Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 8,069
- 15,029
- Thread starter
-
- #41
Mazoezi ya shamba ni bora zaidi. Tatzo Mjini jembe ni peni na komputa.Sisi wengine tunaoshinda shambani tukilima na kutokwa na jasho kutwa nzima tunakomenti wapi, au hayo sio mazoezi?
Suppliments gani hizo zina madhara? Unajua hata utotoni tunapewa suppliments? Na pia suppliments ni nini?Take a good shower
Kwenye recovery inategemea na aina ya zoezi
Kula fibres kwa wingi for joints rublication
Usi pendelee sana supliments Zina side effects na preservatives.
Tafuta Natura sources, usile nyama sana hasa red meat for protein, tafuta maziwa, beans, fish na pork.
Also lala hata kama ni mchana,
Hata anayelima ukimpa chuma abebe anachemka.Hao wanao enda gym ikimpa jembe alime tuta 3 hamalizi.
Kama nakujua vile.. 🤔Napenda sana na kukimbia mara ya mwisho nilikimbia Muhas marathon
Jana nimellima hapa nyumbani km usawa wa room, aisee ni km masaa mawili mwili unaniuma balaa.Sisi wengine tunaoshinda shambani tukilima na kutokwa na jasho kutwa nzima tunakomenti wapi, au hayo sio mazoezi?
Ila ukienda gym penyewe unaweza kukesha kabisaJana nimellima hapa nyumbani km usawa wa room, aisee ni km masaa mawili mwili unaniuma balaa.
Nimelala saa nane mpk saa 12 jioni. Teh teh eeenh hii hatari
Miye home bazungukaga km bibi wa kichaga aiseee hiyo Gym sina mpango nayo. Miye nafanya kazi za home na kufunga mara nyingi fulstop.Ila ukienda gym penyewe unaweza kukesha kabisa
Kula vyakula vyenye afya ni tofauti na kuingia gym!! Malengo tofauti.Gym inanoga kama bomani kwako kusafi, ndani ya boma na nje. Kwa kufyeka, kupalilia, bustani ya mboga iliyosheheni, kupanda matunda ya kila aina na kuya trim ikihitajika, bila kusahau vi KUKU, Bata na sungura... Ukiweza maua na majani mazuri na utakayoyamudu kama pemba grass.
Hii gym itakupa hadhi ya juu kabisa kwa wanaume na siyo six pack!
Jitahidi kufanya mazoezi ya hapa na pale si lazila gym. Hata kutembea mwendo mrefu. Itakusaidia mbeleni.Miye home bazungukaga km bibi wa kichaga aiseee hiyo Gym sina mpango nayo. Miye nafanya kazi za home na kufunga mara nyingi fulstop.
Itakua ni mimi 😅😅Kama nakujua vile.. 🤔
Trainer nikimwambia mbishi anasema nadeka…!!Beba uzito mdogo ukiwa unaanza mahi pia anza na mazoezi ya viungo kabra hujafanya squat ikimaliza nyoosha viungo
Ukiona unaumia ujue unakosea mwambie train akuelekeze namna ya kufanya au angalia video hata mtandaoni
Ukisikia maumivi acha mara moja
Mazoezi ya tumbo kawaida hua yanauma ila maumivu yakizidi ongea na train wako
Ningesema kitu ila acha ninyamaze 😅😅😅 ila au basiTrainer nikimwambia mbishi anasema nadeka…!!
Kuna zoezi nilifanya mwisho akaniambia njoo nikunyooshe mgongo. Nikalalia tumbo akapanda mgongoni kwangu akanikalia kwenye bambataa akaivuta mikono yangu kwa nyuma kwa nguvu aiseee nilisikia maumivu hadi ikabidi wanieke kwenye mashine ya massage na toka hapo sikurudi tena NIKAMTUKANA 😹😹
Nikitaka zoezi la kukimbia hataki yeye anataka ya kunifanyisha yeye tu.!!
Vile nikibinuka akinishikilia miguu yeye roho yake kwatuuuuuu…!! 😹
Hivi makaveli10 na huko kwenye gym zenu kuna matrainer kama huyu?
C’mon babes em sema basi 😹😹😹Ningesema kitu ila acha ninyamaze 😅😅😅 ila au basi
Trainer akiona kalio na kiuno vimejigawa sijui anapatwa na nini wallah niache sisemi😅C’mon babes em sema basi 😹😹😹
Kuna siku alianza eti kunipiga nyama za tumbo, ghafla akahamia kwenye traco ananipiga nikamwambia “Acha ucenge” 😹😹Trainer akiona kalio na kiuno vimejigawa sijui anapatwa na nini wallah niache sisemi😅
We sio wa KINYEREZI?Itakua ni mimi 😅😅
Naomba nikujoin huko beach tufanye wote mazoezi maka 😹Mimi sio mtu wa gym, nikijisikia kufanya mazoezi basi aidha niende beach asubuhi ama nivae viatu niende kucheza mpira jioni/usiku
Huyo trainer hana lolote naona anafurahia tu hilo AFRIKA BAMBATAA😂🤣
SUnrise beach, south beach , kipepeo beach... yale ndio maeneo yangu,Naomba nikujoin huko beach tufanye wote mazoezi maka 😹
Unafanyia mazoezi beach ipi?
Bambataa lenyewe hamna basi tu trainer ana mate..!! Hataki skirt impite. 😹