barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Nilipoona dalili za STAMPEDE, niliachana na foleni nikapanda jukwaani na kutafuta ustaarabu mwingine wa kumuaga JPM, sikufanikiwa mpaka saa nane nikaondoka...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi SanaKuna mmoja jana alikuwa na kichanga kama cha miezi miwili, walimkandamiza, yaan ni aliminywa firigisi na utumbo mi nilijua anakufaa haloo usiombe [emoji848][emoji848] mi na rafiki yangu tukamnyang'anya mtoto..alivyochoropoka hapo tukamnasa vibao vitatu tukamrudishia mtoto wake, alikuwa anatafuta upenyo wa kurudi home, maana si kwa ukunga ule kwa mminyo wa kufa mtu
Alienda kushuhudia maiti ili akapige umbea kitaaWengi desperate pale, ila wabongo ni wadaku sana mweeh!
Acha upuuzi, watu wamekufa ni kweli.Mleta mada tuwekee vyeti vyao vya vifo tuamini taarifa zako kama vinasomeka wamekufa kwa msongamano.
Si vizuri kutangaza kifo cha mtu bila kuambatanisha death certificate
iKweli Watanzania, tunajijua wenyewe....., utakuta hapo pia walikuwepo wazazi wanawapeleka pia watoto wao, mtu unabana wenzako, unakimbia na kuwakanyaga eti ili uende kuaga mtu aliyeondoka..., si kwanza uwaage hawa unaowakanyaga ?
Nimekutana nalo sana hili jina haswa miaka hii 6Kijana
Sawa unaleta dharau na COVID 19Hao unaowaona wamejazana hapo ndio wale unaowaona wamejazana kwenye daladala,pantoni,sokoni na hawafi mnakufa nyinyi matajiri mnaoshinda kwenye ac huku mmevaa barakoa
Mmoja wapo ni wewe[emoji1787][emoji1][emoji1483]Jf huijui? Watu kujidai wana akili ndio sifa namba moja.
Niulize nini sasa? Si ndio kufeli kwenyewe huko?Vitu vingine uulize kwanza
Watu wameruka ukuta, watu wamepenya Kwenye mifereji, watu wammevunja mageti
Hao watu wameunga mkono juhudi tuSo sad!
Hili nalo lawama ni kwa Magufuli au?
Unataka kuniambia wewe na JPM, JPM ndio alikuwa exposed sana na Covid19?? Negro please!Sawa unaleta dharau na COVID 19
Marehemu pia alilieta madharau
Kama unadhani huwezi kufa kwa covid nenda kajiexpose freely kwenye manyomi yote unayoyajua kwa wiki moja tu inatosha .
We umeponaje?Hii hali kama imetokea kwa kiasi kikubwa imesababishwa na askari jeshi na suma jkt, nimeshuhudia hiyo asubuhi bonge la nyomi na watu wamebanana balaa hata kusogeza mguu ni shida ila askari anawapiga watu wa mbele makofi na kuwafokea warudi nyuma...tena kwa kuwasukuma, ni wazi hapo walitengeneza janga...
Waliohamasisha watu kwenda Uwanjani walikoseaMie nasema askari keshi jwtz ndio majinga, nilikua site nimeona ujinga wao. Sio wote ila wengi wajinga, waliingilia fani sio yao badala ya akili wanatumia nguvu..
Jamaa kasepa na wake, mizimu ya Chato bado ina kiu na damu za watz!Kamanda hasira iko wapi hapo?
Mbona tumetangaziwa kifo Cha Magu bila death certificate?!Mleta mada tuwekee vyeti vyao vya vifo tuamini taarifa zako kama vinasomeka wamekufa kwa msongamano.
Si vizuri kutangaza kifo cha mtu bila kuambatanisha death certificate
Unaanzaje kulaumu maiti?So sad!
Hili nalo lawama ni kwa Magufuli au?