Habari Njema; Nimeidhinishwa na Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Kutoa Elimu ya Fedha

mhaririri wa hicho kitabu ni tajiri kwa sasa kwani natumaini kakisoma pia.

alafu kua kama msomi usilete jazba za vijiweni
Mkijibiwa sawasawa yenu mnasema jazba.
Ukijibu ujinga nakujibu ujinga.
Sina jazba yoyote, zaidi tu nafurahia wewe kuingia kwenye hii mada, itawafikia wengi zaidi.
 
hujanielewa bado

sijasema vitabu havisaidi lahasha bali si kusoma kitabu ndio kua tajiri.tajiri anazaliwa na anakua na moyo wa utajiri toka utotoni yani ni natural inborn
Tume hiyo source yako inayosema utajiri ni inborn.
Maana lazima utakuwa umesoma mahali, au unataka kutuambia wewe ni genius umeweza kuja na hiyo?
 
Kwahiyo saiv kuwa mtumishi wa uma, hasa kutoka kwenye sekta nyeti ya serikali ni utajiri?! Mh! Hii nchi hii 🙌

Ila hongera! Connection zenu zimewasaidia
Mkuu,
Mimi siyo mtumishi wa umma,
Sijaajiriwa popote.
Nipo napambana kuujenga utajiri.
Karibu tuambatane pamoja.
 
Ana jazba....watu aina hii
Kuna mahala ukigusa
Lazima wapandwe na jazba

Ova
😀😀
Mkuu, siwezi kuwa na jazba na anonymous people on the internet, ya nini nijiue mapema?
I am just having a good time.
Na UKIJA BILA GADI, NAGAWA WASTANI KWA IDADI.
Unaonaje hapo?
Tatizo mmezoea kuwakejeli watu humu ndani wanafyata mkia.
Njoo na facts tujadili facts.
Njoo na bullshit na naipasua.
Ni hivyo tu mkuu.
Mada nimeanzisha mimi, hukulazimishwa kucoment.
Leteni facts tujadili, siyo pretty issues.
 
Umesema vyema mkuu,
Na wajibu wetu kama waelimishaji ni kuondoa huu ujinga uliowaganda watu ambao unawaweka kwenye umasikini.
Tutatumia kila njia mpaka waelewe.
 
Mimi yangu ina milioni 700 na zaidi kidogo.., we sema tu yako hapa ili nione kama una credibility ya kunifundisha kuhusu biashara au pesa..
Mkuu,
Nafikiri maelekezo niliyotoa yanaeleweka.
Sasa kama huwezi kufuata hata maelekezo, unataka tujadili nini hapa?
Au ndiyo kutafuta attention tu humu?
Useme una milioni 700 kwa mdomo halafu ue ndiyo ukweli?
Mnaonaga watu ni misukule au?
 
Sawa mimi ni maskini. Ila siyo mjinga.
Kila mtu ni mjinga kwenye kitu fulani mkuu.
Kukubali ujinga ndiyo hatua ya kwanza ya kujifunza.
Penda kujifunza vile ambavyo hujui badala ya kukaza shingo.
 
Id nyingi zimekuja kumsapoti mleta uzi. Ni kitu kimoja kua na nadharia na ni kitu kingine nadharia kua practically doable.
Mkuu,
Tuna nadharia na tunafanya kwa vitendo.
Karibu twende pamoja.
 
Mkuu,
Orodha ya forbes ya matajiri inakataliana na hizi takwimu zako.
Unaweza kutusaidia chanzo cha hizi asilimia ulizoshirikisha hapa?
Bosi unamiini Forbes? Hujui kuwa iko manipulated kuwezesha watu am nchi kupata loans au financial status for lobbing?
 
Ila huruhusiwi kuchukua hadi miaka 25?
Unalipwa twice a year, you can cash out or reinvest by buying more bonds , mwisho wa miaka 25 unarudishiwa your principal money, na unaweza kuuza bonds zako anytime sio lazima umalize 25 years, ila kuna zaidi ya kujua in bonds markets try to educate yourself
 
Nakupongeza kwa hatua.
Pia, naomba muongozo unawafanya watu wathibitishwe na BOT kutoa elimu ya fedha yaani ada ya seminar na process nzima. Shukrani.
 
Rectify your self. No need ya kuwa arrogant.
 
Mkuu,
Nakujibu kama unavyokuja, hivyo ukihukumu nilo ni juu yako.
Njoo sawa, nitakujibu sawa. Njoo kwa majibu ya kejeli nakujibu kwa majibu ya kejeli.
Hiyo ndiyo maana halisi ya UKIJA BILA GADI, NAGAWA WASTANI KWA IDADI.
Karibu sana mkuu.
Hahaha, tit for tat sio! Sasa utapata wateja vinchwa ngumu kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…