FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
- #141
Hakuna cha utawala hapa, supply imezidi mahitaji, kwanini wanafungulia maji badala ya kiwasha mitambo yote 9 na kushusha bei?! Tuache kutumia dollar kuagiza gesi za kupikia sasa, tutumie majiko ya umeme, maana umeme wanaumwaga bure tu na kuketa mafuriko wakati wangeweza kuzalisha umeme zaidi!
Bei ya luku ishuke, viwanda vifufuliwe, wananchi wapikie majiko ya umeme kuzuia uharibifu wa mazingira
Salaam, Shalom. Samahani Kwa waliozaliwa 2000+, Miaka ya 90 kurudi nyuma, yalikuwepo majiko ya umeme katika nyumba nyingi za watumishi wa umma, mapolisi, mahakimu, bankers, watoza ushauri, matajiri nk nk. Matumizi ya majiko ya kutumia umeme, yalisaidia kupunguza matumizi ya mkaa, hivyo kuzuia...