Umeme hautunzwi bali watakachofanya ni kuzima baadhi ya transformer!Exactly my point, utautunzia wapi huo umeme? Lazima ushushe bei ili utumike wote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeme hautunzwi bali watakachofanya ni kuzima baadhi ya transformer!Exactly my point, utautunzia wapi huo umeme? Lazima ushushe bei ili utumike wote
...Walisema itafika Majumbani kama mabomba ya Maji !
Kiko wapi ?
Stupid [emoji35]...
Umeme watautunza kwenye betri ipi?Kwani mafisadi wana hasara gani? Wao wanajali matumbo yao tu!
Unamaanisha kuzima mitambo ya kufua umeme? Halafu uruhusu maji yapite free bila kuzalisha umeme ambao unaweza kuuza mwingi zaidi at acheaper price na Tanesco na viwanda vikafaidika?! Labda kama ni wachawi, mchawi anaweza fanya hivyo, sio fisadiUmeme hautunzwi bali watakachofanya ni kuzima baadhi ya transformer!
Halafu umeme utautunza kwenye betri ipi?Kama madelu anasaka buku kwenye mfuko wa simenti, sioni namna umeme utashuka kwa hawa walamba asali........hawana kabisa gia ya reverse.
Kwani kuna tofauti kati ya mchawi na fisadi? Kama kuna tofauti basi ni ile kuwa mchawi haonekani wakati fisadi anaonekana na anakuua huku anatabasamu na wewe ukichekelea kama zuzu!Unamaanisha kuzima mitambo ya kufua umeme? Halafu uruhusu maji yapite free bila kuzalisha umeme ambao unaweza kuuza mwingi zaidi at acheaper price na Tanesco na viwanda vikafaidika?! Labda kama ni wachawi, mchawi anaweza fanya hivyo, sio fisadi
Fisadi anafanya mambo ili afaidike yeye peke yake. Mchawi anafanya mambo ili mkose wote, ndio furaha yake. Sasa fisadi hawezi kuacha maji yaondoke wakati angeweza kuzalisha umeme, akauza hata nje halafu pesa akazipiga labda juu kwa juu (10%). Hayo mengine labda wafanye wachawi.Kwani kuna tofauti kati ya mchawi na fisadi? Kama kuna tofauti basi ni ile kuwa mchawi haonekani wakati fisadi anaonekana na anakuua huku anatabasamu na wewe ukichekelea kama zuzu!
Maharage Chande, Mkurugenzi wa tanesco amesema bei ya umeme haitashuka sasa wewe unabwabwaja humu kama nani?Fisadi anafanya mambo ili afaidike yeye peke yake. Mchawi anafanya mambo ili mkose wote, ndio furaha yake. Sasa fisadi hawezi kuacha maji yaondoke wakati angeweza kuzalisha umeme, akauza hata nje halafu pesa akazipiga labda juu kwa juu (10%). Hayo mengine labda wafanye wachawi.
Sasa atoe sababu za kutoshuka kwa umeme huku akifanya referrence kwenye kanuni ya ‘Demand vs Supply’. Kutoka Megawatt 1600 hadi Megawatt 3700 na bado bei isishuke? labda kama watagawa huo umeme bure Kenya na UgandaMaharage Chande, Mkurugenzi wa tanesco amesema bei ya umeme haitashuka sasa wewe unabwabwaja humu kama nani?
Sibishani na mapimbi! Nenda kasome hotuba yake upate ufafanuzi!Sasa atoe sababu za kutoshuka kwa umeme huku akifanya referrence kwenye kanuni ya ‘Demand vs Supply’. Kutoka Megawatt 1600 hadi Megawatt 3700 na bado bei isishuke? labda kama watagawa huo umeme bure Kenya na Uganda
Wewe uliyeisoma na bado umeshindwa kuweka bayana hoja ulizozisikia huko ni pimbi zaidiSibishani na mapimbi! Nenda kasome hotuba yake upate ufafanuzi!
Ila bei watashusha tu, Megawatt 3700 watapeleka wapi?Upuuzi tu wanalipa Tanesco jina baya ili mwisho wa siku walipige Bei alafu wajiuzie waendelee kula Profit...; Hawa Jamaa bora wakati wa Ukoloni ilijulikana kabisa kwamba wanatunyonya na wapo pale kujinufaisha na sio hawa wanajifanya kondoo kumbe ni Mbwa Mwitu...
Jinsi ya kuifanya Kampuni ya Tanesco kuwa Kampuni Bora na ya Kujivunia Tanzania na Afrika kwa Ujumla
Tanzania tumebarikiwa vyanzo vingi vya nishati, Na Tanesco ni kati ya Makampuni mama ya Tanzania ambayo yanaweza yakaitangaza nchi yetu Africa na Pote Duniani (Yaani mfano wa kuigwa) Sio tu kutupatia nishati hapa bali tuweze kuwapa hata majirani zetu na kutuingizia fedha badala ya sasa kutumia...www.jamiiforums.com
Hapana itapanda zaidi na wata-sabotage Tanesco; uzuri watu hawahoji na mara zote wanapeleka lawama ambapo sipo soon, very soon Tanesco itauzwa watanunua ma-Mashare na kutumia jasho la kodi zetu kujinufaisha na hili Shirika...Ila bei watashusha tu
Daah, kwahiyo hebu nipe possible scenarios, Megawatt 3700 tutaweza vipi kuzimaliza bila kushusha bei ili kuencoursge watu wautumie zaidi ili uishe, maana hakuna battery ya kuhifadhi huo umemeHapana itapanda zaidi na wata-sabotage Tanesco; uzuri watu hawahoji na mara zote wanapeleka lawama ambapo sipo soon, very soon Tanesco itauzwa watanunua ma-Mashare na kutumia jasho la kodi zetu kujinufaisha na hili Shirika...
Lakini as SHIDA said; yana Mwisho haya..., Hata kama sio wao vitukuu vyao vitateseka kwa huu upuuzi na hizi mbegu za sumu wanazopanda leo
👇👇👇Sasa atoe sababu za kutoshuka kwa umeme huku akifanya referrence kwenye kanuni ya ‘Demand vs Supply’. Kutoka Megawatt 1600 hadi Megawatt 3700 na bado bei isishuke? labda kama watagawa huo umeme bure Kenya na Uganda
Mitambo itakuwa na shida, itashindwa kufanya kazi; watu watafukuzwa kazi kwa uzembe...., atakuja mwekezaji kampuni ya nje watu wachache watakula shares, na sababu capacity ya kuproduce ipo mashine sitawashwa accordingly wataacha kutumia umeme wa diesel (more profit for them) na kupunguza gesi kama wananunua (more profit for them) kwahio watakuwa na buffer ya capacity mpaka pale ambapo matumizi yatakuwa equivalent na production; wataendelea kuleta kampuni za solar, wind; gas n.k. (ambazo ni zao watawauzia Tanesco ili watuuzie)Daah, kwahiyo hebu nipe possible scenarios, Megawatt 3700 tutaweza vipi kuzimaliza bila kushusha bei ili kuencoursge watu wautumie zaidi ili uishe, maana hakuna battery ya kuhifadhi huo umeme
Daah, these bastards !!! Kwakweli kama watatuhujumu Tanganyika kwa kiasi hiki na wasishushe bei ya umeme hata baada ya kuingiza Megwati 2,100 kwenye gridi, ukijumuisha na kuuzwa kwa bandari, Uchaguzi mkuu 2025 yanaweza kutokea ya Rwanda 1994, maumivu ya watu wengi yakilipuka huwa yanalipuka vibaya sanaMitambo itakuwa na shida, itashindwa kufanya kazi; watu watafukuzwa kazi kwa uzembe...., atakuja mwekezaji kampuni ya nje watu wachache watakula shares, na sababu capacity ya kuproduce ipo mashine sitawashwa accordingly wataacha kutumia umeme wa diesel (more profit for them) na kupunguza gesi kama wananunua (more profit for them) kwahio watakuwa na buffer ya capacity mpaka pale ambapo matumizi yatakuwa equivalent na production; wataendelea kuleta kampuni za solar, wind; gas n.k. (ambazo ni zao watawauzia Tanesco ili watuuzie)
Huu wizi sio kwamba umetokea Bongo tu; hata Europe Price of Gas ni inflated na ni Desi inayonufaisha private companies...