Na wewe kwa akili yako ukajua angefufuka?Yaani nakumbuka enzi zile nimefiwa na mama yangu mkubwa huyu jamaa tunaenda pale anatwambia tuite jina lake atafufuka tukimuita mama mkubwa tumuite na Amina Chifupa mpakaleo hakuna kitu.
Simpendi hata kidogo
Kazi anayoifanya Gwajima ni kama alivyo agizwa na vitabu vitakatifu. Mpigeni shetani kwa nguvu zenu zote, akili zenu zote na uwezo wenu wote. Shetani hasa ni nani? Ndio swali la msingi la kujiuliza. Jee twaweza kusema Shetani anakaa Dar, Mwanza au China?Gwajima halipizi kisasi, anasema ukweli kuhusu uovu wa ndg yetu Bashite, au kusema ukweli ni dhambi?
Najua Mchungaji Josephat Gwajima upo hapa JF.
Tumepata taarifa jumapili ijayo kuna wageni watatoka Kolomije village kuja kuongea na familiya ya wana Ufufuo,tumesikia wengine ni waalimu waliomfundisha Mh Makonda na wengine ni wanakijiji.
Naomba nikuombe neno moja,samehe na kusahau kwa kuwa ndio tulioitiwa,waendao katika mwili hawawezi kumpendeza Mungu,wewe ni mtu mkubwa katika jamii na unaheshimika,hivi unaweza kufundisha somo la kumsamehe adui yako?
Naomba uwe mfano wa kuigwa ili usipoteze kondoo unao waongoza,kumbuka maneno ya Yesu,akulazimishae kutembea maili moja tembea nae mbili,na akuny,ang,anyae koti mwachie na shati.
Halafu Mungu anawatumishi wa aina nyingi. Hakuna nabii alikuwa anaogopwa kama Eliya..ukimchezea tu anaagiza moto, Mara simba , kumtumikia Mungu siyo kuwa mjinga mjinga
Uhusiano uliopo ni kudhihirisha kuwa huyu Paul Makonda a.k.a Daudi Bashite ni muhalifu wa taaluma ambaye anajificha nyuma ya kichaka cha" madawa ya kulevya "Ni Kweli ulicho sema! Lakini swala la Kuleta mtu kutoa ushuhuda wa vyeti vya Bashite inahusiana vipi na sakata la madawa ya kulevya? Mimi nilitegemea angeleta mtu kwa mbwembwe zote ambae angeudhihirishia uma/Jamii yakuwa Gwajima sio drug dealer! Hiki anacho kifanya Gwajima hakina tofauti na Kujikwaa mguuni then Plasta ukaenda kufunga mkononi. Japo hata Mimi swala la Mh kuweka vyeti mezani nalipigania pia lakini sio through Gwajima! Tafakari tena
Hiyo kazi ya kuthibitisha tuhuma za kuhusika ama kutokuhusika kwa Gwajima na madawa ya kulevya ni huyo aliyemtuhumu.Ni Kweli ulicho sema! Lakini swala la Kuleta mtu kutoa ushuhuda wa vyeti vya Bashite inahusiana vipi na sakata la madawa ya kulevya? Mimi nilitegemea angeleta mtu kwa mbwembwe zote ambae angeudhihirishia uma/Jamii yakuwa Gwajima sio drug dealer! Hiki anacho kifanya Gwajima hakina tofauti na Kujikwaa mguuni then Plasta ukaenda kufunga mkononi. Japo hata Mimi swala la Mh kuweka vyeti mezani nalipigania pia lakini sio through Gwajima! Tafakari tena
Ukikutwa nayo hakuna dhamana unashikiliwa,yeye yuko huru aliemtuhumu kathibitisha hilo ndo maana yuko huru,sasa tuhuma zimemgeukia ni jukumu lake kuthibitishia umma sasa kuhusu vyeti,Raha ya draft linachezwa kotekote.Ni Kweli ulicho sema! Lakini swala la Kuleta mtu kutoa ushuhuda wa vyeti vya Bashite inahusiana vipi na sakata la madawa ya kulevya? Mimi nilitegemea angeleta mtu kwa mbwembwe zote ambae angeudhihirishia uma/Jamii yakuwa Gwajima sio drug dealer! Hiki anacho kifanya Gwajima hakina tofauti na Kujikwaa mguuni then Plasta ukaenda kufunga mkononi. Japo hata Mimi swala la Mh kuweka vyeti mezani nalipigania pia lakini sio through Gwajima! Tafakari tena
Usije kuwa kama Daudi , maana hapo ndipo alipo kosea kutuhumu watu bila ushahidi na kujifanya hakimu. Na wewe endelea na uhakimu wako huoNadhani huyu mtumishi wa Mungu ni mnafiki sana. Nadhani hata huduma yake iko ukingoni.
Mrejesho[emoji120]Nimeshafika kanisani
KamuulizyeNani alisema kutakuwepo na wageni toka kijijini Kolomije??
KwahiyoooGwajima alikosea sana. Hili jambo la mwalimu wa Kolomije hakupaswa kulitangaza.
Angekaa kimya iwe kama surprise na hakika hili lingekuwa pigo takatifu kwa DAB.
Kama ni jeneza basi ungekuwa msumari wa mwisho.
Hivii.. hata wewe nawe upo upande ulee[emoji216] [emoji196] [emoji196] [emoji218] [emoji217] kumbeeHuwezi kuwa na akili timamu halafu ukawa mfuasi wa huyo tapeli. Huwezi kabisa aisee.