Habari za Kiuchunguzi kuhusu Maelfu ya Askari wa Rwanda waliouawa katika mapigano ya DRC

JokaKuu

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2006
Posts
34,188
Reaction score
62,952
..

..maiti wamekuwa wengi mno, askari wa vyeo vya chini wanazikwa katika mass graves huko DRC.

..miili ya maofisa inayorudishwa Rwanda ina hali mbaya ya kutisha, familia zinalazimishwa kuzika bila kuonyeshwa wapendwa wao.

..Mzee Kagame amekiri "kiaina" katika moja ya hotuba zake alipogusia kwamba mchango wa askari waliopoteza maisha hautasahaulika.

..kupata taarifa nzima soma hapa chini.

PK na watutsi wenzake wenye misimamo mikali, wanavuna waliyoyapanda.

Acha washughulikiwe na ikiwezekana wanalizwe wote
 
Ni rahisi kupigana na jeshi moja kama vita ya Kagera ila ni vigumu sana waasi na nchi yao kupigana na nchi nyingi zenye technology tofauti ya vita , m23 hawataweza kupigana na kushinda majeshi ya Drc ambao ni kwao, Tz, Kenya, SA, Burundi na nchi zinginezo, ni suala la muda tu tutasikia kuko kimya business as usual!!

Kinachotakiwa ni azimio tu la nchi za SADC kuwa waasi waondolewe kwisha kazi, m23 watauwawa sana na haitaoneshwa ili propaganda kuwa wanashinda ziendelee kumbe wanamalizwa na watakwisha wasipokimbia, hebu fikiria vifaa vya kijeshi vya South ambao eti kale kanchi kamewatunishia misuli
 
..

..maiti wamekuwa wengi mno, askari wa vyeo vya chini wanazikwa katika mass graves huko DRC.

..miili ya maofisa inayorudishwa Rwanda ina hali mbaya ya kutisha, familia zinalazimishwa kuzika bila kuonyeshwa wapendwa wao.

..Mzee Kagame amekiri "kiaina" katika moja ya hotuba zake alipogusia kwamba mchango wa askari waliopoteza maisha hautasahaulika.

..kupata taarifa nzima soma hapa chini.

Waliokuwa wanamuona Kagame kama wbattle-hardened cookie, waanze kufikiri upya. Niliwahi kuhoji kuwa kama alimshindwa Habyarimana hadi akamtungua, tukitia buti si atakiona alichokiona mwenzake Amin.
 
Usalama wa Mashariki ya DRC, unahitaji Rwanda apigwe. Na hizi diplomatic solutions hazina maana kwenye mgogoro huo. Kinachotakiwa ni military intervention. Over
 
Waliokuwa wanamuona Kagame kama wbattle-hardened cookie, waanze kufikiri upya. Niliwahi kuhoji kuwa kama alimshindwa Habyarimana hadi akamtungua, tukitia buti si atakiona alichokiona mwenzake Amin.

..majeshi ya Tanzania, Malawi, na South Africa, yamekutwa flat footed, ndio maana wamepoteza maeneo na ngome zao.

..jeshi la Congo, pamoja na wanamgambo wao, wameonyesha utovu wa nidhamu, na uwezo wa mdogo, katika uwanja wa mapambano.

..pia nchi za SADC hazijaonyesha nia ya dhati kwa kutoa vifaa na askari wa kutosha kuitetea DRC. Mazingira hayo ndiyo yaliyopelekea M23 na Rwanda kujiamini na kushambulia ngome za nchi za SADC.

..DRC na SADC wasipokuwa makini msishangae M23 na Rwanda wakafika Kinshasa.

NB:

..nahisi SADC ya miaka hii imepungukiwa viongozi wenye mioyo ya kishujaa kama Julius Nyerere, Samora Machel, Robert Mugabe, au Sam Nujoma.

Cc Nguruvi3
 
Hao unaowaita viongozi wengi ni wasanii wa kawaida au tuseme mapedejeee. Sioni kiongozi hapo zaidi ya wezi waitwao viongozi
 
..majeshi ya Tanzania, Malawi, na South Africa, yamekutwa flat footed, ndio maana wamepoteza maeneo na ngome zao.

..jeshi la Congo, pamoja na wanamgambo wao, wameonyesha utovu wa nidhamu, na uwezo wa mdogo, katika uwanja wa mapambano.

..pia nchi za SADC hazijaonyesha nia ya dhati kwa kutoa vifaa na askari wa kutosha kuitetea DRC. Mazingira hayo ndiyo yaliyopelekea M23 na Rwanda kujiamini na kushambulia ngome za nchi za SADC.

..DRC na SADC wasipokuwa makini msishangae M23 na Rwanda wakafika Kinshasa.

NB:

..nahisi SADC ya miaka hii imepungukiwa viongozi wenye mioyo ya kishujaa kama Julius Nyerere, Samora Machel, Robert Mugabe, au Sam Nujoma.

Cc Nguruvi3
Apelekwe Major. General Mwakibolwa akamalize kazi period!
 
..

..maiti wamekuwa wengi mno, askari wa vyeo vya chini wanazikwa katika mass graves huko DRC.

..miili ya maofisa inayorudishwa Rwanda ina hali mbaya ya kutisha, familia zinalazimishwa kuzika bila kuonyeshwa wapendwa wao.

..Mzee Kagame amekiri "kiaina" katika moja ya hotuba zake alipogusia kwamba mchango wa askari waliopoteza maisha hautasahaulika.

..kupata taarifa nzima soma hapa chini.

Safi sana kilichobaki sasa ni kumkamata Kagame mwenyewe na his people close to him, possibly his family na kuwashughuikia ipasavyo before killing them.
 
..majeshi ya Tanzania, Malawi, na South Africa, yamekutwa flat footed, ndio maana wamepoteza maeneo na ngome zao.

..jeshi la Congo, pamoja na wanamgambo wao, wameonyesha utovu wa nidhamu, na uwezo wa mdogo, katika uwanja wa mapambano.

..pia nchi za SADC hazijaonyesha nia ya dhati kwa kutoa vifaa na askari wa kutosha kuitetea DRC. Mazingira hayo ndiyo yaliyopelekea M23 na Rwanda kujiamini na kushambulia ngome za nchi za SADC.

..DRC na SADC wasipokuwa makini msishangae M23 na Rwanda wakafika Kinshasa.

NB:

..nahisi SADC ya miaka hii imepungukiwa viongozi wenye mioyo ya kishujaa kama Julius Nyerere, Samora Machel, Robert Mugabe, au Sam Nujoma.

Cc Nguruvi3
SADC kama NATO tu ndio maana Trump kawaambia watoe mchango sawa, kama ni pesa watoe, na silaha watoe, utegemezi unamwisho.
Sasa huko SADC ni hayo hayo, kutegeana.
 
..EAC ndio kichwa cha mwendawazimu kabisa.

..inawezekana vipi mwanachama mmoja akamvamia kijeshi mwanachama mwingine?

..au mwanachama mmoja akawa anafuga makundi ya waasi / magaidi dhidi ya mwanachama mwingine?

..kabla ya kuwa mwanachama wa EAC nchi husika ilipaswa kuwa na vigezo fulani ikiwemo utawala wa sheria, stability, etc
 
Back
Top Bottom