Habari nyeti na nasaha zangu kuhusu vijana watakaofanya kazi na DP World

Zanzibar walianza kabla yetu. Hujasikia falsafa yao ya Blue Economy? Mama kajifunza kutoka kwa Hussein Mwinyi.

Soma hapa kuhusu sera ya Zanzibar ya Blue Economy 👇🏾 ilivyosifiwa na Umoja wa Mataifa👇🏾


Mama anaupiga Kimataifa.
 
Tunapelekwa utumwani Dubai bila kujulikana ukomo, ajabu anajitokeza kibaraka wa shetani asiyechoka kumtumikia shetani, muda wote ni kumpamba shetani.. hakika ushindwe na ulegee ewe bibi ulielaaniwa.
Mama Samia anaileta Dubai hapa hapa, kasnza DUBUY. Kaa kwa utuvu, ujifaraguwe. Bofya ujionee 👇🏾



Mama anaupiga Kimataifa.
 
Nime like sababu unawarusha roho WADANGANYIKA!😅😂🤣. Wameingia KINGI basi imekuwa furaha yako! 🤣😂😅. Janja sana weye mdau.
Nacheka wanavyolipuka kwa matusi na kejeli bila kujuwa unawachokonoa bila ya wao kujuwa!😅😂🤣
 
Mishahara yenyewe inatoka bara, hawana lolote
 
Tangu DP w waanze kutajwa humu, FaizaFoxy na GENTAMYCIME wamekua very vocal.
Huu uchawa kwa Hawa waarabu unamaanisha nini? Msidhani DP inaendeshwa na wajukuu wa wafanya biashara ya watumwa, mtajua hamjui mtakapoona mijibeberu ndio inaendesha mradi.
ndio ilivyo, beberu ni mjanja sana, atamtumia mwarabu sana tu. Huyu mwarabu akitaka kuleta wataalam wa kibeberu hakuna wa kumzuia maana ana mkataba wa kimataifa. Ataleta mpaka wachina na wahindi.
 
Nini kifanyike ili nasi tuwe na kampuni kubwa ya namna hiyo, nasi tuweze kuwekeza kwenye bandari za nje?
 
ndio ilivyo, beberu ni mjanja sana, atamtumia mwarabu sana tu. Huyu mwarabu akitaka kuleta wataalam wa kibeberu hakuna wa kumzuia maana ana mkataba wa kimataifa. Ataleta mpaka wachina na wahindi.
Hakuna beberu mbaya Tanzania kama CCM
 
Nini kifanyike ili nasi tuwe na kampuni kubwa ya namna hiyo, nasi tuweze kuwekeza kwenye bandari za nje?
Tujijengee uwezo kwa kutafuta maarifa na teknlojia ya kujenga, kuendesha, kusimamia na kudhibiti bandari zetu wenyewe. Tusitafute wa kutujengea na kutuendeshea rasimali zetu.
 
Wakati Watanzania wanatatafuta njia za kuwafurusha DP World, wewe unatuletea udalali wako.

Ajira hizo peleka Zanzibar, ibinafsishwe bandari ya Zanzibar Kwa DP World ndipo ulete huu udalali wako.
 
Ni nani sasa wa kufanya hayo maamuzi?
Ni sisi wenyewe kwa kuendelea kupaza sauti zetu katika majukwaa mbalimbali kama tufanyavyo hapa. Mwishowe tutapata wenye uzalendo na kuwapa dhamana ya kutuongoza tutakavyo sisi. Tujiulize: kwani wanaoweza kufanikiwa wamepata wapi maarifa, mbinu na ujuzi?

Tusitafute kupewa samaki bali tutafute maarifa na vifaa vya kuvulia samaki. La sivyo tutabakia ombaomba daima milele!
 
we vipi? Yaani unataka usultani urudi tena zanziba kwa mlango wa uwekezaji mkubwa kama huo wa bandari? Sasa si mwarabu atafurahi kupata koloni lake ambalo babu yao sultan seyyid said alitawala akitokea oman? Waarabu bara kuna sehemu walizitawala ila kwingine nyikani hawakugusa. Hata wakitawala pwani yote ya bahari ya hindi kamwe bara hawataweza kutawala kama mwanzo. Wanaitaka pwani kwa kuwa wana historia nayo kuwa mababu zao walitawala. Sasa vilembwekwezi na vitukuu vya sultan wanarudi upya kwa gia ya uwekezaji
 
Nchi nyingi za kiafrika haziendelei kutokana na mifumo iliyo wekwa; mifumo mingi inawalinda wenye maamuzi, na ni vigumu pia hao waamuzi kuibadilisha.
 
Tuwakatae na kuwazuia kabisa huku tukijikita kujipa uwezo wa kujisimamia. Huo ndio uhuru halisi na kamili.
 
Hata mkataba wa gas ya mtwara sifa za fursa tuliambiwa zitakuwa kama hizi hizi. Leo hii tunaambiwa gas sio yetu! Tuliambiwa bomba la gas likifika Dar, mgao wa umeme utakuwa ni historia. Hivi leo tunalia kilio cha mbwa mdomo juu. Ogopa matapeli.
umenikumbusha maombi yangu kwenye kampuni ya uchimbaji gesi asilia ya mtwara (maurel & PROM) niliyoyafanya 2021...
 
Naona unapigia chepuo mpango wa kiranja Mkuu. Nataman huu uwekezaji ungeanzia Zanzibar halafu bara/Tanganyika kusingekuwa na shida kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…