Uchaguzi 2020 Gwajima moto wa kuotea mbali, aisimamisha Bunju

Sema gwanji simuelewi, yeye kila kitu atafanya kwa hela yake, hawa sio wale baadae msipomchagua ana dai vitu vyake?
 
Mimi kama mfuasi wa chadema nikiona picha hizi moyo unauma sana ,maana kwa idadi ya watu sidhani hata kama mgombea wetu lissu alifikisha nusu ya mahudhurio ya watu waliohudhuria kwa mheshimiwa Gwajima.
 
Mmetaga mapema,fuso zimebeba waumini plus wakulipwa kwa kutwa,ccm mtatema moto kawe
 
Hujui Leo ni J2 kahamishia kanisa lake hapo, tupatie picha za mkutano wake siku ya jummane
 
Nasikia anasema WanaKawe wataenda (KwaMabeberu) 'Jimbo la Birmingham-USA' -(Ambalo Halijawahi kuwepo tangia Dunia imeumbwa)

Sera ya Mbunge Mtarajiwa hiyo.

'Muhashamu' angemsamehe tu huyu bwana,
Ze Dishi izkuletaring ze chengachengaz😋
 
Hata huku Mbezi Beach hatumtaki huyo dada hajawahi kutupigania kwa lolote mwaka huu lazima tumfute kabisa jimbo la Kawe!
 
Chadema mwisho October, najua maneno magumu kuyasikia ila pokea tu
Hamkuweza kuifikisha mwisho kwa marisasi yote yale plus kamatakamata na kesi ya kutengeneza, leo ndo ifike mwisho kwa sanduku la kura? Naona unaota ndoto ya alinacha. Jifariji.
 
Waislam tunalia na gwajima, misikiti yetu
 
Jimbo la Kawe sasa linarudi Ccm rasmi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…