QFL MAGODORO DODOMA this is the best foamHabari wakuu naomba kuuliza Kuna tofauti kati ya qfl na magodoro Dodoma
Au hayo qfl ndio magodoro Dodoma
Nahitaji kununua 5x6 my budget 300,000tzs
Pia Ushauri wa godoro zuri kwa mwenye uzoefu inches 8 vs 10
Ni zuri kuzidi Tanfoam?Achana na huo utopolo chukua vita supreme
Bora uchukue inch 8 kwa hiyo bei lakini ni qualityUchumi broo shida apo mshahara wenyewe una (,) Moja tu🤣
Nimetumia tanfoam na supreme ila naona supreme lina una fuu japo jamaa wa tanfoam wanauzia brand vilevileNi zuri kuzidi Tanfoam?
Ni gumu,halafu vilevile watu wanasahau kitu kingine mnazingatia godoro tu ila mnasahau chaga za kitanda ni factor mojawapo inayochangia maumivu ya mgongo yaani unaweza kuwa na godoro bora ila chaga sasa utakuta katikati godoro limebonyea.Halibonyei onyo maana mgongo unasumbua hivi maumivu sometimes
Sasa Chaga ziwe vip manNi gumu,halafu vilevile watu wanasahau kitu kingine mnazingatia godoro tu ila mnasahau chaga za kitanda ni factor mojawapo inayochangia maumivu ya mgongo yaani unaweza kuwa na godoro bora ila chaga sasa utakuta katikati godoro limebonyea.
Ziwe karibu karibu sana mafundi wajanja wanaacha space kubwa kubana mbaoSasa Chaga ziwe vip man
HAKUNA GODORO LINALO WEZA ZIDI TANFORMNi zuri kuzidi Tanfoam?
Ziwe Pana na zikaribiane zisiwe mbalimbaliSasa Chaga ziwe vip man
Vipi mkuu magodoro ya Dodoma asili ni mazuri!?QFL MAGODORO DODOMA this is the best foam
Halafu kuna Dodoma asili