Yiyu Sheping
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 1,720
- 850
Ndo maana nilikujibu kuwa huyo wa Uganda na siasa za huko haviendani na hiki kinachoendelea.
Hata hivyo, vita haiwezi kuwepo kama upande wa pili haujaamua vita iwepo.
Hofu hii ingewatia na pro-bashite wote wamwambie bashite aweke vyeti mezani ili kukata mzizi wa kinachoweza kutokea baadaye.
Bashite weka vyeti mezani ili hiyo vita isitokee.
Tatizo lako umezoea kuona viongozi wanafiki nafiki kama kina mapengo na Yule wa mkoa wa Dar, Gwajima anatimiza kauli mbiu ya raisi wetu "Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu" ifike mahali lazima viongozi wa Dini wapambanue ukweli uliopo bila ya kujali watamuumiza nani, tumpe support Gwajima ili ukweli ufahamike na kama ni uongo ufahamike pia .....ya Mungu ampe Mungu ya bashite awasimulie watanzania wauone ukuu wa Bwana hahahahaaakatika viongozi wote wa dini niliowahi kuwasikia na kuwaona,hakuna mpuuzi na mtu wahovyo kamma huyu bwana ,anaacha kuhubiri neno la mungu anageukia kwenye mipasho na hao mazuzu wake utamsikia wanamshangilia,
viongozi wa makanisa yanayotambulika kama RC,LUTHERAN,na baadhi mengine huwezi wasikia wanahubiri upuuzi au chuki zidi ya binadamu mwingine,lakini haya makanisa yanayoota kama uyoga yasiyojulikana hata chimbuko lake ni wapi,ndo hao aina ya hoyo bwana !!mpuuzi!!Tatizo lako umezoea kuona viongozi wanafiki nafiki kama kina mapengo na Yule wa mkoa wa Dar, Gwajima anatimiza kauli mbiu ya raisi wetu "Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu" ifike mahali lazima viongozi wa Dini wapambanue ukweli uliopo bila ya kujali watamuumiza nani, tumpe support Gwajima ili ukweli ufahamike na kama ni uongo ufahamike pia .....ya Mungu ampe Mungu ya bashite awasimulie watanzania wauone ukuu wa Bwana hahahahaaa
Fundisho hilo lipo agano la kale ambalo watu wa Agano jipya waliokombolewa huwa hawafanyi malipizo maana vita ni ya BwanaBiblia inasema ukipigwa kofi shavu la kushoto geuza na la kulia lakini imekaa kimya akiendelea kukupiga ufanyeje.
Mimi ccm mfwaa ila nashabikia Daud ashikishwe adabu KilazaCHADEMA ndiyo wanaoshabikia hayo ya vyeti.
Urahisi wa kufanya mojawapo utategemea na malengo ya mwenye kutenda jambo usika.Kipi rahisi kupeleka vyeti feki ulivyo navyo kwenye ofisi yako katika malaka husika au kupiga poropoganda za kisiasa kwa mgongo wa vyeti feki kwenye madhabahu ya kanisa? Halafu unajifanya huelewi kilicho jificha nyuma ya vyeti feki.
Hili la vyeti feki ni fursa tu imejitokeza ili watu waendeleze agenda zao. Na bahati mbaya sana wenye mamlaka hawaoni kwamba kuvuta miguu kwao katika kulitafutia ufumbuzi ndio faida kwa mahasimu wao. Mbaya zaidi ni kuwa kuaminiwa kwao na wanao wa ongoza kuna pungua. Wananchi wataanza kukosa imani juu yao.
Na washawasha!
Urahisi wa kufanya mojawapo utategemea na malengo ya mwenye kutenda jambo usika.
Ishu ya jina la huyu jamaa na elimu yake haijaanza baada ya yeye kuanzisha vita dhidi ya dawa za kulevya hadi kumtaja Gwajima. Watu walianza kitambo tu.
Kwa ninavyoelewa mimi, agenda nyuma ya vyeit feki ilianzishwa na Rais ili kuwaondoa vi.laza kt sekta za umma. Ajenda hii ilikusudia kuwa watumishi wa umma wenye uadilifu.
Kuna watu wametimuliwa kazini wengine wamekmbia wenyewe na wengine hadi sasa wamapata magonjwa ya moyo au stroke, kisa vyeti feki. Je, kulikuwa ajenda nyingine zaidi ya hii nyuma ya vyeti feki?
Kwa nini ionekane kwa huyu jamaa kumkomalia vyeti feki ni dalili ya kuwa na ajenda nyingine nyuma yake?
Unajua kabisa mamlaka husika hazitaki kuzungumzia kabisa habari za huyu Bashite. Nafasi ya Watumishi wa Mungu ktk kukemea maovu iko wapi?
Njia nyepesi ya kuutatua mgogoro huu ni pamoja na hizi zifuatazo:
Kuhusu kuwaamini viongozi wangu nilishabakiza 30% toka uchauzi umalizike na kuipata serikali hii.
- Mtuhumiwa athibitishe kwenye mamlaka husika kuwa jina analolitumia ni lake kwa kuonesha vyeti vyake (cha kuzaliwa na sekondari)
- Mamlaka husika ziujuze umma kuwa jamaa yuko clean ktk hili au la. Kama kuna udanganyifu, atumbuliwe kama wengine tu.
Bashite! Bashite! Bashite! Weka vyeti vyako mezani utuondolee kiungulia bhana
Acha uchama bhana. WaKati Gwajima amatajwa wengine mlimshambulia (samahani kama wewe si mmoja wao) mlidhihaki sana tu. Hamkuona Makonda anavuruga dini kwa sababu anapambana na dawa za kulevya ili kuiokoa jamii.CHADEMA ndiyo wanaoshabikia hayo ya vyeti.
Acha uchama bhana. WaKati Gwajima amatajwa wengine mlimshambulia (samahani kama wewe si mmoja wao) mlidhihaki sana tu. Hamkuona Makonda anavuruga dini kwa sababu anapambana na dawa za kulevya ili kuiokoa jamii.
Leo Gwajima anapambana na watu wasiowaadilifu mnamshambulia eti anaingiza siasa kanisani.
Ishu ya vyeti feki ilianzishwa na fisiemu. Leo ameshikwa pabaya mtu wenu mnaililia chadema.
Muda ulioutumia kusoma uzi huu ungeamua kumshauri Bashite kuweka vyeti mezani tungehamia kwa Salma.
Bavicha bana kwa uzushi...Mimi ccm mfwaa ila nashabikia Daud ashikishwe adabu Kilaza
Mimi wa lumumba ila David Atoe vyeti hadharanBavicha bana kwa uzushi...
Obviously huyu sio mtumishi wa Mungu na wala hajaokoka achana naye.You are wasting your precious time.Najua Mchungaji Josephat Gwajima upo hapa JF.
Tumepata taarifa jumapili ijayo kuna wageni watatoka Kolomije village kuja kuongea na familiya ya wana Ufufuo,tumesikia wengine ni waalimu waliomfundisha Mh Makonda na wengine ni wanakijiji.
Naomba nikuombe neno moja,samehe na kusahau kwa kuwa ndio tulioitiwa,waendao katika mwili hawawezi kumpendeza Mungu,wewe ni mtu mkubwa katika jamii na unaheshimika,hivi unaweza kufundisha somo la kumsamehe adui yako?
Naomba uwe mfano wa kuigwa ili usipoteze kondoo unao waongoza,kumbuka maneno ya Yesu,akulazimishae kutembea maili moja tembea nae mbili,na akuny,ang,anyae koti mwachie na shati.
Mkuu usisahau sadaka, maana sadaka yako ni muhimu kwa kazi ya Bwana.Lazima niende kanisani kwa gwajima.itakuwa sa ngapi jamani?
We jamaa kwa mawazo hayo ya woga..ndio maana tunakandamizwa kidhalimu na watawala...mbele ya sheria hakuna aliye juu ya sheria.Anazidi kujichimbia kwenda chini zaidi pale anapopambana na walio kwenye mpini wakati yeye kashika makali ya upanga pande zote mbili.