.hiyo itakua ni funzo kwa wengine wafanye kazi kwa weledi,sio kuwapakazia watu.nae atulie,maana wakati anawataja watu mbele ya waandishi wa habari,tulikua tumetulia.