Habari Njema Kutoka Barrick Gold kwa Watanzania, Tunaanza Kufaidi Rasilimali Zetu, Donge Nono la Dola Milioni 100 zalipwa

Habari Njema Kutoka Barrick Gold kwa Watanzania, Tunaanza Kufaidi Rasilimali Zetu, Donge Nono la Dola Milioni 100 zalipwa

Hiyo ni typo tu mistake. Wenye kuona ukweli ni watu wa Benki pesa hiyo inapoingia, vile vile kumbukeni exchange rate inabadilika, hadi unapokwenda kuweka kwa hiyo wala sio tatizo.
 
Na ufisadi na wizi wa kutisha uliofanywa na dikteta na ndugai wa kuchota hazina $12 millions au sawa na 28 billion eti pesa za matibabu MPUUZI wewe huwezi kusema lolote kwa sababu ndiyo zenu hizo za kufumbia macho kila UOZO wa kutisha ndani ya hii Serikali ya mafisadi na wezi.
Fedha huwa hazichotwi Hazina mbwiga Wewe? Unafikiria hii Serikali ni kama hiyo Saccos yenu hapo ufipa. Fedha za matibabu zinalipwa na NHIF kupitia bima ya mbunge kwenda kwenye hospitali aliyotibiwa kiongozi husika. Na hapo lazima iwe amepata kibali cha kutibiwa nje kabla hajaenda kutibiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni typo tu mistake. Wenye kuona ukweli ni watu wa Benki pesa hiyo inapoingia, vile vile kumbukeni exchange rate inabadilika, hadi unapokwenda kuweka kwa hiyo wala sio tatizo.

Acha kufanya watu hawana akili bhana! Rates hazibadiliki kwa viwango vya maelfu baali n some cents na decimal points!
 
Acha kufanya watu hawana akili bhana! Rates hazibadiliki kwa viwango vya maelfu baali nhhhi some cents na decimal points!

Unaota wewe, wakati huu wa Covid-19 rates zinatofautiana sana. BTW you are talking about USD100 million. Unafikiri ni kama change unazozipata wewe? Mzaledo2015 matope! Haya hebu weka closing rates za Tshs Vs USD za leo kwenye DST?
 
Unaota wewe, wakati huu wa Covid-19 rates zinatofautiana sana. BTW you are talking about USD100 million. Unafikiri ni kama change unazozipata wewe? Mzaledo2015 matope! Haya hebu weka closing rates za Tshs Vs USD za leo kwenye DST?

Ole wako......!!!Hujitambui na hujielewi....! Just bring your data here to justfy your Non-sense argument!
 
Ole wako......!!!Hujitambui na hujielewi....! Just bring your data here to justfy your Non-sense argument!

What type of an argument is this? You can't prove your own narrative, poor Mzalendo2015. Unfortunately I don't waste my time with losers.
 
What type of an argument is this? You can't prove your own narrative, poor Mzalendo2015. Unfortunately I don't waste my time with losers.

You must be sick in thy tiny and small brain. Number speaks my dear! Just bring your data here! Looks like you're nut!
 
Wanabodi,

Hatimaye Tanzania sasa tunaanza kufaidi rasilimali zetu za madini, ambapo leo, donge nono la dola za Marekani milioni 100, zimelipwa kwenye kile kibubu chetu pale kwenye ule mfuko Mkuu wa hazina ya serikali kama advance payment ya kile kishika Uchumba cha dola milioni 300, ambacho baadae tulikigeuza kuwa ndio mahari kamili ya yule binti yetu makinikia.

Kiasi kilichobaki cha dola milioni 200, kitalipwa kwa mikupuo mitano ya dola milioni 40 kila mkupuo ambacho kitalipwa ndani ya miaka 5, kwa kila mkupuo kulipwa ndani ya mwaka mmoja mmoja.

Habari njema hii ni kwa mujibu wa Barrick,
Karibu ujisomee
Barrick Partnership with Tanzanian Government Delivers First Major Outcomes

Japo deni letu la makinikia ya Barrick lilikuwa Dola bilioni 190 ambazo zingetosha kumnunulia Noah kila Mtanzania, tukaahidiwa kishika Uchumba cha dola milioni 300!, lakini kufuatia majadiliano marefu, tulisamehe deni lote, na kile kishika Uchumba cha dola milioni 300, tulikikubali kuwa sasa ndio mahari kamili, hivyo hili donge nono la dola milioni 100, ndio mwanzo wa utekelezaji wa makubaliano na Barrick.

Donge nono hili la dola milioni 100 ni nje ya gawio la hisa asilimia 16% za bure bure, ambayo Tanzania tumepewa kwenye kampuni mpya ya ubia wa Tanzania na Barrick, kampuni ya Twiga, na manufaa makubwa kabisa, manene na manono kabisa yanayosubiriwa kwa hamu, ni mgawo wa 50/50, yaani pasu kwa pasu ya manufaa ya Kiuchumi ya kila kinachopatikana kwenye madini yetu.

Huu ni ukombozi mkubwa sana kwa taifa letu. Hongera sana JPM.
Mungu Ibariki Tanzania

Paskali
Update.
Bunge letu ndio limetangaziwa rasmi fedha hizi mchana huu, sasa hivi, hivyo wewe as mwana jf, you were the first to know, na kwenye magazeti ni kesho!.
Viva if
Mungu Ibariki JF
Mungu Ibariki Tanzania
P
Update 2

P


Mama yangu, hapa Zitto amekwisha.....yaani namuona kabisa anajipiga vidole huku akijilamba. Dogo vitu kama hivi hapendi kabisa kusikia.
 
Mabeberu bargaining power yao ni yakipekee,
Kutoka USD 190 BILLION, hadi USD 300 MILLIONI.

Hii ni saww na machinga akwambie tochi anauza lakimoja,ukamshusha hadi jiti...100.

Nimemkumbuka Mr. Yebo...ongea nae mpaka mwisho...
 
Asante Rais Magufuli
Hopeless comment ever! Vipi Baba yako Lissu alisema tutapelekwa MIGA!! Lini mnatupeleka huko MIGA wewe msaliti namba moja??
Yours is more worse than ever,muungwana hatazami upande mmoja tu wa hamsini.Hugeuza na kutazama upande mwingine pia.Hili lipo wazi,kwa nini hutaki kukubali kuwa hiyo 2.7 ya CAG ni kodi ya Watanzania iko wapi??????????? ichanganywe na hii 300 wastaafu waliotumika kwa uaminifu wakafikisha Tanzania yetu mahali ilipo sasa wakalipwa mafao yao kwa wakati bila kuzungushwa na kubabaishwa mwisho wanafariki kabla hawajalipwa haki yao ya utumishi kwa uma.p wafanya biashara waliotoa huduma kwa serikali kwa njia mbalimbali wakalipwa madai yao kwa wakati
 
Sisi upinzania kama upinzani hatufurahii habari hii, tulitaka Barrick wagome kulipa tuanze kuponda kama kawida yetu.
 
Back
Top Bottom