4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
Kwa mkutadha huu ,mpaka sasa kesi ya mh lissu imekua na mvuto kuliko hata uchaguzi usemwao upo ,ila Mungu wangu ananiambia haupo.Wakuu jf amani ya Bwana ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake .
Rejea mada tajwa hapo juu.
Mnajua mh lissu bado yupo mahabusu kwa kesi ya kubumba na wapiga doria kwenye mitandao ya kijamii.
Na ikumbukwe juzi alitoa wasilisho lake mbele ya mahakama kisutu kabla ya tarajio la kesi yake kwenda mahakama kuu.
Kwenye wasililisho lake amedokeza mashahidi watatu kati ya mashahidi wake alionao ambao ni
1.Rais wa Jamuhuri ya Muungano(Ssh)
2. Makamu wake
3.Waziri mkuu ,
Wengine bado hajawataja.
Kwa mkutadha huu ,mpaka sasa kesi ya mh lissu imekua na mvuto kuliko hata uchaguzi usemwao upo ,ila Mungu wangu ananiambia haupo.
Tafadhali vyombo vya ulinzi , wazalendo ,walindeni mashahidi wa mh lissu kwa wivu mkubwa , sio mda watatakiwa kufika mahakama kuu na kusimama kizimbani pale , na ni lazima wajibu maswali ya mstakiwa .
Mungu mwema siku zote.
Thanks
Sijuii kwa nini naamini UCHAGUZI haupo hili Jambo linanitatiza sana. Nawaza mbona Dr. Sule gwiji wa ndoto aliingia kwenye mtifuano hakuona hili? Nadhani nijielekeza vibayaWakuu jf amani ya Bwana ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake .
Rejea mada tajwa hapo juu.
Mnajua mh lissu bado yupo mahabusu kwa kesi ya kubumba na wapiga doria kwenye mitandao ya kijamii.
Na ikumbukwe juzi alitoa wasilisho lake mbele ya mahakama kisutu kabla ya tarajio la kesi yake kwenda mahakama kuu.
Kwenye wasililisho lake amedokeza mashahidi watatu kati ya mashahidi wake alionao ambao ni
1.Rais wa Jamuhuri ya Muungano(Ssh)
2. Makamu wake
3.Waziri mkuu ,
Wengine bado hajawataja.
Kwa mkutadha huu ,mpaka sasa kesi ya mh lissu imekua na mvuto kuliko hata uchaguzi usemwao upo ,ila Mungu wangu ananiambia haupo.
Tafadhali vyombo vya ulinzi , wazalendo ,walindeni mashahidi wa mh lissu kwa wivu mkubwa , sio mda watatakiwa kufika mahakama kuu na kusimama kizimbani pale , na ni lazima wajibu maswali ya mstakiwa .
Mungu mwema siku zote.
Thanks
Mkuu Mungu anasema uchaguzi mwaka huu hakuna.Sijuii kwa nini naamini UCHAGUZI haupo hili Jambo linanitatiza sana. Nawaza mbona Dr. Sule gwiji wa ndoto aliingia kwenye mtifuano hakuona hili? Nadhani nijielekeza vibaya
Wanasheria tafadhali jibuni swali la mdauWataalam wa Sheria nisaidieni kujua......
Hivi Kwa aina ya Kesi kama ya Lissu Mshitakiwa ana uwezo wa kuorodhesha Mashahidi wake bila hata kuongea nao ama kuwaomba wawe Mashahidi kwenye Kesi yake..!?
Hii kesi ya kutunga kama zilivyo nyingine (Hata Yesu Kristo ilikuwa hivi)Kwa mkutadha huu ,mpaka sasa kesi ya mh lissu imekua na mvuto kuliko hata uchaguzi usemwao upo ,ila Mungu wangu ananiambia haupo.
Na imekua mkuuHii kesi ya kutunga kama zilivyo nyingine (Hata Yesu Kristo ilikuwa hivi)
Penye uovu mwenyezi Mungu hupaharibu (someni maandiko)
Upande wa HAKI utashinda dhidi ya upande wa UDHALIMU
Patamu hapana ni lazima wajibu maswali ya mstakiwa .
Patamu sana mkuuPatamu hapa
Wameyataka watayapataCCM imeishiwa Akili
Ya kufunga maamdaziTutaona kama kweli ana PhD japo ya kupewa pale UDSM
Hajui Dunia , hajui nyuma ya lissu yapo magwiji wa sheria?Mayor Quimby anasema Lissu hajui sheria na ameshakubali uhaini tayari mahakamani anasubiria hukumu ya kunyongwa tu 🤣
Originaly academic hana phd mzee baba, ila nawaburuza vibayaTutaona kama kweli ana PhD japo ya kupewa pale UDSM