John Wickzer Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 6,656
- 14,403
Kwanini Tanzania tunajihusisha sana na hizi mambo, eti ooh kikao cha usuluhishi kifanyike Tanzania why? Mm ningeshauri tujifanye kama hatujui kinachoendelea kisha tulinde mpaka wetu kwa nguvu, tuajiri walimu bora kwenye mashule yetu. Tupandishe mishahara ya walimu wetu, tujenge maabara za kisasa kwenye mashule yetu tuongeze bajeti ya elimu.
Elimu ndiyo itatutoa siyo hizo mambo za bunduki bunduki
Yes, ni kuachana kabisa na masuala haya ya huko DRC.
Kwa wale Watu ambao wanaona inafaa jambo hili lijadiliwe, basi wajulishwe kwenda huko Goma DRC ili waende wakalijadili suala hili huko uwandani kwenye eneo la Mgogoro.