Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

Gwajima alikosea sana. Hili jambo la mwalimu wa Kolomije hakupaswa kulitangaza.
Angekaa kimya iwe kama surprise na hakika hili lingekuwa pigo takatifu kwa DAB.
Kama ni jeneza basi ungekuwa msumari wa mwisho.
Umewaza kama Mimi, but inawezekana ulikua Ni treak Tu ya kumtisha adui, huenda aliwaza Tu akilini ILA in reality hakuna ugeni huo. Ngoja tusubiri Leo ndio jumapili yenyewe, MSALIMIE JAMAA.
 
°°mwachie na shati°°!!! Kitabu gani kimeandikwa hivyo? Unapotosha wewe. Lete fungu hilo hapa tusome sote.

Nina wasuwasi huenda wewe ni bashite umeamua kuja kwa sitaili hiyo. Kumbuka kila ovu litafunuliwa duniani.
 
Shida nn yeye anaongea na familia yake wajue nn chanzo na sababu ya yeye kusakamwa.Km ni uongo akastakiwe.Tusitumie mamlaka kuumiza wenzetu wakati mwingine mambo ugeuka.
 
Gwajima halipizi kisasi, anasema ukweli kuhusu uovu wa ndg yetu Bashite, au kusema ukweli ni dhambi?
 
Hivi Baba askofu atakuwepo kanisani Leo? Maana nilisikia polisi walimkamata tena .. Nataka nikasali pale ubungo leo
 
Kanisa limefurika mapema. Waumini wanasubiri kwa hamu the man from call me j. Utadhani second coming imewadia.
 
Unajua ukiwa na sifa sitahiki, wala huwezi kuwa na wasiwasi. Ningekuwa Paulo makonda ningeweka vyeti hadharani ili waumini wasimwamini tena askofu Gwajima ila kama Paulo makonda haweki vyeti vyake hadharani hapo ndo hata mtoto mdogo ataamini kuwa Paulo makonda ni jina la ubatizo wa moto kutoka jina la Daudi Albert bashite wa koromije
 
Yaani nakumbuka enzi zile nimefiwa na mama yangu mkubwa huyu jamaa tunaenda pale anatwambia tuite jina lake atafufuka tukimuita mama mkubwa tumuite na Amina Chifupa mpakaleo hakuna kitu.

Simpendi hata kidogo
 
Yaani nakumbuka enzi zile nimefiwa na mama yangu mkubwa huyu jamaa tunaenda pale anatwambia tuite jina lake atafufuka tukimuita mama mkubwa tumuite na Amina Chifupa mpakaleo hakuna kitu.

Simpendi hata kidogo
Vipi kuhusu Paulo makonda unamwamini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…