Gwajimanized na Samialization ya Siasa Zetu: Serikali Imelikuza la Gwajima

Wewe Mzee vipi? Hivi unashindwa kujua kwamba hata huko uliko wachungaji na viongozi wa dini walikuwa na bado mstari wa mbele kuhakikisha dunia inawatambua watawala makatili?
 
And why should i have a business with you in either way?

If we can assume to make speculations in this forum you are just a low profile...!

..CADAVER...
The message was delivered to you; loud and clear. Move on.
 
Wewe mpumbavu niite vyovyote utakavyo it doesn't matter but the truth matters.

Kama una akili hata za kuazima tuambie baada ya sheikh Ponda kusema nini kilibadilika?
Jibu pumbavu wewe.

Ni nani anayehusika na usalama wa raia? Kama mamlaka haikemei uuaji na utekaji ni nani mwenye mamlaka ya kukemea? Jinga wewe Rais vifo vya raia anasema kama havina thamani?

Jinga wewe nani anayehusika na mauaji toeni majibu, badala ya kujibu mnataka kumkamata mnafikiri bado watanzania wamelala, vichaa nyie
 
Mtanange wa dola na Gwajima sidhani kama sababu ni kusemea utekaji, hii wala haijawashtua na haitawashtua.

Core issues ni hizi, kwanza ni rai yake kwa mamlaka ya uteuzi wa wakuu vyombo vya dola (Raisi) kuwa inateua na kutengua bila sababu za msingi, na cha pili ni ushauri aliotoa kuwa wateule hawa wakitaka kitenguliwa majina yaletwe kwenye kamati za bunge ili sababu zijadiliwe. Kumbuka anayetoa haya maneno ni mbunge, mNEC, mchungaji afu akili nyingi sio fala fala flani wa kupuuza.

SSH na watu wake, wameichukua rai ya Gwajima kama tuhuma nzito tena kwenye sector nyeti na ushauri wake umewatisha, ni jaribio la kuhafifisha au kupunguza nguvu za raisi. Hiki ndo kimefanya wasumbuke nae.
 
Hivi.. umesahau kabisa watu walisema "mama hatufokei"?
'MMM,' you're far better than this!
Ule "uzalendo" wa enzi zile uliishia wapi mkuu 'Mwanakijiji'!

These are petty issues, why should you keep them alive?

Taifa letu lina mambo mazito zaidi yanayolikabili wakati huu mkuu, kuliko kuendeleakupoteza muda na mambo ambayo yalishapita, tena yasiyo ya msingi kabisa kwa uhai wa taifa letu.

Ni nani ambaye hakuona uigizaji, ulaghai alio anza nao huyu mama. Sasa tuendelee kulaumiana wenyewe wakati tukiona anakotupeleka sipo tulipotegemea huko mwanzo?
 

..kama mamlaka hazihusiki na utekaji na mauaji ya kisiasa kwanini udhalimu huo umedumu kwa muda mrefu kiasi hiki?

..kama mamlaka hazihusiki basi zinapaswa kuwatia nguvuni watekaji, na kuwafikisha katika vyombo vya sheria.
 

..Gwajima ameshughulikiwa kwa nguvu kubwa kwasababu angeachiwa angeanzisha mtafaruku ndani ya Ccm wa kupinga utekaji, mauaji, na mauzauza mengine ya watawala.

..Kulikuwa na hatari ya wana Ccm wengine kuungana na Gwajima katika hoja ambayo watawala hawana majibu yake.

..Kuna uchaguzi wa ndani ya Ccm unakuja, wako ambao hawatafanikiwa, na kunahitajika namna ya kudhibiti hali hiyo. Mwenendo aliokuwa akienda nao Gwajima ni hatari kwa chama ambacho kinakaribia kufanya michakato ya uchaguzi wa ndani.
 
acha upotoshaji gentleman,
huyo mzinifu ameropoka drama za kizushi nonsense kabisaa,
Jifunze kua mkweli wakala wa shetani mzinifu gwajiboy 🐒
 
SSH na watu wake, wameichukua rai ya Gwajima kama tuhuma nzito tena kwenye sector nyeti na ushauri wake umewatisha, ni jaribio la kuhafifisha au kupunguza nguvu za raisi. Hiki ndo kimefanya wasumbuke nae.
Lakini si yote haya mzizi wake ni huko huko kwenye watu kutekwa/kupotezwa/kuuawa?

Hukusikia akitaja idadi ya watu 83 hadi sasa kuwa wamekumbwa na kadhia hiyo?

Mamlaka haitaki kusikia habari hizo; na wala haitaki ihusishwe kivyovyote na matukio hayo; hata kule kuyazungumzia tu, au kuyafanyia uchunguzi!
Huoni kuwa hili ni jambo la ajabu sana, na kutisha kwelikweli?

Watu wataacha kuyahusisha matukio haya na mamlaka yenyewe kwa mwitikio huu wanaouonyesha kwa Gwajima
 
..Kuna uchaguzi wa ndani ya Ccm unakuja, wako ambao hawatafanikiwa, na kunahitajika namna ya kudhibiti hali hiyo. Mwenendo aliokuwa akienda nao Gwajima ni hatari kwa chama ambacho kinakaribia kufanya michakato ya uchaguzi wa ndani.
Kumbeeee!
Hii nayo itakuwa ni 'factor' muhimu kwenye haya ya ajabu tunayo yashuhudia sasa.

Lakini, kama huko ndani ya CCM bado kuna watu wanaofikiri sawasawa; hii ni fursa muhimu sana kukinusuru chama hiki kinachoelekea kuzama.
Sitegemei hilo la kujisafisha ndani kuwaepusha na kimbunga hiki kinachotengenezwa na "No REFRM, NO ELECTION"; but at least, that gives them a chance; a lifeline to live as a political party for future battles.
Wasipochukua tahadhali, matokeo ya vyama kama UNIP, KANU yanawasubiri mlangoni.
 

Okay,a daughter of a biach will sound good.

Listen, alikuwa wapi Gwajima kipindi lisu anapigwa bullets nusu kufa in that regime?

Besides, kulikuwa na utekaji na vifo vingi sana kwa wakosoaji kipindi kile alikuwa wapi na Hawa wanaharakati uchwara?woote Hawa si walikimbia nchi?

Hakuna anaesupport utekaji,why aje Leo huyo askofu mwehu kuihusisha serikali na upumbavu wake anaousema?
 
Sisali kwa Gwajima, lakini hakuna jambo limeniuma mwaka huu kama serikali kufungia kanisa lote, na yale makanisa mikoani na kwengine takribani 2000, waumini malaki wote hao wamenyimwa haki ya kuabudu kwa sababu ya kosa moja la mtu aliyepo Dar es Salaam.

1. katiba inatoa haki ya kuabudu, hadi wapagani wana haki hiyo, ila samia anafunga kanisa. Kufunga makanisa nchi nzima kunanyima haki waumini ambao hawana kosa lolote wasiabudu, tafadhali rudisheni usajili ili nchi ikae na amani na furaha. hamuwezi kuzuia watu kuabudu au kulazimisha waabudu vile ninyi mnavyotaka.

2. Kama kuna kosa, aadhibiwe Gwajima, ndiye aliongea, sio waumini. Kanisa moja tu Dar es Salaam limekosea yeye amefuta na branches zake zote nchi nzima makanisa zaidi ya 2000, hivi msikiti mmoja ukikosea atafuta misikiti yote nchi nzima au branchez zake nchi nzima? au kwa sababu hili ni kanisa na yeye sio mkristo ndio ameamua kushughulikia wakristo?

3. Waumini wamekosa nini? makanisa mikoani, na hata hapa dsm, na hata pale ubungo, waumini wana kosa gani hata serikali iwazuie kusali?

4. nchi zenye akili zinahamasisha watu wake wamwabudu Mungu, ila samia anafunga makanisa.

5. watu tunajiuliza, ungekuwa msikiti angefunga? au amefunga kwa kuwa ni kanisa?

6. Muislam usiyemjua Mungu wa Israel utamtukanaje Mkristo kuwa ni mtumishi wa shetani?

7. wakatoliki wamekosoa, mbona hawajafutwa hapa Tanzania? au hawajasajiliwa au hawahitaji usajili. sishabikii kwamba wakatoliki washughulikiwe No, ila hoja ni kwamba mbona kuna double standards?

8. samia anafikiri kwa kutukana kanisa na kuhudhuria kwa malasusa atakuwa amejisafisha mbele ya wakristo, aliye karibu naye amshauri, ASITUGAWE WALA KUTULETEA UDINI NCHI HII.

9. samia aliikuta nchi salama haina udini, mshaurini aongoze na aje aiache ikiwa salama vilevile.

10. yote katika yote, sisi wakristo huwa hatupigani kwa majambia, mitutu na mikuki, tunapigana kwenye magoti, kwa maombi, tutamwomba Mungu na hakimu wa kweli atatoa jibu la kinini smaia anazuia waumini wa ufufuo na uzima wasiabudu; kwamba kwa sababu kanisa moja la dsm limekosea basi makanisa yooote nchi nzima 2000 yafungwe, msikiti mmoja ukikosea anaweza kuzuia misikiti mingine nchi yote? au ni kwasababu hili ni kanisa na yeye ni muislam? nia yake ni kufuta ukristo au nini? anafikiri ataweza? kama wayahudi walishindwa ataweza yeye?
 
..kama mamlaka hazihusiki na utekaji na mauaji ya kisiasa kwanini udhalimu huo umedumu kwa muda mrefu kiasi hiki?

..kama mamlaka hazihusiki basi zinapaswa kuwatia nguvuni watekaji, na kuwafikisha katika vyombo vya sheria.

Lisu alipigwa Risasi na Nani?

Chadema, mamlaka za serikali au watu wasiojulikana!?

Uliona watu wakiitaja direct kuwa serikali ndiyo imehusika?if not then why,and why vidole vielekezwe kwa Dola.
 
Lisu alipigwa Risasi na Nani?

Chadema, mamlaka za serikali au watu wasiojulikana!?

Uliona watu wakiitaja direct kuwa serikali ndiyo imehusika?if not then why,and why vidole vielekezwe kwa Dola.

..Lissu alishambuliwa katika makazi yenye walinzi wa serikali.

..siku aliyoshambuliwa walinzi wa serikali walikuwa wameondolewa.

..tangu ameshambuliwa Lissu hajahojiwa na Polisi, na waliomshambuliwa hawajakamatwa.

..kwa hoja hizo tatu naweza kusema kwamba Lissu alishambuliwa na serikali.

..Watu mbalimbali ikiwemo Lissu mwenyewe, na Mwenyekiti mstaafu Mbowe, walisema serikali ilihusika na jaribio la mauaji.
 
acha upotoshaji gentleman,
huyo mzinifu ameropoka drama za kizushi nonsense kabisaa,
Jifunze kua mkweli wakala wa shetani mzinifu gwajiboy 🐒
Yaani angekuwa ametekws na kufirwa baba yako ungeropoka haya! Au mtoto wako akopotea utaharisha upumbavu huu.....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…