Unasema haya ukiwa na akili zako timamu kabisa au kidogo zimefyatuka..?
Kwamba John Magufuli alimshinda Tundu Lissu kwenye sanduku la kura kwenye uchaguzi mkuu wa 2020..!????
SIO KWELI 100%...!!
Huyo hayati alitangazwa tu. Kama ni kura tu ndani ya sanduku la kura, alizidiwa kwa mbali sana na TL. Za ndani huko zinasema, Magufuli alipata kura chini ya 25% huku Tundu Lissu na CHADEMA wakipata kura zaidi ya 70%....!!
Unataka ushahidi kuthibitisha hili...?
Ni huu hapa👇🏻👇🏻👇🏻;
Kwamba, ukiachilia mbali kuwa Magufuli alitangazwa kwa mdomo tu kuwa ndiye mshindi wa u - Rais, mpaka leo Tume ya Uchaguzi haijatangaza matokeo ya kura ya u - Rais jimbo kwa jimbo na kuyachapisha ktk gazeti la serikali na kwenye tovuti yao ya tume kama sheria inavyotaka🤔🤔🤔!!!
Unajua sababu ni nini..?
1. Ni kwa sababu kilichotangazwa ni uongo, forgery, jamaa yako hakushinda. Aidha, mpaka leo wameshashindwa kuchakachua matokeo ili yatoe picha isiyo na shaka wala maswali kuwiana na kile walichotangaza hadharani...!!
2. Hata matokeo ya ubunge, ni takataka tupu kwa sababu kuna kura za maruhani nchini kote zaidi ya 2,300,000 kuonesha kuwa chaguzi zetu huwa ni wizi mtupu...!!
Ndio maana nakuuliza, unaandika utumbo wako ukiwa na facts kweli, au ni kwa sababu ya mzuka wa kijinga tu unaokusumbua kichwani mwako...!!