Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kwa mwarabu tu...angalia mikeka ya teuzi utaona kabisa "kuna haja ya kusilimu"kwa hiyo kupata kazi kwa mwarabu lazima usilimu ili kutimiza terms zao? Duh, mbona tanzania yote itasilimishwa kwa mtindo huu wa kupata ajira kwa waarabu
kwahiyo pamoja na kelele zote bado waarabu wanaendelea na bandari yetu mileleVijana wa Kitanzania,
Msione tabu au uvivu kukisoma kilichopo chini, ni kwa manufaa yenu na ya Tanzania kwa ujumla.
Jana kuamkia leo ilibidi nifanye mawasiliano na Diaspora wa Tanzania waliopo Dubai. Nia na dhumuni ilikuwa ni kutafuta connection ya kuwatafutia vijana fursa za kazi ndani ya DP World.
Kwa bahati niliyeongea nae kwanza, kijana mwenzangu wa zamani, maarufu sana Dar au niseme Tanzania nzima, kwani alikuwa ni mcheza mpira wa kusifika enzi hizo.
Baada ya salaam na kuulizana ya hapa na pale nikamuuliza kuhusu DP World kama ana connection yoyote, kwanza kacheka akanambia wewe mtu zaidi ya wa kumi kuniuliza. Kwa ufupi, alikuwa na mtu tena mwema sana. Akanambia atanipigia baadae kidogo nimpe muda kidogo amtafute. Baada ya kama nusu saa akanistukiza kwa video conference call, akiwemo na huyo kijana ambae yupo jikoni, ndani ya Dubai World, hawa Dubai World ndiyo "mama" wa DP World. Tukaongea mengi sana.
Vijana wa Kitanzania watakao bahatika kupata kazi na DP World watafaidika na mengi. Kwa uchache:
1) Kutakuwa na kila aina ya ajira, wenye ujuzi na wasio na ujuzi watachukuliwa.
2) Mafunzo ya kazi ya mara kwa mara, ndani na nje ya nchi, yatatolewa kwa watakao pata kazi.
3) Uhamisho wa kituo cha kazi wa mara kwa mara kwa watakao ajiriwa.
4) Hatastahimiliwi mfanya kazi ambae hafati muda wa kazi na deadlines za assgnments.
5) Wenye kujua Kingereza kwa kusoma, kuandika na kuzungumza ndiyo watakuwa na chance kubwa.
6) Wenye kujua kutumia kompyuta kiwepesi chance zitakuwa kubwa.
7) Ukiwa mwongo kwenye cv au vyeti au kazini, hata ukishaajiriwa utaikosa kazi.
8) Wana policies and procedures kwa kila hatua ya kazi, ukikiuka hata kidogo ujue hauna kazi.
9) Visingizio (excuses) havina nafasi kabisa.
10) Rushwa aina yoyote kwa anaetoa au kupokea, ni "mmediate termination" hata kwa anaejaribu kugusia au kuzungumzia tu, haina mjadala.
Nimechoka kuandika kwa sasa, kuna mengi sana ntakuwa nayajazilia kidogo kidogo.
Mbele huko ntajulisha mpaka namna ya kupata kazi. Wapi pa kuanzia.
Nayafanya haya kwa nia njema kabisa, sitaki malipo, wala sitafuti kiki, hakuna tunaejuana humu isipokuwa wachache sana, tena wa karibu sana kwangu.
Uliza chochote hapa hapa jukwaa la wazi, sijibu PM.
Mwenyezi Mungu awe nasi. Nita update baadae lakini napokea maswali muda wote.
Update: podt #86 ina. Maelezo kamilibya namna ya ku apply.
FF
mnaonaje iende zanzibar?Dp world hatuitaki Tanganyika
isiwe kero, kama vipi dp aje na maroboti ya kumfanyia kaziWavivu hawana chao hapo dp
Wale wa kutoka kwenda kula lunch na kurudi saa tisa alafu saa kumi anaondoka kurudi nyumbani kazi wanayo
[emoji1]
Ova
ee, ni lazima watetee ndugu zao, na bado watawapa miradi mingineHawa wenye wajomba Oman ndio watetezi wakuu wa hii kampuni ya DP World humu ndani
Wapeleke huko huko Kwa wajomba zaomnaonaje iende zanzibar?
Tz naamin tulikua bado hatujafikia stage ya kujitawala wenyewe! Kulikuwa na miaka 250 ya zaidi ya kutawaliwaHahahah
Anakuambia alienda mahali hajaona watu ni machine tu [emoji1]
Ova
waarabu wana historia kuwa waliwahi kutawala, hivyo wanaamini watatawala tena ndio maana wanarudi upya kidogokidogo mwisho wanakamata kila kitu ila wakumbuke mzungu naye atarudi kwa staili nyingine kutawala. Ni historia inajirudiaNaona bado rupia ya mwarabu inaendelea kutembea ili kutwaminisha juu mkataba huu mbovu
Sawa kabisa. Tanganyika hatutaki kuwa vibarua katika rasillimali zetu!Jinga kabisa na connection zako, pelekeni Zanzibar huu uchafu wenu sisi hatuutaki
wana kumbukumbu kuwa waliwahi kutawala na ushahidi upo, waliacha nasaba na alama za majengo na dini yao. Sasa wanarudi kiulaini kutawala kiuchumi, soon kisiasa na mchezo utakuwa umeisha. Mikataba si kitu kizuri daimaTunapelekwa utumwani Dubai bila kujulikana ukomo, ajabu anajitokeza kibaraka wa shetani asiyechoka kumtumikia shetani, muda wote ni kumpamba shetani.. hakika ushindwe na ulegee ewe bibi ulielaaniwa.
wanashangilia kwa kuwa ni dini moja na wana unasaba nao, wale ni ndugu zao. Sultan alifanya yake vitukuu vinarudi kutawala tena. Mzungu naye anawacheki tu naye atakuja kama huko nyuma alivyokuja kukomesha mambo yao ikiwemo biashara ya utumwaWapuuzi kweli, hawajui nao ni miongoni mwa watumwa wanaopelekwa Dubai, yanashangilia tu kama mazuzu.
Tulia ww wakala wa matapeli. Hata wakati wa gas ya Mtwara mlikuwa mnatangazw fursa zitakazopatikana. Mkatuingiza mjini tukanunua hadi ardhi huko tukitaka kuwekeza, sasa hivi mmbeki mnazungusha maneno tu. Watanzania ogopeni haya matapeli.Hili siyobtsngazo la kazi, tangazo la fursa zilizopo.
Amelaaniwa na nani? Inawezekana ikawa wewe ndio umelaaniwa ila hujijui.Amelaaniwa huyu ajuza.
Vijana wa Kitanzania,
Msione tabu au uvivu kukisoma kilichopo chini, ni kwa manufaa yenu na ya Tanzania kwa ujumla.
Jana kuamkia leo ilibidi nifanye mawasiliano na Diaspora wa Tanzania waliopo Dubai. Nia na dhumuni ilikuwa ni kutafuta connection ya kuwatafutia vijana fursa za kazi ndani ya DP World.
Kwa bahati niliyeongea nae kwanza, kijana mwenzangu wa zamani, maarufu sana Dar au niseme Tanzania nzima, kwani alikuwa ni mcheza mpira wa kusifika enzi hizo.
Baada ya salaam na kuulizana ya hapa na pale nikamuuliza kuhusu DP World kama ana connection yoyote, kwanza kacheka akanambia wewe mtu zaidi ya wa kumi kuniuliza. Kwa ufupi, alikuwa na mtu tena mwema sana. Akanambia atanipigia baadae kidogo nimpe muda kidogo amtafute. Baada ya kama nusu saa akanistukiza kwa video conference call, akiwemo na huyo kijana ambae yupo jikoni, ndani ya Dubai World, hawa Dubai World ndiyo "mama" wa DP World. Tukaongea mengi sana.
Vijana wa Kitanzania watakao bahatika kupata kazi na DP World watafaidika na mengi. Kwa uchache:
1) Kutakuwa na kila aina ya ajira, wenye ujuzi na wasio na ujuzi watachukuliwa.
2) Mafunzo ya kazi ya mara kwa mara, ndani na nje ya nchi, yatatolewa kwa watakao pata kazi.
3) Uhamisho wa kituo cha kazi wa mara kwa mara kwa watakao ajiriwa.
4) Hatastahimiliwi mfanya kazi ambae hafati muda wa kazi na deadlines za assgnments.
5) Wenye kujua Kingereza kwa kusoma, kuandika na kuzungumza ndiyo watakuwa na chance kubwa.
6) Wenye kujua kutumia kompyuta kiwepesi chance zitakuwa kubwa.
7) Ukiwa mwongo kwenye cv au vyeti au kazini, hata ukishaajiriwa utaikosa kazi.
8) Wana policies and procedures kwa kila hatua ya kazi, ukikiuka hata kidogo ujue hauna kazi.
9) Visingizio (excuses) havina nafasi kabisa.
10) Rushwa aina yoyote kwa anaetoa au kupokea, ni "mmediate termination" hata kwa anaejaribu kugusia au kuzungumzia tu, haina mjadala.
Nimechoka kuandika kwa sasa, kuna mengi sana ntakuwa nayajazilia kidogo kidogo.
Mbele huko ntajulisha mpaka namna ya kupata kazi. Wapi pa kuanzia.
Nayafanya haya kwa nia njema kabisa, sitaki malipo, wala sitafuti kiki, hakuna tunaejuana humu isipokuwa wachache sana, tena wa karibu sana kwangu.
Uliza chochote hapa hapa jukwaa la wazi, sijibu PM.
Mwenyezi Mungu awe nasi. Nita update baadae lakini napokea maswali muda wote.
Update: podt #86 ina. Maelezo kamilibya namna ya ku apply.
FF
Maadam FaizaFoxy!Vijana wa Kitanzania,

Thanks Maadam FaizaFoxy!Vijana wa Kitanzania,