Habari za Lissu zinatembea kama mabua yaliyochomwa moto

Lissu akili kubwa yule
Kweli, akili kubwa lakin za kijinga, badala awe serious na kesi yeye analeta ujuaji. Ngoja tuone hao mashahidi kama watamsaidia kushinda kesi.
Mtu anakushitaki halafu wewe unasema eti ni shahidi wako.
 
Lissu akili kubwa yule
Na ndiyo maana Jiwe aliona hamwezi akajaribu kumuua ngoma ikadundaa - sasa mtu kama huyo mpishe apite.
Majuzi kati kamtimulia vumbi mwenyekiti wake hadi leo Mzee wa watu haamini kilichotokea pale Mlimani city...

Lissu mwachemi aende - hamtamuweza, Jana hakimu wa Kisutu kashukuru kesi imeondoka mikononi mwake.
Walau jana hakimu alipata usingizi - Wakili wa Serikaki Katuga na yeye ni hoi anakesha kurudi kusoma sheria upya hali ngumu.

Mtu kama huyo mwache aende.
 
Kweli, akili kubwa lakin za kijinga, badala awe serious na kesi yeye analeta ujuaji. Ngoja tuone hao mashahidi kama watamsaidia kushinda kesi.
Mtu anakushitaki halafu wewe unasema eti ni shahidi wako.
Na unawezaje kuwa serious na kesi ambayo haipo serious,sio kesi ya Lissu tu kesi zote za kisiasa Duniani hazina uhalisia ni ngonjela.
 
Wanaopambana na Lissu lazima mwisho wao uwe mbaya
 
Wataalam wa Sheria nisaidieni kujua......

Hivi Kwa aina ya Kesi kama ya Lissu Mshitakiwa ana uwezo wa kuorodhesha Mashahidi wake bila hata kuongea nao ama kuwaomba wawe Mashahidi kwenye Kesi yake..!?
Je, walengwa au waathirika wa tukio la ujambazi wanatakiwa waombwe kuwa mashahidi? Uhaini ni dhidi ya serikali ikiongozwa na Mh Rais, naibu wake na Waziri Mkuu. Iwapo lengo la haini lingetimia, yumkini wakuu hao sio tu wangepoteza nafasi zao bali pia wangeweza kuuawa. Hivyo watatu hao yawapasa wakasimame mahakamani kudhitisha kuwa kulikuwa na kitisho dhidi yao. Ni maoni yangu kama mbumbumbu wa sheria (layman), so please correct me if I’m wrong
 
Endelea kukufuru mpumbavu wewe; Mungu gani aumbe mtu halafu ageuke kuwa mke na kibaraka huko ulaya?!!!
 
Wataalam wa Sheria nisaidieni kujua......

Hivi Kwa aina ya Kesi kama ya Lissu Mshitakiwa ana uwezo wa kuorodhesha Mashahidi wake bila hata kuongea nao ama kuwaomba wawe Mashahidi kwenye Kesi yake..!?
Katika nature ya kesi za jinai kama hii, ambao hupaswa kuandaa mashahidi first in hand ni waleta mashitaka ili kuthibitisha kuwa kosa lilitendeka...

Mshitakiwa, hujua nani awe shahidi yake kwa kadiri ya mtiririko (proceedings) kesi inavyoendelea na kwa kadiri ya mashahidi wa upande wa mashitaka wanavyotoa maelezo yao...

Kwa mfano shahidi anapojieleza kusema;

"Ndio nilimuona kidonto akiiba TV kutoka dukani kwa Mangi Meza na wakati huo huo Mayor Quimby ambaye ni rafiki yake alikuwa nje ya duka akimsubiri atoke wakimbie na hiyo TV "

Kwa maelezo haya ya shahidi huyu, mshitakiwa anaweza kumuita Mayor Quimby kuwa shahidi wake ili kuu - counter attack ushahidi wa shahidi huyu na kuufanya uwe uongo kwa kuwa wewe labda hata humjui huyo Mayor Quimby

As for Tundu Lissu's case. Watoa mashitaka (Jamhuri), wamedai kuwa Tundu Lissu alitaka kufanya uhaini ili kupindua serikali, si tu kupindua bali amemtishia Rais Samia, VP Mpango, PM Majaliwa na pengine Judge Mkuu na Spika wa mbunge...

Sasa hapa, ni halali kabisa hawa kuwa mashahidi wa upande wa utetezi ili waje waseme walitishiwaje, wapi na kwa njia ngani...
 
Ooh....! Asante sana Mwanasheria Kwa tafasiri hii, nimejifunza jambo la Sheria Leo.
 
Amuwezi nini Lisu ni jumba bovu tu. mbona Rip JPM alipambanae kwenye Uchaguzi Lisu na Chadema yake 2020 😝😝

Lisu kapata kura chache sana ndio Sababu Uchaguzi wa 2025 kasusia kajua atoboi nani jinga jinga la kumpigia kura zombi yule.

Levo yake ni Ubunge tu mitaa ya kwao kwao uko,
 
Unasema haya ukiwa na akili zako timamu kabisa au kidogo zimefyatuka..?

Kwamba John Magufuli alimshinda Tundu Lissu kwenye sanduku la kura kwenye uchaguzi mkuu wa 2020..!????

SIO KWELI 100%...!!

Huyo hayati alitangazwa tu. Kama ni kura tu ndani ya sanduku la kura, alizidiwa kwa mbali sana na TL. Za ndani huko zinasema, Magufuli alipata kura chini ya 25% huku Tundu Lissu na CHADEMA wakipata kura zaidi ya 70%....!!

Unataka ushahidi kuthibitisha hili...?

Ni huu hapaπŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»;

Kwamba, ukiachilia mbali kuwa Magufuli alitangazwa kwa mdomo tu kuwa ndiye mshindi wa u - Rais, mpaka leo Tume ya Uchaguzi haijatangaza matokeo ya kura ya u - Rais jimbo kwa jimbo na kuyachapisha ktk gazeti la serikali na kwenye tovuti yao ya tume kama sheria inavyotakaπŸ€”πŸ€”πŸ€”!!!

Unajua sababu ni nini..?

1. Ni kwa sababu kilichotangazwa ni uongo, forgery, jamaa yako hakushinda. Aidha, mpaka leo wameshashindwa kuchakachua matokeo ili yatoe picha isiyo na shaka wala maswali kuwiana na kile walichotangaza hadharani...!!

2. Hata matokeo ya ubunge, ni takataka tupu kwa sababu kuna kura za maruhani nchini kote zaidi ya 2,300,000 kuonesha kuwa chaguzi zetu huwa ni wizi mtupu...!!

Ndio maana nakuuliza, unaandika utumbo wako ukiwa na facts kweli, au ni kwa sababu ya mzuka wa kijinga tu unaokusumbua kichwani mwako...!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…