Habari njema: Bei ya umeme kushuka kutoka Sh.600/= hadi Sh. 35/= kwa unit moja bwawa la Nyerere likikamilika

Umeme hautunzwi bali watakachofanya ni kuzima baadhi ya transformer!
Unamaanisha kuzima mitambo ya kufua umeme? Halafu uruhusu maji yapite free bila kuzalisha umeme ambao unaweza kuuza mwingi zaidi at acheaper price na Tanesco na viwanda vikafaidika?! Labda kama ni wachawi, mchawi anaweza fanya hivyo, sio fisadi
 
Kwani kuna tofauti kati ya mchawi na fisadi? Kama kuna tofauti basi ni ile kuwa mchawi haonekani wakati fisadi anaonekana na anakuua huku anatabasamu na wewe ukichekelea kama zuzu!
 
Fisadi anafanya mambo ili afaidike yeye peke yake. Mchawi anafanya mambo ili mkose wote, ndio furaha yake. Sasa fisadi hawezi kuacha maji yaondoke wakati angeweza kuzalisha umeme, akauza hata nje halafu pesa akazipiga labda juu kwa juu (10%). Hayo mengine labda wafanye wachawi.
 
Maharage Chande, Mkurugenzi wa tanesco amesema bei ya umeme haitashuka sasa wewe unabwabwaja humu kama nani?
 
Sasa atoe sababu za kutoshuka kwa umeme huku akifanya referrence kwenye kanuni ya ‘Demand vs Supply’. Kutoka Megawatt 1600 hadi Megawatt 3700 na bado bei isishuke? labda kama watagawa huo umeme bure Kenya na Uganda
 
Sibishani na mapimbi! Nenda kasome hotuba yake upate ufafanuzi!
 
Upuuzi tu wanalipa Tanesco jina baya ili mwisho wa siku walipige Bei alafu wajiuzie waendelee kula Profit...; Hawa Jamaa bora wakati wa Ukoloni ilijulikana kabisa kwamba wanatunyonya na wapo pale kujinufaisha na sio hawa wanajifanya kondoo kumbe ni Mbwa Mwitu...

Ila bei watashusha tu, Megawatt 3700 watapeleka wapi?
 
Ila bei watashusha tu
Hapana itapanda zaidi na wata-sabotage Tanesco; uzuri watu hawahoji na mara zote wanapeleka lawama ambapo sipo soon, very soon Tanesco itauzwa watanunua ma-Mashare na kutumia jasho la kodi zetu kujinufaisha na hili Shirika...

Lakini as SHIDA said; yana Mwisho haya..., Hata kama sio wao vitukuu vyao vitateseka kwa huu upuuzi na hizi mbegu za sumu wanazopanda leo
 
Daah, kwahiyo hebu nipe possible scenarios, Megawatt 3700 tutaweza vipi kuzimaliza bila kushusha bei ili kuencoursge watu wautumie zaidi ili uishe, maana hakuna battery ya kuhifadhi huo umeme
 
Sasa atoe sababu za kutoshuka kwa umeme huku akifanya referrence kwenye kanuni ya ‘Demand vs Supply’. Kutoka Megawatt 1600 hadi Megawatt 3700 na bado bei isishuke? labda kama watagawa huo umeme bure Kenya na Uganda
👇👇👇
 
Attachments

  • Polish_20230716_063813009.jpg
    Polish_20230716_063813009.jpg
    232.9 KB · Views: 1
Daah, kwahiyo hebu nipe possible scenarios, Megawatt 3700 tutaweza vipi kuzimaliza bila kushusha bei ili kuencoursge watu wautumie zaidi ili uishe, maana hakuna battery ya kuhifadhi huo umeme
Mitambo itakuwa na shida, itashindwa kufanya kazi; watu watafukuzwa kazi kwa uzembe...., atakuja mwekezaji kampuni ya nje watu wachache watakula shares, na sababu capacity ya kuproduce ipo mashine sitawashwa accordingly wataacha kutumia umeme wa diesel (more profit for them) na kupunguza gesi kama wananunua (more profit for them) kwahio watakuwa na buffer ya capacity mpaka pale ambapo matumizi yatakuwa equivalent na production; wataendelea kuleta kampuni za solar, wind; gas n.k. (ambazo ni zao watawauzia Tanesco ili watuuzie)

Huu wizi sio kwamba umetokea Bongo tu; hata Europe Price of Gas ni inflated na ni Desi inayonufaisha private companies...
 
Kwa aina ya awamu tuliyonayo sasa yenye wala rushwa haitawezekana kupungua gharama zaidi zitaongezeka tu.yule mkutugenzi wa tanesco(maharage ya kupika) alisha sema haitawezekana kupunguza bei maana tutawafanya wazanzibari nao walipie umeme tofauti na walivyozoea kusamehewa madeni kwa kulipiwa na watanganyika
 
Mitambo itakuwa na shida, itashindwa kufanya kazi; watu watafukuzwa kazi kwa uzembe...., atakuja mwekezaji kampuni ya nje watu wachache watakula shares, na sababu capacity ya kuproduce ipo mashine sitawashwa accordingly wataacha kutumia umeme wa diesel (more profit for them) na kupunguza gesi kama wananunua (more profit for them) kwahio watakuwa na buffer ya capacity mpaka pale ambapo matumizi yatakuwa equivalent na production; wataendelea kuleta kampuni za solar, wind; gas n.k. (ambazo ni zao watawauzia Tanesco ili watuuzie)

Huu wizi sio kwamba umetokea Bongo tu; hata Europe Price of Gas ni inflated na ni Desi inayonufaisha private companies...
Daah, these bastards !!! Kwakweli kama watatuhujumu Tanganyika kwa kiasi hiki na wasishushe bei ya umeme hata baada ya kuingiza Megwati 2,100 kwenye gridi, ukijumuisha na kuuzwa kwa bandari, Uchaguzi mkuu 2025 yanaweza kutokea ya Rwanda 1994, maumivu ya watu wengi yakilipuka huwa yanalipuka vibaya sana
 
Back
Top Bottom