Makirita Amani
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 1,915
- 3,422
- Thread starter
- #141
Mkijibiwa sawasawa yenu mnasema jazba.mhaririri wa hicho kitabu ni tajiri kwa sasa kwani natumaini kakisoma pia.
alafu kua kama msomi usilete jazba za vijiweni
Ukijibu ujinga nakujibu ujinga.
Sina jazba yoyote, zaidi tu nafurahia wewe kuingia kwenye hii mada, itawafikia wengi zaidi.