Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
They deserve any kind of malice as Kagame is a devil na devil hana thamani mbele ya watu / jamiiUna maana gani mkuu?
Una maanisha usodoma au vipi, Fafanua kidogo.
Mnasingizia asiyehusika na shida zenu, acheni ukabila na kuchukua haki za wengine and everything will be fine, mnaishi legacy ya Mobutu wapuuzi wakubwa nyie, hope mtashindwa vitaItakuwa bora, mmoja afe mamilioni waishi.
Idiots like you hamna any idea why there’s war in CongoThey deserve any kind of malice as Kagame is a devil na devil hana thamani mbele ya watu / jamii
Upo sahihi sana..EAC ndio kichwa cha mwendawazimu kabisa.
..inawezekana vipi mwanachama mmoja akamvamia kijeshi mwanachama mwingine?
..au mwanachama mmoja akawa anafuga makundi ya waasi / magaidi dhidi ya mwanachama mwingine?
..kabla ya kuwa mwanachama wa EAC nchi husika ilipaswa kuwa na vigezo fulani ikiwemo utawala wa sheria, stability, etc
Wamejitakia wenyewe, wizi haulipi. Kagame is just using them for his own prosperity...
..maiti wamekuwa wengi mno, askari wa vyeo vya chini wanazikwa katika mass graves huko DRC.
..miili ya maofisa inayorudishwa Rwanda ina hali mbaya ya kutisha, familia zinalazimishwa kuzika bila kuonyeshwa wapendwa wao.
..Mzee Kagame amekiri "kiaina" katika moja ya hotuba zake alipogusia kwamba mchango wa askari waliopoteza maisha hautasahaulika.
..kupata taarifa nzima soma hapa chini.
![]()
Rwandan troops ‘dying in large numbers in DRC’, despite official denials of role
Exclusive: Sources say thousands of RDF killed supporting M23 rebels in eastern Congo, intensifying pressure on Kigaliwww.theguardian.com
An idiot doesn't know the truth but is ready to argues and spread lies much like what you are doing.Idiots like you hamna any idea why there’s war in Congo
Sasa waliouawa wengi eti ndio wameikamata Goma na wanasonga mbele kuelekea Bukavu 😳 !
Hiyo ni faida. Mmoja afe mamilioni waishi kwa amani periodMnasingizia asiyehusika na shida zenu, acheni ukabila na kuchukua haki za wengine and everything will be fine, mnaishi legacy ya Mobutu wapuuzi wakubwa nyie, hope mtashindwa vita
Yaani hii EAC ni vichekesho vitupu,eti Somalia 🇸🇴 & DRC ni wanachama.Mwl wangu Dr. Mohabe Nyirabu pale UDSM kwenye somo la Regional Integration alitoa vigezo mahususi ili kuwa member wa regional economic bloc lakini naona viongozi wa nchi leo wanajifanyia yao tu mpaka wakawaruhusu Rwanda, Somalia na DRC eti nao kuwa members😂😂
"bora liende kufa si ajabu tusonge mbele baadae mnakwenda kujikuta mpo wanajeshi 20 tu "Sasa waliouawa wengi eti ndio wameikamata Goma na wanasonga mbele kuelekea Bukavu 😳 !
Hii imekaaje ???! 😄
Vita havina macho !"bora liende kufa si ajabu tusonge mbele baadae mnakwenda kujikuta mpo wanajeshi 20 tu "
-
Wanadunguliwa mmoja mmoja kitaalamu bila kuumisa raia wema.
Alafu kale ka nch ni kadogo sana tunaweza fanya mkoa wa Rwanda tukishinda "alisikika mlevi mmoja akilopoka.Waliokuwa wanamuona Kagame kama wbattle-hardened cookie, waanze kufikiri upya. Niliwahi kuhoji kuwa kama alimshindwa Habyarimana hadi akamtungua, tukitia buti si atakiona alichokiona mwenzake Amin.
An idiot is a person like you who spread lies thinking people are stupid when it's vice versaIdiots like you hamna any idea why there’s war in Congo
Rwanda nao wameua mercenaries wengi sana..
..maiti wamekuwa wengi mno, askari wa vyeo vya chini wanazikwa katika mass graves huko DRC.
..miili ya maofisa inayorudishwa Rwanda ina hali mbaya ya kutisha, familia zinalazimishwa kuzika bila kuonyeshwa wapendwa wao.
..Mzee Kagame amekiri "kiaina" katika moja ya hotuba zake alipogusia kwamba mchango wa askari waliopoteza maisha hautasahaulika.
..kupata taarifa nzima soma hapa chini.
![]()
Rwandan troops ‘dying in large numbers in DRC’, despite official denials of role
Exclusive: Sources say thousands of RDF killed supporting M23 rebels in eastern Congo, intensifying pressure on Kigaliwww.theguardian.com
Lakini wale inasemekana walikuja ku train jeshi la DRC. Kuna ukweli gani kuhusu hili!Rwanda nao wameua mercenaries wengi sana
Duuh Hatari!..
..maiti wamekuwa wengi mno, askari wa vyeo vya chini wanazikwa katika mass graves huko DRC.
..miili ya maofisa inayorudishwa Rwanda ina hali mbaya ya kutisha, familia zinalazimishwa kuzika bila kuonyeshwa wapendwa wao.
..Mzee Kagame amekiri "kiaina" katika moja ya hotuba zake alipogusia kwamba mchango wa askari waliopoteza maisha hautasahaulika.
..kupata taarifa nzima soma hapa chini.
![]()
Rwandan troops ‘dying in large numbers in DRC’, despite official denials of role
Exclusive: Sources say thousands of RDF killed supporting M23 rebels in eastern Congo, intensifying pressure on Kigaliwww.theguardian.com
Rwanda nao wameua mercenaries wengi sana