Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
mara ya mwisho kufuatilia haya mambo 1 € ilikuwa sawa na zaidi ya 2800 ,bwana meko akapiga biti kwamba kuna hujuma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haiko sawa, kama 100 mil US$ ni sawa na 250 bilion Tsh then 300mil US$ ni sawa na 750 bilion Tsh. Hiyo yake 500 Tsh labda amekurupuka kuandika kutoka usingizini.Je umeielewa hii tweet ya msemaji mkuu wa serikali?
Je sasa Dollar moja ya Marekani ni TZS 2500?
Je kwa exchange rate hiyo $300M ni TZS 500B?
Paskali, kuna mwanasiasa kijana wa makamo ana zodoa kishika uchumba hiki( ambacho umekiita mahari) kwamba kule kwenye akiba ya taifa hakuna kitu na kwamba mishahara kwa watumishi hakuna. Jamaa anafurahia watumishi kucheleweshewa mshahara. Na inaonekana anapenda watumishi wa umma wakose mshahara.Wanabodi,
Hatimaye Tanzania sasa tunaanza kufaidi rasilimali zetu za madini, ambapo leo, donge nono la dola za Marekani milioni 100, zimelipwa kwenye kile kibubu chetu pale kwenye ule mfuko Mkuu wa hazina ya serikali kama advance payment ya kile kishika Uchumba cha dola milioni 300, ambacho baadae tulikigeuza kuwa ndio mahari kamili ya yule binti yetu makinikia.
Kiasi kilichobaki cha dola milioni 200, kitalipwa kwa mikupuo mitano ya dola milioni 40 kila mkupuo ambacho kitalipwa ndani ya miaka 5, kwa kila mkupuo kulipwa ndani ya mwaka mmoja mmoja.
Habari njema hii ni kwa mujibu wa Barrick,
Karibu ujisomee
Barrick Partnership with Tanzanian Government Delivers First Major Outcomes
Japo deni letu la makinikia ya Barrick lilikuwa Dola bilioni 190 ambazo zingetosha kumnunulia Noah kila Mtanzania, tukaahidiwa kishika Uchumba cha dola milioni 300!, lakini kufuatia majadiliano marefu, tulisamehe deni lote, na kile kishika Uchumba cha dola milioni 300, tulikikubali kuwa sasa ndio mahari kamili, hivyo hili donge nono la dola milioni 100, ndio mwanzo wa utekelezaji wa makubaliano na Barrick.
Donge nono hili la dola milioni 100 ni nje ya gawio la hisa asilimia 16% za bure bure, ambayo Tanzania tumepewa kwenye kampuni mpya ya ubia wa Tanzania na Barrick, kampuni ya Twiga, na manufaa makubwa kabisa, manene na manono kabisa yanayosubiriwa kwa hamu, ni mgawo wa 50/50, yaani pasu kwa pasu ya manufaa ya Kiuchumi ya kila kinachopatikana kwenye madini yetu.
Huu ni ukombozi mkubwa sana kwa taifa letu. Hongera sana JPM.
Mungu Ibariki Tanzania
Paskali
😂😂😂😂😂😂😂😂... inafahamika hesabu ni msiba wa taifa Mkuu. So vitu vingine ni kupotezea tu kana kwamba havijawahi kutokea.
Sio kwamba hawajui hesabu simple Kama hiyo, ni kuwa wanakuza ili ionekane wamepokea hela nyingi, wanadai hela nyingi... inafahamika hesabu ni msiba wa taifa Mkuu. So vitu vingine ni kupotezea tu kana kwamba havijawahi kutokea.
Haiko sawa, labda walikuwa na furaha ya kupokea hiyo $ 100 wakajikuta wamechanganya mambo bila kujua.Je umeielewa hii tweet ya msemaji mkuu wa serikali?
Je sasa Dollar moja ya Marekani ni TZS 2500?
Je kwa exchange rate hiyo $300M ni TZS 500B?
======
#MALIPOKUTOKABARRICK Wizara ya Fedha na Mipango imepokea sehemu ya malipo ya Dola za Marekani Mil.100 (TSh. Bil.250) kati ya Dola Mil.300 (Tsh. Bil.500) kutoka Kampuni ya Barrick ikiwa ni makubaliano ya malipo ya patano kuhusu fidia ya kodi - Dkt. Philip Mpango
Kwa takwimu za serikali yuko sahihi kwani kuna - na + na unaweka pembeni then unakopa huku kisha unaviringisha mahesabu.Haiko sawa, kama 100 mil US$ ni sawa na 250 bilion Tsh then 300mil US$ ni sawa na 750 Tsh. Hiyo yake 500 Tsh labda amekurupuka kuandika kutoka usingizini.
[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
Hizo takwimu kwa dollar moja Tsh ngapi?Kwa takwimu za serikali yuko sahihi kwani kuna - na + na unaweka pembeni then unakopa huku kisha unaviringisha mahesabu.
Lini hio dollar ya marekani ilikuwa 2800mara ya mwisho kufuatilia haya mambo 1 usd ilikuwa sawa na zaidi ya 2800 ,bwana meko akapiga biti kwamba kuna hujuma
Mhh boss rudisha kumbukumbu zako vizuri USD haijawahi kufika huko...British Pound rate yake ndo hio... USD huwa inapanda tu na sahivi imefikia 2300.mara ya mwisho kufuatilia haya mambo 1 usd ilikuwa sawa na zaidi ya 2800 ,bwana meko akapiga biti kwamba kuna hujuma
Hawajui hesabu,pia wamezoea kusema uongo,hivyo hapo vyote viwili vimetimia.
mkuu nimesema zaidi ya dollah 2800 yan sikumbuki exact figure lakini nina uhakika ilikua zaidi ya hapo
Mhh boss rudisha kumbukumbu zako vizuri USD haijawahi kufika huko...British Pound rate yake ndo hio... USD huwa inapanda tu na sahivi imefikia 2300.