Na wameshazoe kuona watu wanakufa mbele yao kwa hiyo mioyo yao imeingia ganzi hawajali tenaKuna madaktari wamejiingiza kwenye fani hiyo wakati fani yao Jeshi,
Utavumiliaje kuona mtu anakata roho mbele yako kisa rushwa?
Pesa? Pesa? Pesa?
Hamas nyingine iko huko
Taarifa nimewapelekea lakini na wao wanataka chochote wapate ndipo waipokee!Hii post ione mganga mkuu wa serikali na mkurugenzi wa hospitali ya taifa muhimbili.
Huwezi kuwa na kitu kinaitwa hospital ya taifa wakati hakiwezi kusoma taarifa kutoka hospitali za mkoa. sasa huo utaifa wamejivika wa nini?
Tema mate chiniwasomi wenye utashi wao ndo walikaa wakaona ni sahihi kuweka huo utaratibu.
kama unaona hayo masharti ni magumu kajaribu kutibiwa kwa waganga wa kienyeji
Asante kwa ushauri wako.wasomi wenye utashi wao ndo walikaa wakaona ni sahihi kuweka huo utaratibu.
kama unaona hayo masharti ni magumu kajaribu kutibiwa kwa waganga wa kienyeji
Sasa hizi ndio sehemu za kufanyia overhaul.. Huduma ya Afya sio chanzo cha Mapato.Tatizo hospital za umma zinapewa target ya kukusanya mapato kama Halmashauri na TRA, utashangaa unapiga X-ray Hosp A ukienda Hosp B wanataka upige tena na hiyo hawaitambui na wakati umetoka Government Hosp. Ni mambo ya kijinga sn
Ni shida sana.. na huenda hata Hapo Muhimbil na kule Mloganzila taarifa hazisomani.Hii post ione mganga mkuu wa serikali na mkurugenzi wa hospitali ya taifa muhimbili.
Huwezi kuwa na kitu kinaitwa hospital ya taifa wakati hakiwezi kusoma taarifa kutoka hospitali za mkoa. sasa huo utaifa wamejivika wa nini?
Mkuu wasipofikia target 90% ya makusanyo wanaitwa kwenda kujieleza ama Mkurugenzi/MOi uteuzi wake unatenguliwa na KM, ni mambo ya kijinga sn kugeuza huduma ya Afya kuwa chanzo cha mapato.Sasa hzi ndio sehem za kufanyia overhaul.. Huduma ya Afya sio chanzo cha Mapato.
Waache upumbavu kuna namna nyingi za kuchukua hela za Wananchi kwa hiari yao bila wao kuumia ni swala la ubunifu tu.
Wao wanatumia kigezo kuwa sisi hatujui kompyuta zinavyofanya kazi, tuione kompyuta kama dubwasha kuubwa la ajabu.Kitengo cha ICT naona wana watu wendawazimu.
Kufanya Uploading ya data za kwenye CD kuziingiza kwenye mfumo ni kuijaza DATABASE bila sababu ya msingi. Kwanini Daktari asiwe na files zake yeye mwenyewe bila kuwa redirected na watu wengine? Kingine faragha ya Mgonjwa ipo wapi hapo? Maana IT anaona kila kitu.
Kwa upande wa pili, kwanini hizo Hospital za rufaa zisiwe na portal ya kutuma hizo data moja kwa moja kwa daktari wa Muhimbili? Dunia inatoka ktk physical devices hasa hzi storage devices kama vile CD.
Inatakiwa Ubunifu wa hali ya juu ktk hii ishu mifumo isomane.
Kama ni hivi basi hata huduma hupewi kwa asilimia 100. Maana ukipona hautarudi.. utatibiwa kwa kupapasa juu juu tu. Ilimradi usife ila usipone. Ili kesho urudi tena.Mkuu wasipofikia target 90% ya makusanyo wanaitwa kwenda kujieleza ama Mkurugenzi/MOi uteuzi wake unatenguliwa na KM, ni mambo ya kijinga sn kugeuza huduma ya Afya kuwa chanzo cha mapato.
Muhimbili nao wanasisitiza mapato ya ndani utadhani ni halmashauri
Ni mambo ya ajabu sana kwa kweli.. au kwanini kusiwe na User portal ya Mgonjwa? Anaingia anaweka taarifa zake na kila kitu kumhusu kinabaki humo. Akienda ktk hosp nyingine wanalogin na kutrack historia ya matibabu yake.? Kuna mambo mengi ya kimfumo yanatakiwa yawe implementedWao wanatumia kigezo kuwa sisi hatujui kompyuta zinavyofanya kazi, tuione kompyuta kama dubwasha kuubwa la ajabu.
Ukisikia TRA wamekusanya sijui T kadhaa ujue na pesa za hosp zipo humo sababu wanatumia control no(GePG).Kama ni hivi basi hata huduma hupewi kwa asilimia 100. Maana ukipona hautarudi.. utatibiwa kwa kupapasa juu juu tu. Ilimradi usife ila usipone. Ili kesho urudi tena.
Kazi tunayo..Ukisikia TRA wamekusanya sijui T kadhaa ujue na pesa za hosp zipo humo sababu wanatumia control no(GePG).
Kama kulipa mbona nimekwisha lipia kupitia hiyo Ct-scan! Kwanini nilipe tena na tena?Ukisikia TRA wamekusanya sijui T kadhaa ujue na pesa za hosp zipo humo sababu wanatumia control no(GePG).
Ni mambo ya kijinga sanaKazi tunayo..
Nijuavyo mimi lazima waiingize kwenye mfumo wa Muhimbili , ili iwe kwenye systems zao, Hospitali nyingine wanamfumo wao na Muhimbili wanamfumo wao. kwanini hospital X wa Kucharge CT scan hali hawana utaalamu wa kusoma? Wakikuoa rufaa Muhimbili kisheria wanahitaji wakupime upyaWaziri wa Afya ninaandika hili kwa uchungu mkubwa na majuto ya kujitawala, mimi ninaumwa nilikwenda hosipitali ya mkoa nikafanya X-Ray na Ct-Scan, kisha nikapewa rufaa kwenda Muhimbili.
Nimeenda Muhimbili tarehe 9/11/2023 nikiwa na CD ya Ct-Scan ili daktari aicheze kuona tatizo langu, daktari hawezi kuicheza mpaka niipeleke ICT eti waikopi waiweke kwenye mfumo wa Muhimbili!
Na ili waikopi ninatakiwa nilipe sh 86,000/=? Bila hivyo nikae na CD yangu nikafilie mbali, sina hela hiyo na pia sioni uhalali wa malipo hayo kwani hiyo CD ukiweka kwenye kompyuta inafunguka haihitaji uchawi wowote ule.
Mhe. Waziri walionipa CD hiyo ni hospitali ya Serikali na niligharamia hiyo Ct- Scan kwa ajili ya madaktari wajue tatizo langu na si kwa ajili yangu binafsi ya kutengeneza Bongo muvi, hiyo CD kwangu mimi ni nyangarakasha kwani sina utaalamu wa kuisoma na nimeingia hasara ya kufanya Ct- Scan.
Kwaheri kuonana ni majaliwa.
Hapo umelipa Hosp A, ukienda Hosp B unaanza upya na wakati madaktari ni walewale na vifaa ni vilevile, lengo ni mapato mkuu.Kama kulipa mbona nimekwisha lipia kupitia hiyo Ct-scan! Kwanini nilipe tena?
Kwahiyo nako nifanye Ct-scan upya! Bora nife tu.Nijuavyo mimi lazima waiingize kwenye mfumo wa Muhimbili , ili iwe kwenye systems zao, Hospitali nyingine wanamfumo wao na Muhimbili wanamfumo wao. kwanini hospital X wa Kucharge CT scan hali hawana utaalamu wa kusoma? Wakikuoa rufaa Muhimbili kisheria wanahitaji wakupime upya
Wapokee taarifa au CD Yako mkuu?Taarifa nimewapelekea lakini na wao wanataka chochote wapate ndipo waipokee!