FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Haaha, Wewe sema tu, akaunti yako ina kiasi gani? Tuone kama una credibility ya kufundisha mtu, halafu mi sisemi tu.., ipo kweli hiyo 700 πMkuu,
Nafikiri maelekezo niliyotoa yanaeleweka.
Sasa kama huwezi kufuata hata maelekezo, unataka tujadili nini hapa?
Au ndiyo kutafuta attention tu humu?
Useme una milioni 700 kwa mdomo halafu ue ndiyo ukweli?
Mnaonaga watu ni misukule au?
Unaweza kuchukua, unauza bond yako kwenye soko la hisa na kuchukua chako.Ila huruhusiwi kuchukua hadi miaka 25?
π πBosi unamiini Forbes? Hujui kuwa iko manipulated kuwezesha watu am nchi kupata loans au financial status for lobbing?
Karibu Mkuu,Nakupongeza kwa hatua.
Pia, naomba muongozo unawafanya watu wathibitishwe na BOT kutoa elimu ya fedha yaani ada ya seminar na process nzima. Shukrani.
We nakupuuza kwa sababu naona unataka tu attention.Unajua kwa nini madaktari hawatakiwi kujisifia?
Sina jibu la moja kwa moja benki ipi ina riba ndogo zaidi.Personal loans.
Mkuu, nipo humu JF tangu 2012, hawa wanacoment hasi kwenye maudhui ya aina hii huwaga siyo wateja, hivyo nachangamsha nao genge tu mada iende.Hahaha, tit for tat sio! Sasa utapata wateja vinywa ngumu kweli
Wewe pia nakupuuza kwa sababu naona unataka tu attention.Haaha, Wewe sema tu, akaunti yako ina kiasi gani? Tuone kama una credibility ya kufundisha mtu, halafu mi sisemi tu.., ipo kweli hiyo 700 π
Hata ingekuwa wewe, ungekubali kufundishwa kuhusu pesa na mtu ambae hata maandazi asubuhi yanampiga chenga?
Hongera sana mkuu kwa kuwa mwekezaji, hasa kupitia UTT ambayo ni fursa nzuri sana kwa hapa nchini kwetu.Hongera sana Bwana Makirita. Hii ni habari njema sana. Nimekuwa pia mwanachama mwaminifu wa UTT na faida yake naendelea kuiona. Asante kwa kuendelea kutuelimisha kupitia experience yako pia. Naomba ushauri mmoja.
Nami pia nipo kwenye safari ya kuusaka utajiri na uhuru wa kifedha. Nina uwezo wa kusave 4,200,000 kila mwezi kwenye mfuko wa UTT na nimekuwa nikifanya hivyo. Nataka nifikie uhuru wa kifedha haraka iwezekanavyo ndani ya miaka 7 mpaka 8 ijayo. Unanishauri nijikite katika uwekezaji upi hasa ili niweze kufikia malengo yangu kwa haraka zaidi?
NB: Sina muda wa kusimamia biashara kabisa
Hakuna.pesa.inayodumu pesa.zote.zinatumika kwenye mzunguko wa matumizi hata akiba hutolewa pale unapohitajika so kusema.za kudumu nakataa .Na pesa ikija bila elimu sahihi, unaishia kutenganishwa nazo na wajanja kama DECI, Mr. Kuku, na wengine kama hao.
Kwa hiyo hakikisha unapata elimu ya fedha kwanza, ili ukizipata ziweze kudumu.
Asante kwa maelezo.Unaweza kuchukua, unauza bond yako kwenye soko la hisa na kuchukua chako.
Ila hapo itategemea na hali ya soko.
Baada ya bond kuuzwa kwenye soko la awali (IPO) huwa zinaingia kwenye soko la upili kwenye soko la hisa. Kwenye soko la hisa watu wanaweza kuuziana kama wanavyouziana bidhaa nyingine.
Exactly FactNa pesa ikija bila elimu sahihi, unaishia kutenganishwa nazo na wajanja kama DECI, Mr. Kuku, na wengine kama hao.
Kwa hiyo hakikisha unapata elimu ya fedha kwanza, ili ukizipata ziweze kudumu.
Mkuu Makirita,nifanyeje na mimi niweze kupata cheti kama hiko?Unaweza kuchukua, unauza bond yako kwenye soko la hisa na kuchukua chako.
Ila hapo itategemea na hali ya soko.
Baada ya bond kuuzwa kwenye soko la awali (IPO) huwa zinaingia kwenye soko la upili kwenye soko la hisa. Kwenye soko la hisa watu wanaweza kuuziana kama wanavyouziana bidhaa nyingine.
Huwa siamini sana taarifa zao maana kuna kipindi waliiweka Nigeria na Rwanda ktk nchi zenye uchumi mkubwa Africa. Sasa ukiangalia Rwanda Ina asilimali gani au biashara gani za kuiweka ktk list hiyo? Kuna Uzi humu tulishawahi kujadili hilo suala.π π
Kwa hiyo tusiamini forbes ila tukuamini wewe?
Hizi conspiracy za kimasikini huwa zinashangaza sana.
Maana huwa hata haziendani na logic.
Watu wote wanaokuwa featured kwenye forbes utajiri wao ni wa vyanzo vilivyo wazi.
Sasa unasemaje inakuwa manipulated?
Kunipuuuza ni kutojibu comment yangu. Una kiasi gani kwenye akaunti, πWewe pia nakupuuza kwa sababu naona unataka tu attention.
Pata elimu ya usimamizi wa fedha binafsi na ujijenge vizuri kifedha, utaacha kuhangaika na haya mambo yako yasiyokuwa na tija.
Kila la kheri.