Jinga kabisa na connection zako, pelekeni Zanzibar huu uchafu wenu sisi hatuutaki
Vijana wa Kitanzania,
Msione tabu au uvivu kukisoma kilichopo chini, ni kwa manufaa yenu na ya Tanzania kwa ujumla.
Jana kuamkia leo ilibidi nifanye mawasiliano na Diaspora wa Tanzania waliopo Dubai. Nia na dhumuni ilikuwa ni kutafuta connection ya kuwatafutia vijana fursa za kazi ndani ya DP World.
Kwa bahati niliyeongea nae kwanza, kijana mwenzangu wa zamani, maarufu sana Dar au niseme Tanzania nzima, kwani alikuwa ni mcheza mpira wa kusifika enzi hizo.
Baada ya salaam na kuulizana ya hapa na pale nikamuuliza kuhusu DP World kama ana connection yoyote, kwanza kacheka akanambia wewe mtu zaidi ya wa kumi kuniuliza. Kwa ufupi, alikuwa na mtu tena mwema sana. Akanambia atanipigia baadae kidogo nimpe muda kidogo amtafute. Baada ya kama nusu saa akanistukiza kwa video conference call, akiwemo na huyo kijana ambae yupo jikoni, ndani ya Dubai World, hawa Dubai World ndiyo "mama" wa DP World. Tukaongea mengi sana.
Vijana wa Kitanzania watakao bahatika kupata kazi na DP World watafaidika na mengi. Kwa uchache:
1) Kutakuwa na kila aina ya ajira, wenye ujuzi na wasio na ujuzi watachukuliwa.
2) Mafunzo ya kazi ya mara kwa mara, ndani na nje ya nchi, yatatolewa kwa watakao pata kazi.
3) Uhamisho wa kituo cha kazi wa mara kwa mara kwa watakao ajiriwa.
4) Hatastahimiliwi mfanya kazi ambae hafati muda wa kazi na deadlines za assgnments.
5) Wenye kujua Kingereza kwa kusoma, kuandika na kuzungumza ndiyo watakuwa na chance kubwa.
6) Wenye kujua kutumia kompyuta kiwepesi chance zitakuwa kubwa.
7) Ukiwa mwongo kwenye cv au vyeti au kazini, hata ukishaajiriwa utaikosa kazi.
8) Wana policies and procedures kwa kila hatua ya kazi, ukikiuka hata kidogo ujue hauna kazi.
9) Visingizio (excuses) havina nafasi kabisa.
10) Rushwa aina yoyote kwa anaetoa au kupokea, ni "mmediate termination" hata kwa anaejaribu kugusia au kuzungumzia tu, haina mjadala.
Nimechoka kuandika kwa sasa, kuna mengi sana ntakuwa nayajazilia kidogo kidogo.
Mbele huko ntajulisha mpaka namna ya kupata kazi. Wapi pa kuanzia.
Nayafanya haya kwa nia njema kabisa, sitaki malipo, wala sitafuti kiki, hakuna tunaejuana humu isipokuwa wachache sana, tena wa karibu sana kwangu.
Uliza chochote hapa hapa jukwaa la wazi, sijibu PM.
Mwenyezi Mungu awe nasi. Nita update baadae lakini napokea maswali muda wote.
FF
Tena kwa udadavuzi, tondozi...[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Hapo hujafunguliwa chochote, inatakiwa Pdf ulisome mwenyewe
Umegeuka kuwa wakala!??Vijana wa Kitanzania,

Amelaaniwa huyu ajuza.Upuuzi mtupu, wachukue mali yetu halafu unakuja kujisifia kuwa tutapewa ajira. Kwa akili hizi maendeleo tutaishia kuyaona kwenye Tv.
Huyo na wenzake ni makala wa shetani.Calibre yenu ndio mnazidi angamiza Taifa!! Hata gas na rasilimali nyingine mliimba ngonjera kama hizi, leo gas tunaitafuta kwa tochi!!
Jinga kabisa, unajitolea kufanya kazi utumwani kwa nguvu zako zote, nawe umelaaniwa tu kwa kukosa akili.Umesahau kimoja, wavivu wavivu hawatakua na chance kabisaa!maana watz wengu wavivu,hawafanyi, wamekalia majungu majungu tu!vivid examples - wafanyakazi wa serikali
Upo huru na fikra zako za wajinga ndiyo waliwao.Upuuzi mtupu, wachukue mali yetu halafu unakuja kujisifia kuwa tutapewa ajira. Kwa akili hizi maendeleo tutaishia kuyaona kwenye Tv.
Utumwani wapi???we pumbafu kabisaa!fanya kazi acha uvivuuvivu!nimewasema watu wavivuwavivu kama nyie!acheni uvivu fanyeni kazi!mmekalia majungumajungu tuu!PUMBAF kabisaa!mjaa laana weweJinga kabisa, unajitolea kufanya kazi utumwani kwa nguvu zako zote, nawe umelaaniwa tu kwa kukosa akili.
Kama kwa Bakhresa tuVijana wa Kitanzania,
Msione tabu au uvivu kukisoma kilichopo chini, ni kwa manufaa yenu na ya Tanzania kwa ujumla.
Jana kuamkia leo ilibidi nifanye mawasiliano na Diaspora wa Tanzania waliopo Dubai. Nia na dhumuni ilikuwa ni kutafuta connection ya kuwatafutia vijana fursa za kazi ndani ya DP World.
Kwa bahati niliyeongea nae kwanza, kijana mwenzangu wa zamani, maarufu sana Dar au niseme Tanzania nzima, kwani alikuwa ni mcheza mpira wa kusifika enzi hizo.
Baada ya salaam na kuulizana ya hapa na pale nikamuuliza kuhusu DP World kama ana connection yoyote, kwanza kacheka akanambia wewe mtu zaidi ya wa kumi kuniuliza. Kwa ufupi, alikuwa na mtu tena mwema sana. Akanambia atanipigia baadae kidogo nimpe muda kidogo amtafute. Baada ya kama nusu saa akanistukiza kwa video conference call, akiwemo na huyo kijana ambae yupo jikoni, ndani ya Dubai World, hawa Dubai World ndiyo "mama" wa DP World. Tukaongea mengi sana.
Vijana wa Kitanzania watakao bahatika kupata kazi na DP World watafaidika na mengi. Kwa uchache:
1) Kutakuwa na kila aina ya ajira, wenye ujuzi na wasio na ujuzi watachukuliwa.
2) Mafunzo ya kazi ya mara kwa mara, ndani na nje ya nchi, yatatolewa kwa watakao pata kazi.
3) Uhamisho wa kituo cha kazi wa mara kwa mara kwa watakao ajiriwa.
4) Hatastahimiliwi mfanya kazi ambae hafati muda wa kazi na deadlines za assgnments.
5) Wenye kujua Kingereza kwa kusoma, kuandika na kuzungumza ndiyo watakuwa na chance kubwa.
6) Wenye kujua kutumia kompyuta kiwepesi chance zitakuwa kubwa.
7) Ukiwa mwongo kwenye cv au vyeti au kazini, hata ukishaajiriwa utaikosa kazi.
8) Wana policies and procedures kwa kila hatua ya kazi, ukikiuka hata kidogo ujue hauna kazi.
9) Visingizio (excuses) havina nafasi kabisa.
10) Rushwa aina yoyote kwa anaetoa au kupokea, ni "mmediate termination" hata kwa anaejaribu kugusia au kuzungumzia tu, haina mjadala.
Nimechoka kuandika kwa sasa, kuna mengi sana ntakuwa nayajazilia kidogo kidogo.
Mbele huko ntajulisha mpaka namna ya kupata kazi. Wapi pa kuanzia.
Nayafanya haya kwa nia njema kabisa, sitaki malipo, wala sitafuti kiki, hakuna tunaejuana humu isipokuwa wachache sana, tena wa karibu sana kwangu.
Uliza chochote hapa hapa jukwaa la wazi, sijibu PM.
Mwenyezi Mungu awe nasi. Nita update baadae lakini napokea maswali muda wote.
FF
Faiza ni wa hovyo tu, anaweza kuuza hata watoto wake wote au figo zote ili apate pesa!!Huyo na wenzake ni makala wa shetani.
Wewe uitwe Eshnurath tuTuslimu kaka hakuna namna

Uchumi wao umekuwa wapi hao maharamia wana kesi kila walipokwenda kuwekeza?Upo huru na fikra zako za wajinga ndiyo waliwao.
Kws kukujuza tu. Hutopata watu waaminifu na wakweli kwenye biashara kama hawa Waarabu wa Dubai.
Uchumi wao umekuwa kwa biashara tu, Dubai ni kitovu cha biashara za Dunia nzima. Wangekuwa siyo aaaminifu na wakweli wasingetoboa.
Waulize wanaokwenda kufanya biashara au matembezi Dubai wakueleze.
Nafahamu hasira za kukosa vigezo hizo.