Habari wakuu naomba kuuliza Kuna tofauti kati ya qfl na magodoro Dodoma

1Africa54

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2025
Posts
464
Reaction score
549
Habari wakuu naomba kuuliza Kuna tofauti kati ya qfl na magodoro Dodoma

Au hayo qfl ndio magodoro Dodoma

Nahitaji kununua 5x6 my budget 300,000tzs

Pia Ushauri wa godoro zuri kwa mwenye uzoefu inches 8 vs 10
 
Ngoja wataalam waje...ila QFL ndiyo hayo hayo Magodoro Dodoma.

5x6 Bei yake nzuri ,za nchi 8 unaweza kupata hata kwa 250,000/=

Je Vita Foam nayo ubora ukoje? Bei yake imechangamka.
 
QFL=Quality Form Limited, ni kiwanda kilichopo Dar es salaam kinachotengeneza magodoro yanayoitwa "Dodoma"! Jina hili linakuja kutokana na ukweli kwamba kiwanda hicho kilianzia Dodoma kwa maana ya jina Dodoma. Hivyo kwa mujibu wa swali lako ni kwamba QFL Magodoro Dodoma original ni kitu kimoja, ni kitu hicho hicho!

Ila sasa kuna kingine kinaitwa Magodoro Dodoma Halisi, hiki ni kitu kingine kabisa! Hivyo cheza ngoma, angalia jua.
 
Na cha kushangaza QFL magodoro Dodoma kuna label Made In China... 😀 😀
 
QFL=Quality Form Limited, ni kiwanda kilichopo Dar es salaam kinachotengeneza magodoro yanayoitwa "Dodoma"! Jina hili linakuja kutokana na ukweli kwamba kiwanda hicho kilianzia Dodoma kwa maana ya jina Dodoma. Hivyo kwa mujibu wa swali lako ni kwamba QFL Magodoro Dodoma original ni kitu kimoja, ni kitu hicho hicho!

Ila sasa kuna kingine kinaitwa Magodoro Dodoma Halisi, hiki ni kitu kingine kabisa! Hivyo cheza ngoma, angalia jua.
Duuuh 🙌 😂 sasa apo qfl magodoro Dodoma au nichukue magodoro Dodoma maana nasikia Kuna brand apo inabonyea kama parachichi la juice
 
Back
Top Bottom