Habari za Kiuchunguzi kuhusu Maelfu ya Askari wa Rwanda waliouawa katika mapigano ya DRC

Itakuwa bora, mmoja afe mamilioni waishi.
Mnasingizia asiyehusika na shida zenu, acheni ukabila na kuchukua haki za wengine and everything will be fine, mnaishi legacy ya Mobutu wapuuzi wakubwa nyie, hope mtashindwa vita
 
..EAC ndio kichwa cha mwendawazimu kabisa.

..inawezekana vipi mwanachama mmoja akamvamia kijeshi mwanachama mwingine?

..au mwanachama mmoja akawa anafuga makundi ya waasi / magaidi dhidi ya mwanachama mwingine?

..kabla ya kuwa mwanachama wa EAC nchi husika ilipaswa kuwa na vigezo fulani ikiwemo utawala wa sheria, stability, etc
Upo sahihi sana
 
..

..maiti wamekuwa wengi mno, askari wa vyeo vya chini wanazikwa katika mass graves huko DRC.

..miili ya maofisa inayorudishwa Rwanda ina hali mbaya ya kutisha, familia zinalazimishwa kuzika bila kuonyeshwa wapendwa wao.

..Mzee Kagame amekiri "kiaina" katika moja ya hotuba zake alipogusia kwamba mchango wa askari waliopoteza maisha hautasahaulika.

..kupata taarifa nzima soma hapa chini.

Wamejitakia wenyewe, wizi haulipi. Kagame is just using them for his own prosperity.
 
Mnasingizia asiyehusika na shida zenu, acheni ukabila na kuchukua haki za wengine and everything will be fine, mnaishi legacy ya Mobutu wapuuzi wakubwa nyie, hope mtashindwa vita
Hiyo ni faida. Mmoja afe mamilioni waishi kwa amani period
 
Mwl wangu Dr. Mohabe Nyirabu pale UDSM kwenye somo la Regional Integration alitoa vigezo mahususi ili kuwa member wa regional economic bloc lakini naona viongozi wa nchi leo wanajifanyia yao tu mpaka wakawaruhusu Rwanda, Somalia na DRC eti nao kuwa members😂😂
Yaani hii EAC ni vichekesho vitupu,eti Somalia 🇸🇴 & DRC ni wanachama.
 
Waliokuwa wanamuona Kagame kama wbattle-hardened cookie, waanze kufikiri upya. Niliwahi kuhoji kuwa kama alimshindwa Habyarimana hadi akamtungua, tukitia buti si atakiona alichokiona mwenzake Amin.
Alafu kale ka nch ni kadogo sana tunaweza fanya mkoa wa Rwanda tukishinda "alisikika mlevi mmoja akilopoka.
 
..

..maiti wamekuwa wengi mno, askari wa vyeo vya chini wanazikwa katika mass graves huko DRC.

..miili ya maofisa inayorudishwa Rwanda ina hali mbaya ya kutisha, familia zinalazimishwa kuzika bila kuonyeshwa wapendwa wao.

..Mzee Kagame amekiri "kiaina" katika moja ya hotuba zake alipogusia kwamba mchango wa askari waliopoteza maisha hautasahaulika.

..kupata taarifa nzima soma hapa chini.

Rwanda nao wameua mercenaries wengi sana
 
Sidhani kama ni sahihi. Maana habari zilizopo ni kwamba waasi wamekuwa na nguvu sana, na wanazidi kuteka miji mingine mikubwa
 
..

..maiti wamekuwa wengi mno, askari wa vyeo vya chini wanazikwa katika mass graves huko DRC.

..miili ya maofisa inayorudishwa Rwanda ina hali mbaya ya kutisha, familia zinalazimishwa kuzika bila kuonyeshwa wapendwa wao.

..Mzee Kagame amekiri "kiaina" katika moja ya hotuba zake alipogusia kwamba mchango wa askari waliopoteza maisha hautasahaulika.

..kupata taarifa nzima soma hapa chini.

Duuh Hatari!
 
Back
Top Bottom