Habari za Lissu zinatembea kama mabua yaliyochomwa moto

Habari za Lissu zinatembea kama mabua yaliyochomwa moto

Hakika, hata mimi ninajiuliza sana hawa watu wawili Polepole na Askofu Gwajima, wana CCM kindakindaki wana Siri ya ukweli upi ambazo wakizisema watu watashangaa, kupigwa butwaa na nchi kutikisika...?

Bila shaka ni mbinu zao hizihizi za chaguzi za uongo na kubumba....

Anyway, tuache speculations. Ngoja tuone kesho itakuwaje...
Labda na mmiliki wa kikundi cha utekaji wa muda wote
 
Kweli, akili kubwa lakin za kijinga, badala awe serious na kesi yeye analeta ujuaji. Ngoja tuone hao mashahidi kama watamsaidia kushinda kesi.
Mtu anakushitaki halafu wewe unasema eti ni shahidi wako.
Yaani wewe hujui kitu bro ..hadi kuwataja anajua mtego wake..
 
Kweli, akili kubwa lakin za kijinga, badala awe serious na kesi yeye analeta ujuaji. Ngoja tuone hao mashahidi kama watamsaidia kushinda kesi.
Mtu anakushitaki halafu wewe unasema eti ni shahidi wako.
Rais Samia amemshitaki lisu wapi?labda lilikundi la wahuni ambalo limemzonga mama
 
Sasa ivo vipeperushi si vya kutengeneza vitoto tu vinachapisha kwaiyo ndio Ushahidi wa kuwa CCM imeiba kura kwanini msiende na uwo Ushahidi wenu Mahakamani kudai ushindi wenu

Ndio utajua ikaratasi vyakufungia vitumbua 🤣🤣🤣
Japo ukweli hutaki ila jua huo ji uhalisia kabisa hakuna cha vipeperushi hapo. Mahakama ipi ikasikilize kesi ya kupinga matokeo ya uraisi?
 
Back
Top Bottom