- Thread starter
- #181
Nenda katika Kijiji Cha Gbadolite nyumbani kwake Marehemu Rais Mobutu Sese Seko ili ukahesabie mafuvu ya mifupa ya Watu aliowaua na kuzikwa huko ili ujue idadi ya Watu aliowaua.
Aidha, pia nenda kawaone wale waliokuwa Wanajeshi wa Kikosi Maalumu Cha Kumlinda Rais Mobutu Sese Seko ili ukachukue takwimu sahihi za idadi ya Watu waliouawa na Mobutu na kisha maiti zao ziliunguzwa au kuyeyushwa kwenye Chemikali (tindikali). Nafikiri mwishowe utaweza kupata idadi kamili ya Watu waliouawa na Mobutu Sese Seko.
..Kagame ameuwa Wacongo wengi kuliko waliouwawa wakati wa Mobutu.
..genocide dhidi ya Watutsi ndio inawafanya watu waone haya, au wapate kigugumizi, kumuweka Kagame ktk nafasi sahihi miongoni mwa wauwaji.