Mkuu kuna kitu kimoja unakisahau sana (Samahani kusema hivyo)
Kumbuka Taarifa zako zote za ugonjwa pamoja Na CT-Scan ulopiga zipo Huko Hospitali ya mkoa ulikotoka..
Muhimbili ni hospitali Ya Rufaa Haiwezi kurelly Kwenye Report uliyokuja nayo kutoka Hopitali nyingine hii hairuhusiwi katika Refferal system guildlines..
Kusoma report uliyokuja nayo atasoma Ili kujua Anaanzia wapi kuangalia na nini hasa afanye zaidi ili.kugundua tatizo lako..
Hawezi kuchukua Moja kwa moja Report iliyoandikwa na hospitali Nyingine na yeye akaifanyia kazi bila kufanya na yeye uchunguzi wa vipimo vilivyofanywa ikiwa atarely only kwwnye report ya uchunguzi uliyokuja nayo bila kuangalia CD uliyoleta...
Unfikiri kama Yule Daktari wa Ulikotoka alikosea Kuku-Diagnose na yeye akachkua report yko kama ilivyo Ingekuwepo maana ya Wewe kupewa Rufaa
Umuhimu wa kuingizwa Taarifa zako Kwenye Mfumo wa kimatibabu (HMIS)
Kuingiza Taarifa zako katika mfumo wa kimatibabu ni muhimu sio lazima uwe maarufu kwa sababu kwanza...
- Inafanya Taarifa zako ziwe more accesible na jopo jingine la madaktari kama Taarifa zako zitabidi zitatuliwe na Wataalamu wa juu zaid kama mabingwa zaidi...hakutakuwa na haja tena ya kwenda kitengo kingine wakuulize maswali ambayo tayari wanayoma kwenye mfumo au kufanya vipimo ambavyo tayari vimeshafnywa
- kutafanya iwe vyepesi kurejea Taarifa zako za kimatibabu pale ambapo Utapata tatizo jingine na ili wajue jinsi ya kukusaidia ensapo tatizo jipya linaweza kuwa ni chanzo kutoka tatizo la zamani
- mambo ya legas cases pia
- ziko nyingi sana ila ni muhimu taarufa kutunzwa kwa ajili ya marejeo ya baadae
NB: kumbukumbu za Hospitali hawaingizwi maarufu tu ni kwa sababu ya Taarifa za kimatibabu kwa ajili na kwa ajili ya ofisi...
Nakupa scenario chukulia Umetibiwa Muhimbiri miaka Mitatu ilopita lets say Kisukari na ukawa unatumia Dawa aina fulani ambazo ulipewa umetumia dawa kwa muda mrefu na una Mzio (Allgy ) na dawa fulani ukitumia unazidiwa..
BAada ya miak miwili umepelekwa ukiwa umepata ajali n hujitambui unafikiri zile Taarifa zilizowekwa hazitakufaa kuchagua aina ya matibabu Utakayopewa?