Habari njema: Bei ya umeme kushuka kutoka Sh.600/= hadi Sh. 35/= kwa unit moja bwawa la Nyerere likikamilika

Habari njema: Bei ya umeme kushuka kutoka Sh.600/= hadi Sh. 35/= kwa unit moja bwawa la Nyerere likikamilika

Hakuna cha utawala hapa, supply imezidi mahitaji, kwanini wanafungulia maji badala ya kiwasha mitambo yote 9 na kushusha bei?! Tuache kutumia dollar kuagiza gesi za kupikia sasa, tutumie majiko ya umeme, maana umeme wanaumwaga bure tu na kuketa mafuriko wakati wangeweza kuzalisha umeme zaidi!
 
Umeme ukiwa wa uhakika na bei itapungua ila sio hivyo maana kuna gharama za uendeshaji na matengenezo pia
Ila wawekezaji watakuja sasa kama kuna uhakika
 
Tanesco msifungulie maji bwawa la Nyerere, washeni mashine zote 9 na mshushe bei muone kama umeme utabaki, utatumika wote viwandani na uchumi utakua
 
Huna hoja hapa unatupigia kelele! Ulikwisha ambiwa bei haitashuka ng'o sasa umebaki kuwayawaya kama mwendawazimu!
Kwani kuna mtu amezuiwa kusema bei haishuki.., wao waseme watakalo, ila watapingwa kwa hoja. Umeme umezidi mahitaji, bei ishuke.
 
Makato ya mwezi yamepanda hadi 2,000. Kazi iendelee. Serikali chini ya ccm has never been for wananchi, zaidi sana kuwaumiza na kodi, tozo kia siku.
 
Back
Top Bottom