Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 3,504
- 6,809
Propaganda and zero facts, and FYI Kinachoendelea ni legacy ya Mobutu na wajinga wenzake, unauliza M23 wanadai haki gani and at the same time unawaita sio raia wa Congo na kuwafanyia genocide, very unserious guy 👎Historia ndiyo imeandika hivyo na Watusi hawajakanusha. Ikiwa ni upumbuvu basi ni wa Historia si Wasomaji
Pili, PK analaumiwa kwa kuunga mkono M23 kwa silaha na askari. Soma mada ya Uzi huu utaelewa.
Tatu, Banyamurenge walikuwepo wakati wa Mobutu, mbona hawakuwahi kubeba silaha!
Nne, Tshesekedi kuwa dereva Uber haondoi ukweli kwamba ni Rais wa DRC. Udereva wake si hoja
Tano, ikiwa Banyumulenge ni Raia haki gani wanayodai na kupelekea wabebe silaha!