Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Askofu Gwajima amesema; Mwenyekiti wa CHADEMA, Lissu - aliyepigwa risasi 16 na akapona; yupo gerezani. Kuna ambao hata si watu wa CHADEMA, lakini wanamuonea huruma Lissu; je, hawa watapiga kura?
TunatikiAskofu Gwajima amesema; Mwenyekiti wa CHADEMA, Lissu - aliyepigwa risasi 16 na akapona; yupo gerezani. Kuna ambao hata si watu wa CHADEMA, lakini wanamuonea huruma Lissu; je, hawa watapiga kura?
Mavi yako ww kila kitu unakula ujinga kwa bichwa lakemi nadhan si muhimi hata kidogo kubabaika au kuwabembeleza wasusa Uchaguzi wa miaka yote🐒
Wahamie simba halafu wasiopge kura baaasiKwa taharuki iliyoibuka baada ya tajiri wa GSM kutangaza kwenye ile harambee ya mchongo kuwa Yanga imetoa mchango, ni dhahiri kuwa wananchi kwa ujumla wake wameichoka CCM na matendo yake bila kujali itikadi ya vyama.
Kwamba CCM watashinda au laa, hilo ni lao na inec yao.
Manyumbu ni yale ambayo mwenyekiti anajiteua kuwa mgombea halafu yenyewe yanapiga makofi na kisha baadae yanakuja kulalamika nje ya vikao.Leo Gwajima anawasemea chadema na chadema wanachekelea tu🤣🤣 🤣
Ndo maana wanaitwa manyumbu