Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbee! Hongera! Au unadhani una kinga ya matatizo wewe! Leo kwake kesho kwako.wasomi wenye utashi wao ndo walikaa wakaona ni sahihi kuweka huo utaratibu.
kama unaona hayo masharti ni magumu kajaribu kutibiwa kwa waganga wa kienyeji
Ushauli gani? Achana na limbukeni. Amekuja kuvutia bangi hapaAsante kwa ushauri wako.
Huyu mama kisa chake kilinitia simanzi. Mungu awafariji wafiwa. Pole sana comrade.Huenda yakanipata kama huyo mama mzazi wa Handeni.
Sure. Ila wabongo kinachotuhsribia ni njaa mingi. Kwa ushauri wako watu wa ICT watakufa njaa.Kitengo cha ICT naona wana watu wendawazimu.
Kufanya Uploading ya data za kwenye CD kuziingiza kwenye mfumo ni kuijaza DATABASE bila sababu ya msingi. Kwanini Daktari asiwe na files zake yeye mwenyewe bila kuwa redirected na watu wengine? Kingine faragha ya Mgonjwa ipo wapi hapo? Maana IT anaona kila kitu.
Kwa upande wa pili, kwanini hizo Hospital za rufaa zisiwe na portal ya kutuma hizo data moja kwa moja kwa daktari wa Muhimbili? Dunia inatoka ktk physical devices hasa hzi storage devices kama vile CD.
Inatakiwa Ubunifu wa hali ya juu ktk hii ishu mifumo isomane.
Watu wa hospital Wana roho ngumu Sana...wewe kurusha miguu ukiwa unakata roho kwao ni Kama unacheza salsa,hawashtuki kabisaPole sana! Madaktari wapo radhi mtu afe kama awajapewa hongo!
Mkuu Kufanya Upload ya Data ni muhimu sana Vinginevyo kama asipokubali itabidi wamcharge Pesa nyingine ya kufanya Kipimo kingine cha CT-scan...Kitengo cha ICT naona wana watu wendawazimu.
Kufanya Uploading ya data za kwenye CD kuziingiza kwenye mfumo ni kuijaza DATABASE bila sababu ya msingi. Kwanini Daktari asiwe na files zake yeye mwenyewe bila kuwa redirected na watu wengine? Kingine faragha ya Mgonjwa ipo wapi hapo? Maana IT anaona kila kitu.
Kwa upande wa pili, kwanini hizo Hospital za rufaa zisiwe na portal ya kutuma hizo data moja kwa moja kwa daktari wa Muhimbili? Dunia inatoka ktk physical devices hasa hzi storage devices kama vile CD.
Inatakiwa Ubunifu wa hali ya juu ktk hii ishu mifumo isomane.
Wewe ni mgonjwa ujiwezi wala hujui kama kuna vifungashio vingine vinatakiwa viambatanishwe unapofanyiwa transfer...au umesahau wengine wanafanyiwa transfer wakiwa hawajiwezi na wanaoshughulikia wanakuwa hawana uelewa wowote wa hizo nyaraka, je huko Mhimbili hawana uwezo wa kuwasiliana na Hospitali iliyotoa transfer ili missing documents zitumwe? Mbona taasisi zingine wanafanya mawasiliano?Mkuu,
Kwanza pole sana kwa changamoto unazozipitia. Nakuelewa mimi. Kikawaida,japo maelezo hapa ni kama hayajitoshelezi,ila kuna haya:
1. Kiukweli mpaka CT-Scan, ni kwamba kuna tatizo.
2. Ili ifanyike hiyo CT-Scan au vipimo vya mashine hizo, lazima kuna daktari aliyekuandikia kufanya hivyo vipimo.
Mara zote iwe hiyo X-ray, Iwe CT-Scan, iwe MRI, Cd zinazotolewa huambatana na karatasi inayoripoti waliokupima wameona nini.
Hawa watu wanaokupima,ni watumiaji tu wa mashine hizo,hawawezi kamwe kuintapreti walichokiona na kumwambia mgonjwa. Wanaheshimu sana maagizo. Hivyo,unapopewa majibu,yanakuwa yamefungwa na hurudishwa kwa daktari alieomba vipimo hivyo tu.
Ikitokea hayupo karibu,huomba anaemfahamu mwenye uwezo wa kusoma na kuelewa.
Nadhani kutoka huko ulikozipata,iwe praiveti au hospitali ya serikali kwenda Muhimbili,ulipewa referal na ulitakiwa umuone either doctor fulani au uende kitengo furani na majibu yako,wakutengee doctor wa kuyasoma na kukusaidia.
Kama uliondoka na CD tu,bado unakosa ripoti inayoelezea ugonjwa wako,kwa sababu wengine akishasoma ile ripoti ataelewa tatizo lako hata asipocheza hiyo CD.
Kingine nachokiona hapa,hutaki kukili lakini ulikosea. Na kamwe usirudie au na mwingine asijaribu.
Wewe umesema kwamba hiyo CD kwenye computer inacheza. Ni kweli.
Ulijuaje inacheza?
Kwa sababu inapotoka sehemu kwenda sehemu nyingine,licha ya kuwa labda aliyekuandikia mara ya kwanza aliitazama,hawezi kukupa wazi wazi kuipeleka bila kufungwa,hiyo ni siri ya mgonjwa na ajuae ni daktari tu. Labda yeye akwambie mwenyewe. Sasa,kuna uwezekano pia wa wao kuisusia baada ya kuona imeletwa katika mazingira yasiyo salama. Kama ulifungua,ulitakiwa uombe radhi na uahidi kutorudia.
Maana akisema ulipewa uwaletee,ukapeleka kwingine,ana point.
Harafu,kwa jazba ulonayo hapa,inaoekana huenda ulifika ukawagombeza. Na wale jamaa wana akili mbovu asikwambie mtu. Japo hupaswi kubembeleza tiba,inapobidi huna namna.
Mi nahisi haya makosa mawili ulifanya.
Japo sikumbuki vizuri,si lazima watu wa ICT waupload ndo aicheze,kama ana computer inayoisoma ni rahisi.
Changamoto ipo tu kwenye hizo gharama.
Nadhani ungeweka wazi kitengo,na waliotakiwa wafanye hivyo.
JF ina kila aina ya watu na si kwamba hili hawalioni. We elezea shida bila kupindisha maneno,nakuhakikishia utapata msaada tena haraka sana. Na kama ni kosa ulifanya,we jishushe uwe mkweli,wengine ni watu wazima wanaelewa ujana na maumivu,utasaidiwa
Hiyo niliwaomba wakanipa nayo nikauwasilisha kwa dakitari cha ajabu bado wanataka iingizwe kwenye mfumo wa Muhimbili! Na uzuri hiyo CD iko kwenye mfumo wa DVD na ni rahisi kufunguka kwenye DVD yoyote.iko hivi wewe wapigie kule hospitali ulikopewa rufaa wambie unaomba report ya ile CD , watakutumia pdf yake afu uwape muhimbili mchezo umeisha
Ila usipofanya hivo lazima ulipie hiyo hela hapo muhimbili ya kutafsiri hiyo CD
Na kwa nini wizara haitoi mwangozo? Kwa nini seikari haifanyi unified system ya nchi nzima kwa maswala haya? Basi wazibinafsishe hospitali zote ili tujue na kufanya maamuzi magumu.Hili tatizo si la dakitari, ni kanuni ya Muhimbili kujipatia pesa za bure.
Naomba wote mnielewe, nilichopeleka Muhimbili ni hiyo CD iliyo kwenye mfumo wa DVD na ripoti iliyochapishwa ikionesha kinachoonekana kwenye hiyo picha ya DVD, hapa nimekamilisha kila kitu pasipo na shaka, tuanzie hapo.Mkuu Kufanya Upload ya Data ni muhimu sana Vinginevyo kama asipokubali itabidi wamcharge Pesa nyingine ya kufanya Kipimo kingine cha CT-scan...
Kwanini kwa sababu kapewa Rufaa Kwenda muhimbili na bahati nzuri kaenda akiwa na CD (Hajaiacha Nyumbani)..
Ili Daktari aweze kufanya Uchunguzi na kufanya Maamuzi kwenye mfumo wa Tiba ni lazma Data ziingie kwenye mfumo endapo Tatzo litakuwa kubwa au linahusu kitengo kingine aweze Kupass Kwenda kitengo husika ndani ya mfumo wa matibabu ..Hivyo kufanya Registration ya Matibabu ikiwemo kuandika historia yake,Vipimo na uchunguzi uliofnywa kwa Taarifa za kidaktari ni muhimu kuliko chochote kile..
Cha msingi kama ataweza aongee na ICT hapo waiupload chap au afanye njia yoyote...
Mifumo kwa sasa ya utibuji Afya haisomani....
Hilo swala lipo kwenye mchakato Though Kuna pilot kama Tatu zilishafeli kutokana na ufinyu wa mtandao na vitendea kazi
Wewe hujui ila ipo siku na wewe Mungu atakunyooshatu hata kama uwe staff wa humo.Wasomi wenye utashi wao ndo walikaa wakaona ni sahihi kuweka huo utaratibu. Kama unaona hayo masharti ni magumu kajaribu kutibiwa kwa waganga wa kienyeji
Ni DVD na inasomeka hata nikikupa wewe utaifungua, na ripoti iliyochapishwa nimewapa.Mkuu Kufanya Upload ya Data ni muhimu sana Vinginevyo kama asipokubali itabidi wamcharge Pesa nyingine ya kufanya Kipimo kingine cha CT-scan...
Kwanini kwa sababu kapewa Rufaa Kwenda muhimbili na bahati nzuri kaenda akiwa na CD (Hajaiacha Nyumbani)..
Ili Daktari aweze kufanya Uchunguzi na kufanya Maamuzi kwenye mfumo wa Tiba ni lazma Data ziingie kwenye mfumo endapo Tatzo litakuwa kubwa au linahusu kitengo kingine aweze Kupass Kwenda kitengo husika ndani ya mfumo wa matibabu ..Hivyo kufanya Registration ya Matibabu ikiwemo kuandika historia yake,Vipimo na uchunguzi uliofnywa kwa Taarifa za kidaktari ni muhimu kuliko chochote kile..
Cha msingi kama ataweza aongee na ICT hapo waiupload chap au afanye njia yoyote...
Mifumo kwa sasa ya utibuji Afya haisomani....
Hilo swala lipo kwenye mchakato Though Kuna pilot kama Tatu zilishafeli kutokana na ufinyu wa mtandao na vitendea kazi
Mkuu mimi nimekuelewa Vizuri sana na nafikir nakuelewa pia...Naomba wote mnielewe, nilichopeleka Muhimbili ni hiyo CD iliyo kwenye mfumo wa DVD na ripoti iliyochapishwa ikionesha kinachoonekana kwenye hiyo picha ya DVD, hapa nimekamilisha kila kitu pasipo na shaka, tuanzie hapo.
DvD mkuu nazifahamu Na najua kuzungusha Position na pia hata kuzoom na kuzoom out..Ni DVD na inasomeka hata nikikupa wewe utaifungua, na ripoti iliyochapishwa nimewapa.
Kuongea na wafanyakazi wa ICT ni hujuma dhidi ya serikali, maadam nimewasilisha CD na ripoti ya kinachoonekana ndani ya DVD sioni sababu ya mimi kulipa Sh 86,000/= kwa kitu ambacho tayari nimekwisha lipia, hatutengenezi Bongo muvi.Mkuu Kufanya Upload ya Data ni muhimu sana Vinginevyo kama asipokubali itabidi wamcharge Pesa nyingine ya kufanya Kipimo kingine cha CT-scan...
Kwanini kwa sababu kapewa Rufaa Kwenda muhimbili na bahati nzuri kaenda akiwa na CD (Hajaiacha Nyumbani)..
Ili Daktari aweze kufanya Uchunguzi na kufanya Maamuzi kwenye mfumo wa Tiba ni lazma Data ziingie kwenye mfumo endapo Tatzo litakuwa kubwa au linahusu kitengo kingine aweze Kupass Kwenda kitengo husika ndani ya mfumo wa matibabu ..Hivyo kufanya Registration ya Matibabu ikiwemo kuandika historia yake,Vipimo na uchunguzi uliofnywa kwa Taarifa za kidaktari ni muhimu kuliko chochote kile..
Cha msingi kama ataweza aongee na ICT hapo waiupload chap au afanye njia yoyote...
Mifumo kwa sasa ya utibuji Afya haisomani....
Hilo swala lipo kwenye mchakato Though Kuna pilot kama Tatu zilishafeli kutokana na ufinyu wa mtandao na vitendea kazi
Ndo nimeuliza maswali mkuu..Kuongea na wafanyakazi wa ICT ni hujuma dhidi ya serikali, maadam nimewasilisha CD na ripoti ya kinachoonekana ndani ya DVD sioni sababu ya mimi kulipa Sh 86,000/= kwa kitu ambacho tayari nimekwisha lipia, hatutengenezi Bongo muvi.