mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 1,364
- 2,396
Ni kweli nataka kuanza na sisi wananchi, njoo mtaani uone reaction ya watu kuhusu utekaji , wanadhani watu wa usalama wapo Kila kona mtaani , hivyo raia wengi wamekuwa waoga kuongea ,na ukiuliza chochote watatuambia Mimi sitaki kuongea kitu unataka nitekwe, maofisini pia watu wamekuwa waoga, unasikia wakisema wasije wakasema Mimi wa no reform no election, hata maofisini serikali Kwa Sasa wakitaka kumshughulikia mtu wanamtengenezea zengwe kuwa yeye ni WA No reform no Election.
Tunaingia Kwa mada Sasa, Nadhani tukiangalia Reaction kali ya Serikali dhidi ya Maneno ya Gwajima na Pole pole ni dhahiri kuwa , Serikali Ina mkono wake, na ukisoma vizuri kabisa kama wewe unazo angalau D mbili utaelewa.
Nataka niongee baadhi ya Maneno aliyosema Gwajima na Pole pole Kwa lugha nyepesi, na reaction ya Ikulu
Gwajima alisema"" Rais anabadilisha uongozi wa Juu wa Toss kirais Raisi Ili aweze kutimiza baadhi ya mambo yake anavyotaka sio sahihi, inamaanisha DGIS aliyekuwepo mwanzo alikataa kukubali order na kufanya mambo ya utekaji na mauaji kuridhisha Wenye madaraka hivyo akafurushwa haraka, Na hili gwajima alilijua na akalisema, gwajima pia alisema Kuna kundi la utekaji na mauaji limeundwa na Tiss na hili alisema, Sasa hizi Kauli nzo zilifanya Gwajima kutafuta na kufungiwa kabisa, kwanini unatoka Siri za Serikali.
Hivyo hivyo Kwa Pole pole, Pole pole anajua kabisa pia Kuna kikundi Cha watu huko usalamani kina Teka na kuua watu, na taarifa anapata kutoka huko huko ndani kwani yeye bado ana ma informer wengi mule. Hivyo aliamua kulimwaga, na Reaction zimeanza , Kwa wao usalama kwenda Kwa ofisi ya dada yake kumtafuta.
CCM ndani Kuna mgawanyiko mkali, hivo kutokana na huu utawala wa Kiimla uliopo ndani na nje ya CCM watu wamekuwa waoga sana , Kwa maana Futungo wanaweza kukupa kabisa au kukumaliza kifedha.
Unaambiwa hata Ile staili ya ukikosa ubunge CCM ukahamie upinzani wamepigwa Mkwara mkali na watashughulikiwa vikali, hivyo hata hao watakaokatwa hawataweza kwenda upinzani labda wawe wamejiandaa kama kina Pole pole.
Tunapoenda ni kubaya Zaidi, na vita iliyopo kati ya makundi CCm Kwa CCm ni kali kuliko vita ya CCC na Chadema, na Ya Serikali ya CCm na Wananchi.
Tutashuhudia mambo ya ajabu ambayo hayajatarajiwa na ambayo hayajawahi kutokea . Kundi moja la CCM limeshasema nchii hii Haitatawalika Kwa yanayoendelea.