Habari mbaya: Uwanja wa Uhuru Dar, Watu 45 wapoteza maisha kutoka na msongamano

Habari mbaya: Uwanja wa Uhuru Dar, Watu 45 wapoteza maisha kutoka na msongamano

Nilipoona dalili za STAMPEDE, niliachana na foleni nikapanda jukwaani na kutafuta ustaarabu mwingine wa kumuaga JPM, sikufanikiwa mpaka saa nane nikaondoka...
 
Kuna mmoja jana alikuwa na kichanga kama cha miezi miwili, walimkandamiza, yaan ni aliminywa firigisi na utumbo mi nilijua anakufaa haloo usiombe [emoji848][emoji848] mi na rafiki yangu tukamnyang'anya mtoto..alivyochoropoka hapo tukamnasa vibao vitatu tukamrudishia mtoto wake, alikuwa anatafuta upenyo wa kurudi home, maana si kwa ukunga ule kwa mminyo wa kufa mtu
Safi Sana
 
Mataga hawajapinga kweli? nimeshindwa kusoma comment zote.
Mleta mada tuwekee vyeti vyao vya vifo tuamini taarifa zako kama vinasomeka wamekufa kwa msongamano.

Si vizuri kutangaza kifo cha mtu bila kuambatanisha death certificate
Acha upuuzi, watu wamekufa ni kweli.

Hii ni sacrifice kama sacrifice nyingine tu,hakuna maajabu!
 
Hii hali kama imetokea kwa kiasi kikubwa imesababishwa na askari jeshi na suma jkt, nimeshuhudia hiyo asubuhi bonge la nyomi na watu wamebanana balaa hata kusogeza mguu ni shida ila askari anawapiga watu wa mbele makofi na kuwafokea warudi nyuma...tena kwa kuwasukuma, ni wazi hapo walitengeneza janga.

Askari jeshi baadhi waliokuwapo uwanjani leo nje ni wajinga sababu hawana weledi wa kudili na watu wengi, walikua wanatumia nguvu kuliko akili ambacho ni tatizo.

Yaani nathubutu kusema ktk handling ya leo uwanja wa uhuru, POLISI wako vizuri kuliko JWTZ. Jwtz wengi hawakua wanatumia akili.

Kweli Watanzania, tunajijua wenyewe....., utakuta hapo pia walikuwepo wazazi wanawapeleka pia watoto wao, mtu unabana wenzako, unakimbia na kuwakanyaga eti ili uende kuaga mtu aliyeondoka..., si kwanza uwaage hawa unaowakanyaga ?
i
 
Hao unaowaona wamejazana hapo ndio wale unaowaona wamejazana kwenye daladala,pantoni,sokoni na hawafi mnakufa nyinyi matajiri mnaoshinda kwenye ac huku mmevaa barakoa
Sawa unaleta dharau na COVID 19

Marehemu pia alilieta madharau

Kama unadhani huwezi kufa kwa Covid19 nenda kajiexpose freely kwenye manyomi yote unayoyajua kwa wiki moja tu inatosha .
 
Hawana thamani hao ... habari zao hatutoweza kuzisikia katu
 
Sawa unaleta dharau na COVID 19

Marehemu pia alilieta madharau

Kama unadhani huwezi kufa kwa covid nenda kajiexpose freely kwenye manyomi yote unayoyajua kwa wiki moja tu inatosha .
Unataka kuniambia wewe na JPM, JPM ndio alikuwa exposed sana na Covid19?? Negro please!
JPM kafa na heart complications by the way...
 
Hii hali kama imetokea kwa kiasi kikubwa imesababishwa na askari jeshi na suma jkt, nimeshuhudia hiyo asubuhi bonge la nyomi na watu wamebanana balaa hata kusogeza mguu ni shida ila askari anawapiga watu wa mbele makofi na kuwafokea warudi nyuma...tena kwa kuwasukuma, ni wazi hapo walitengeneza janga...
We umeponaje?
 
Mie nasema askari keshi jwtz ndio majinga, nilikua site nimeona ujinga wao. Sio wote ila wengi wajinga, waliingilia fani sio yao badala ya akili wanatumia nguvu..
Waliohamasisha watu kwenda Uwanjani walikosea
JWTZ huwa hawajui handling ya watu wa kawaida wao wanapenda amri zitekelezwe
 
Back
Top Bottom