Habari za Lissu zinatembea kama mabua yaliyochomwa moto

Roho inakuuma sana kama angekuwa hana mvuto hao ndugu zako wangepambana nae kwa namna hii ya nini?
 
Na akitaka kuthibitisha haya uliyosema ni huu ujinga unaofanyika now.......piga ua garagaza Samia, tume ya uchafuzi na wakubwa wote huko CCM wanaujua huu ukweli na ndio maana wanamuogopa Mh. Tundu Lissu, this time hali itakuwa mbaya zaidi. Polepole kasema kuna kitu ataongea kesho kama ushauri wake usipofanyiwa kazi, nahisi anaweza kwenda kuthibitisha haya uliyosema hapo juu.
 
Hii kesi ya kutunga kama zilivyo nyingine (Hata Yesu Kristo ilikuwa hivi)
Penye uovu mwenyezi Mungu hupaharibu (someni maandiko)
Upande wa HAKI utashinda dhidi ya upande wa UDHALIMU
Hivi yesu naye hakuwa na wakili, alijiwakilusha mwenyewe?

Walimuonea sana.
 
Akidhibitisha aya moto utawaka vibaya sana.
 
Story za vijiwe vya gahawa!
 
Kweli, akili kubwa lakin za kijinga, badala awe serious na kesi yeye analeta ujuaji. Ngoja tuone hao mashahidi kama watamsaidia kushinda kesi.
Mtu anakushitaki halafu wewe unasema eti ni shahidi wako.
Una level gani ya ELIMU ?
Unatokea maeneo gani hapa Tanzania?
Unawahi kuungua utapiamulo utotoni?
Kwenye familia yenu Kuna hata Mwenye PhD ?
 
Una level gani ya ELIMU ?
Unatokea maeneo gani hapa Tanzania?
Unawahi kuungua utapiamulo utotoni?
Kwenye familia yenu Kuna hata Mwenye PhD ?
Akijibu hata moja Niite kuku nipo pale, hawa machawa jamani muwe munawahurumia wakuu wana uwezo mdogo sana
 
Hbr ya mjini ni kesi ya kubumba ya mh.lisu pamoja na.mashahidi watatu huo uchaguzi hauna mashiko kabisa hasa pale salima mwalimu eti naye akitaka kuingia ikulu akinadi.sela zake za t.shirt na jeans na kapelo.
 
Naomba wajuzi wa Sheria mniambie hivi mtuhumiwa anaweza wataja mashahidi wake bila kuwahusisha katika mchakato?? Hii imekaaje?? Je si sawa na mtu kutangaza kua amekumbatia maji??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…