Habari Njema Kutoka Barrick Gold kwa Watanzania, Tunaanza Kufaidi Rasilimali Zetu, Donge Nono la Dola Milioni 100 zalipwa

mara ya mwisho kufuatilia haya mambo 1 € ilikuwa sawa na zaidi ya 2800 ,bwana meko akapiga biti kwamba kuna hujuma
 
Je umeielewa hii tweet ya msemaji mkuu wa serikali?

Je sasa Dollar moja ya Marekani ni TZS 2500?

Je kwa exchange rate hiyo $300M ni TZS 500B?

Haiko sawa, kama 100 mil US$ ni sawa na 250 bilion Tsh then 300mil US$ ni sawa na 750 bilion Tsh. Hiyo yake 500 Tsh labda amekurupuka kuandika kutoka usingizini.

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 
Update.
Bunge letu ndio limetangaziwa rasmi fedha hizi mchana huu, sasa hivi, hivyo wewe as mwana jf, you were the first to know, na kwenye magazeti ni kesho!.
Viva if
Mungu Ibariki JF
Mungu Ibariki Tanzania
P
 
Paskali, kuna mwanasiasa kijana wa makamo ana zodoa kishika uchumba hiki( ambacho umekiita mahari) kwamba kule kwenye akiba ya taifa hakuna kitu na kwamba mishahara kwa watumishi hakuna. Jamaa anafurahia watumishi kucheleweshewa mshahara. Na inaonekana anapenda watumishi wa umma wakose mshahara.
Ninaamini kiwango hicho cha fedha sio haba (dolari milioni 100 na baadaye dola milioni 50 kila mwaka ni fedha nyingi.
Badala ya kuimba Mungu ibariki tanzania yeye anapenda mama tanzania ife.
 
... inafahamika hesabu ni msiba wa taifa Mkuu. So vitu vingine ni kupotezea tu kana kwamba havijawahi kutokea.
 
Washazoea mipasho utadhani serikali ni kikundi cha ngoma cha kizaramo ( Samahani sana Wazaramo ni utani tu jamani kutokana na umaarufu wenye kwenye hayo masuala)
 
Haiko sawa, labda walikuwa na furaha ya kupokea hiyo $ 100 wakajikuta wamechanganya mambo bila kujua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haiko sawa, kama 100 mil US$ ni sawa na 250 bilion Tsh then 300mil US$ ni sawa na 750 Tsh. Hiyo yake 500 Tsh labda amekurupuka kuandika kutoka usingizini.

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
Kwa takwimu za serikali yuko sahihi kwani kuna - na + na unaweka pembeni then unakopa huku kisha unaviringisha mahesabu.
 
Kwa takwimu za serikali yuko sahihi kwani kuna - na + na unaweka pembeni then unakopa huku kisha unaviringisha mahesabu.
Hizo takwimu kwa dollar moja Tsh ngapi?
Kwahiyo kama ni takwimu amefanya dollar moja ni sawa na 1600?
[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 
mara ya mwisho kufuatilia haya mambo 1 usd ilikuwa sawa na zaidi ya 2800 ,bwana meko akapiga biti kwamba kuna hujuma
Mhh boss rudisha kumbukumbu zako vizuri USD haijawahi kufika huko...British Pound rate yake ndo hio... USD huwa inapanda tu na sahivi imefikia 2300.
 
Mhh boss rudisha kumbukumbu zako vizuri USD haijawahi kufika huko...British Pound rate yake ndo hio... USD huwa inapanda tu na sahivi imefikia 2300.

Foreign currency exchange rates Leo inasomeka hivi:

1 USD = 2,314.30 T.shs

100m USD = 231B T.shs !

300m USD = 693 B Tshs.

Dr. Abbas ni mzushi na mwongo...!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…