..
..maiti wamekuwa wengi mno, askari wa vyeo vya chini wanazikwa katika mass graves huko DRC.
..miili ya maofisa inayorudishwa Rwanda ina hali mbaya ya kutisha, familia zinalazimishwa kuzika bila kuonyeshwa wapendwa wao.
..Mzee Kagame amekiri "kiaina" katika moja ya hotuba zake alipogusia kwamba mchango wa askari waliopoteza maisha hautasahaulika.
..kupata taarifa nzima soma hapa chini.
Rwandan troops ‘dying in large numbers in DRC’, despite official denials of role
Exclusive: Sources say thousands of RDF killed supporting M23 rebels in eastern Congo, intensifying pressure on Kigaliwww.theguardian.com
ndiyo kwanza jana alikutana na mke wa Kagame US, tena mke alikaa jukwaa kuu, jiongezeTrump yupo sahihi sana
Siku zoteTrump yupo sahihi sana
Waliokuwa wanamuona Kagame kama wbattle-hardened cookie, waanze kufikiri upya. Niliwahi kuhoji kuwa kama alimshindwa Habyarimana hadi akamtungua, tukitia buti si atakiona alichokiona mwenzake Amin...
..maiti wamekuwa wengi mno, askari wa vyeo vya chini wanazikwa katika mass graves huko DRC.
..miili ya maofisa inayorudishwa Rwanda ina hali mbaya ya kutisha, familia zinalazimishwa kuzika bila kuonyeshwa wapendwa wao.
..Mzee Kagame amekiri "kiaina" katika moja ya hotuba zake alipogusia kwamba mchango wa askari waliopoteza maisha hautasahaulika.
..kupata taarifa nzima soma hapa chini.
Rwandan troops ‘dying in large numbers in DRC’, despite official denials of role
Exclusive: Sources say thousands of RDF killed supporting M23 rebels in eastern Congo, intensifying pressure on Kigaliwww.theguardian.com
Usalama wa Mashariki ya DRC, unahitaji Rwanda apigwe. Na hizi diplomatic solutions hazina maana kwenye mgogoro huo. Kinachotakiwa ni military intervention. Over..
..maiti wamekuwa wengi mno, askari wa vyeo vya chini wanazikwa katika mass graves huko DRC.
..miili ya maofisa inayorudishwa Rwanda ina hali mbaya ya kutisha, familia zinalazimishwa kuzika bila kuonyeshwa wapendwa wao.
..Mzee Kagame amekiri "kiaina" katika moja ya hotuba zake alipogusia kwamba mchango wa askari waliopoteza maisha hautasahaulika.
..kupata taarifa nzima soma hapa chini.
Rwandan troops ‘dying in large numbers in DRC’, despite official denials of role
Exclusive: Sources say thousands of RDF killed supporting M23 rebels in eastern Congo, intensifying pressure on Kigaliwww.theguardian.com
Waliokuwa wanamuona Kagame kama wbattle-hardened cookie, waanze kufikiri upya. Niliwahi kuhoji kuwa kama alimshindwa Habyarimana hadi akamtungua, tukitia buti si atakiona alichokiona mwenzake Amin.
Hao unaowaita viongozi wengi ni wasanii wa kawaida au tuseme mapedejeee. Sioni kiongozi hapo zaidi ya wezi waitwao viongozi..majeshi ya Tanzania, Malawi, na South Africa, yamekutwa flat footed, ndio maana wamepoteza maeneo na ngome zao.
..jeshi la Congo, pamoja na wanamgambo wao, wameonyesha utovu wa nidhamu, na uwezo wa mdogo, katika uwanja wa mapambano.
..pia nchi za SADC hazijaonyesha nia ya dhati kwa kutoa vifaa na askari wa kutosha kuitetea DRC. Mazingira hayo ndiyo yaliyopelekea M23 na Rwanda kujiamini na kushambulia ngome za nchi za SADC.
..DRC na SADC wasipokuwa makini msishangae M23 na Rwanda wakafika Kinshasa.
NB:
..nahisi SADC ya miaka hii imepungukiwa viongozi wenye mioyo ya kishujaa kama Julius Nyerere, Samora Machel, Robert Mugabe, au Sam Nujoma.
Cc Nguruvi3
Apelekwe Major. General Mwakibolwa akamalize kazi period!..majeshi ya Tanzania, Malawi, na South Africa, yamekutwa flat footed, ndio maana wamepoteza maeneo na ngome zao.
..jeshi la Congo, pamoja na wanamgambo wao, wameonyesha utovu wa nidhamu, na uwezo wa mdogo, katika uwanja wa mapambano.
..pia nchi za SADC hazijaonyesha nia ya dhati kwa kutoa vifaa na askari wa kutosha kuitetea DRC. Mazingira hayo ndiyo yaliyopelekea M23 na Rwanda kujiamini na kushambulia ngome za nchi za SADC.
..DRC na SADC wasipokuwa makini msishangae M23 na Rwanda wakafika Kinshasa.
NB:
..nahisi SADC ya miaka hii imepungukiwa viongozi wenye mioyo ya kishujaa kama Julius Nyerere, Samora Machel, Robert Mugabe, au Sam Nujoma.
Cc Nguruvi3
Safi sana kilichobaki sasa ni kumkamata Kagame mwenyewe na his people close to him, possibly his family na kuwashughuikia ipasavyo before killing them...
..maiti wamekuwa wengi mno, askari wa vyeo vya chini wanazikwa katika mass graves huko DRC.
..miili ya maofisa inayorudishwa Rwanda ina hali mbaya ya kutisha, familia zinalazimishwa kuzika bila kuonyeshwa wapendwa wao.
..Mzee Kagame amekiri "kiaina" katika moja ya hotuba zake alipogusia kwamba mchango wa askari waliopoteza maisha hautasahaulika.
..kupata taarifa nzima soma hapa chini.
Rwandan troops ‘dying in large numbers in DRC’, despite official denials of role
Exclusive: Sources say thousands of RDF killed supporting M23 rebels in eastern Congo, intensifying pressure on Kigaliwww.theguardian.com
SADC kama NATO tu ndio maana Trump kawaambia watoe mchango sawa, kama ni pesa watoe, na silaha watoe, utegemezi unamwisho...majeshi ya Tanzania, Malawi, na South Africa, yamekutwa flat footed, ndio maana wamepoteza maeneo na ngome zao.
..jeshi la Congo, pamoja na wanamgambo wao, wameonyesha utovu wa nidhamu, na uwezo wa mdogo, katika uwanja wa mapambano.
..pia nchi za SADC hazijaonyesha nia ya dhati kwa kutoa vifaa na askari wa kutosha kuitetea DRC. Mazingira hayo ndiyo yaliyopelekea M23 na Rwanda kujiamini na kushambulia ngome za nchi za SADC.
..DRC na SADC wasipokuwa makini msishangae M23 na Rwanda wakafika Kinshasa.
NB:
..nahisi SADC ya miaka hii imepungukiwa viongozi wenye mioyo ya kishujaa kama Julius Nyerere, Samora Machel, Robert Mugabe, au Sam Nujoma.
Cc Nguruvi3
SADC kama NATO tu ndio maana Trump kawaambia watoe mchango sawa, kama ni pesa watoe, na silaha watoe, utegemezi unamwisho.
Sasa huko SADC ni hayo hayo, kutegeana.