Uchaguzi 2020 Gwajima moto wa kuotea mbali, aisimamisha Bunju

Kikukweli watu wamesombelewa wengi wakiwa kwenye EICHER za TEGETA NYUKI- KIVUKONI, NYUKI-GEREZANI
Kwa kifupi watu wamesombeleww
 
Jioni hii nimeona daladala nyingi za Ubungo Mawasiliano ndio zimejaza watu waliotoka kwenye huo mkutano, hii inaonesha wengi wa waliohudhuria huo mkutano sio wapiga kura wa jimbo la Kawe.
 
Yaaani watu wamebebwa kutoka kwenye kanisa lake unasema watu wa jimbo la Kawe???? Kweli huna akili mleta mada, utakuwa wewe ni msukule wa Gwajima
 
Nasikia yule bibi na mkewe wameshatengewa viti maalum na Mwamba.
 
Gwajima hata sasa ameshashinda
 
Kwenye huu uchaguzi Gwajima ni kibonzo,yaani anadanganya wazi wazi!Eti wanakawe wataenda kuishi Marekani!
 
Anawakamua, Kama jinsi ambavyo nyie mnakamuliwa michango na viongozi wenu kwenye majukwaa ya kisiasa mpaka Twitter??
 
Jioni hii nimeona daladala nyingi za Ubungo Mawasiliano ndio zimejaza watu waliotoka kwenye huo mkutano, hii inaonesha wengi wa waliohudhuria huo mkutano sio wapiga kura wa jimbo la Kawe.
Ruksa kujifariji 😂
 
Nilikuwepo bunju hakukua na ajabu yoyote zaidi ya kutengeneza foleni kubwa ya magari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…