FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
-
- #141
Hakuna cha utawala hapa, supply imezidi mahitaji, kwanini wanafungulia maji badala ya kiwasha mitambo yote 9 na kushusha bei?! Tuache kutumia dollar kuagiza gesi za kupikia sasa, tutumie majiko ya umeme, maana umeme wanaumwaga bure tu na kuketa mafuriko wakati wangeweza kuzalisha umeme zaidi!
Bado hujasema, wewe nenda mpaka kwa Biteko!Tanesco msifungulie maji bwawa la Nyerere, washeni mashine zote 9 na mshushe bei muone kama umeme utabaki, utatumika wote viwandani na uchumi utakua
Acha mambo kigasho wewe, sijasema nini sasa,..., mtu anweka hoja we unaleta uxnge.Bado hujasema, wewe nenda mpaka kwa Biteko!
Huna hoja hapa unatupigia kelele! Ulikwisha ambiwa bei haitashuka ng'o sasa umebaki kuwayawaya kama mwendawazimu!Acha mambo kigasho wewe, sijasema nini sasa,..., mtu anweka hoja we unaleta uxnge.
Kwani kuna mtu amezuiwa kusema bei haishuki.., wao waseme watakalo, ila watapingwa kwa hoja. Umeme umezidi mahitaji, bei ishuke.Huna hoja hapa unatupigia kelele! Ulikwisha ambiwa bei haitashuka ng'o sasa umebaki kuwayawaya kama mwendawazimu!
Kilikuwa kichekesho tu nduguBwana lishakamilika bei ipoje sasa
Hawataki kushusha bei sijui kwanini wakati umeme ni mwingi kuliko mahitaji, yaani wanafungulia bwawa maji yamwagike etiKazi sana...