Habari nyeti na nasaha zangu kuhusu vijana watakaofanya kazi na DP World

Habari nyeti na nasaha zangu kuhusu vijana watakaofanya kazi na DP World

sawa mama Samia, tunaaply wapi
Samahani sana, mimi siyo mama Samia pia mimi siyobwakala wakala wa DP World kwa kazi au ajira, nipo hapa kuwsongiza vijana kadrinya uwezo wangu vijana fursa zisiwspite.

Bofya chini hapo utafika Unapo apply👇🏾

👇🏾

Careers​

Banner Image

JOIN OUR WORLD​

Championing talent and technology to drive the future of world trade.

Why Work With Us​

We are the leading provider of data-driven logistics, deploying industry-leading technology to further broaden our digital vision to disrupt world trade, while ensuring a positive and sustainable impact on economies, societies and our planet.
Read More

Career Development​

We are committed to investing in our people. By shaping employees' career progression so they benefit personally and professionally, DP World benefits too.
Learn More

Diversity and Inclusion​

We draw on experiences and ideas of our diverse global workforce, developing them to reach their full potential which shape our efforts to be a good employer for everyone.
Learn More
Join our team to help reshape the global trade landscape.
Current Vacancies

Our Recruitment Process​

icon

Stage 1: Online Application​

All applicants are encouraged to apply online for vacancies listed on the website. If you do not see any current vacancies of interest, please join our Talent Community to register for alerts.
icon

Stage 2: Shortlist​

We will review all applications and draw up a shortlist based on skills and experience. We strive to keep applicants updated and will let you know if your application is progressing to the next stage as soon as possible.
icon

Stage 3: Interview and Assessment​

Shortlisted applicants will be invited to an interview. The interview may be conducted by telephone, video conference or in person. You may also be asked to complete an online or written assessment.
icon

Stage 4: Offer of Employment​

The successful applicant will be given a conditional offer of employment, pending completion of background and reference checks. Please note that we will never request you to pay a fee at any stage of our recruitment process.

Disclaimer​

×

DP World would like our prospective candidates to be aware of fraudulent recruitment scams.
DP World, and any recruitment agencies authorised to represent us, will not charge or collect any fee, nor require any money deposits from jobseekers at any stage of the recruitment process.
In addition, we would not send you an employment contract without engaging with you first, nor communicate with you from a publicly available email service such as Google, Hotmail etc.
Anyone dealing with unauthorized parties to seek job opportunities with us in exchange for money is doing so at their own risk and responsibility. DP World will not have any obligation to honour terms of any fraudulent offer letter issued or provide employment to anyone who has been issued a fraudulent offer letter, and are not responsible for any losses (monetary or otherwise).

Close

Naona unaifanya kazi yako ya Spinning humu kwa ufanisi Mkubwa, tangu Jumatatu ni Nyuzi kila siku kutuonesha waBara hatujakosea kuuza hizo bandari zetu.

Ajabu ni kuwa manufaa yote haya ndugu zetu wa Zanzibar hawakuyataka hadi kugomea Uuzaji wa bandari zao Isipokuwa sisi tu wa Bara.

Kweli kikulacho Ki Nguoni mwako 🙌
 
Bandari za Tanzania bara hazihusiani na bandari za Zanzibar kiuendeshaji, Wazanzibari walisha saini na kampuni mapema kabisa.
 
Bandari za Tanzania bara hazihusiani na bandari za Zanzibar kiuendeshaji, Wazanzibari walisha saini na kampuni mapema kabisa.
Kwani Katiba inasemaje kuhusu Bandari kuwa sehemu ya mambo ya Muungano?

Je Wenzetu Zanzibar imekodisha bandari zao kwa kipindi kisichojulikana kama sisi?
 
Vijana wa Kitanzania,

Msione tabu au uvivu kukisoma kilichopo chini, ni kwa manufaa yenu na ya Tanzania kwa ujumla.

Jana kuamkia leo ilibidi nifanye mawasiliano na Diaspora wa Tanzania waliopo Dubai. Nia na dhumuni ilikuwa ni kutafuta connection ya kuwatafutia vijana fursa za kazi ndani ya DP World.

Kwa bahati niliyeongea nae kwanza, kijana mwenzangu wa zamani, maarufu sana Dar au niseme Tanzania nzima, kwani alikuwa ni mcheza mpira wa kusifika enzi hizo.

Baada ya salaam na kuulizana ya hapa na pale nikamuuliza kuhusu DP World kama ana connection yoyote, kwanza kacheka akanambia wewe mtu zaidi ya wa kumi kuniuliza. Kwa ufupi, alikuwa na mtu tena mwema sana. Akanambia atanipigia baadae kidogo nimpe muda kidogo amtafute. Baada ya kama nusu saa akanistukiza kwa video conference call, akiwemo na huyo kijana ambae yupo jikoni, ndani ya Dubai World, hawa Dubai World ndiyo "mama" wa DP World. Tukaongea mengi sana.

Vijana wa Kitanzania watakao bahatika kupata kazi na DP World watafaidika na mengi. Kwa uchache:

1) Kutakuwa na kila aina ya ajira, wenye ujuzi na wasio na ujuzi watachukuliwa.

2) Mafunzo ya kazi ya mara kwa mara, ndani na nje ya nchi, yatatolewa kwa watakao pata kazi.

3) Uhamisho wa kituo cha kazi wa mara kwa mara kwa watakao ajiriwa.

4) Hatastahimiliwi mfanya kazi ambae hafati muda wa kazi na deadlines za assgnments.

5) Wenye kujua Kingereza kwa kusoma, kuandika na kuzungumza ndiyo watakuwa na chance kubwa.

6) Wenye kujua kutumia kompyuta kiwepesi chance zitakuwa kubwa.

7) Ukiwa mwongo kwenye cv au vyeti au kazini, hata ukishaajiriwa utaikosa kazi.

8) Wana policies and procedures kwa kila hatua ya kazi, ukikiuka hata kidogo ujue hauna kazi.

9) Visingizio (excuses) havina nafasi kabisa.

10) Rushwa aina yoyote kwa anaetoa au kupokea, ni "mmediate termination" hata kwa anaejaribu kugusia au kuzungumzia tu, haina mjadala.

Nimechoka kuandika kwa sasa, kuna mengi sana ntakuwa nayajazilia kidogo kidogo.

Mbele huko ntajulisha mpaka namna ya kupata kazi. Wapi pa kuanzia.

Nayafanya haya kwa nia njema kabisa, sitaki malipo, wala sitafuti kiki, hakuna tunaejuana humu isipokuwa wachache sana, tena wa karibu sana kwangu.

Uliza chochote hapa hapa jukwaa la wazi, sijibu PM.

Mwenyezi Mungu awe nasi. Nita update baadae lakini napokea maswali muda wote.

Update: podt #86 ina. Maelezo kamilibya namna ya ku apply.
FF
Ukishindwa kutumia akili tumia hata ujinga basi
 
HV kusimamia meli kushusha mafuta na mizigo tumeshindwa Hadi aje muarabu
 
Shabash ndugu yangu Faiza unajua kwa nini hawa wanapinga ni machawa wa mabwana zao wanaofanya kazi Bandarini sasa wanaona ile kula yao wanaojitengenezea ndio inaondoka nimesikia huko port kuna watu wanatengeneza 100M per day Ndio maana kelele zimekuwa kubwa sana za mbwa koko .DP World karibu TZ njoo uwafundishe manyangau nini maana ya bandari mutabweka sana mwaka huu .Raisi Samia suluhu Hekoo sana na air wapewe DNATA na Air tanzania wapewe Emirates or Qatar .
 
Back
Top Bottom