Habari za Lissu zinatembea kama mabua yaliyochomwa moto

Hongera kwa kulitambua hilo na umuhimu wake.
 
Hakika, hata mimi ninajiuliza sana hawa watu wawili Polepole na Askofu Gwajima, wana CCM kindakindaki wana Siri ya ukweli upi ambazo wakizisema watu watashangaa, kupigwa butwaa na nchi kutikisika...?

Bila shaka ni mbinu zao hizihizi za chaguzi za uongo na kubumba....

Anyway, tuache speculations. Ngoja tuone kesho itakuwaje...
 

Sasa huku ndiko unakosema Lissu alishindwa kihalali au unajitutumua kujidanganya?
 
Endelea kukufuru mpumbavu wewe; Mungu gani aumbe mtu halafu ageuke kuwa mke na kibaraka huko ulaya?!!!
ilq unahisi Mungu yupo kwenye Upumbavu wenu wa kubambikiza kesi za uongo watu?. Au alikuwa pamoja nanyi wakati mnampiga Lisu risasi dodoma?.
 
Ndio leo nasikia Kwaiyo Chadema ndio wameshinda Ubunge na kiti cha Urais. kumbe Lisu Rais mm sijui namwita kitambi🤣🤣!!!

. Kumbukumbu yangu ni Mbunge m'moja tu wakike ndio kashinda jimbo la Ally kesi Mkasi.

Nikuulize ndugu ww umedai unajua mambo ya chaguzi !!!

mwaka jana Uchaguzi wa Serikali za mitaa matokeo yapoje ??

Mm ninachojua CCM wameshinda kabla ya Uchaguzi 65% baada ya Uchaguzi CCM ikaongeza %33. Jumla 98% Upinzani kwa ujumla ukapata 2% wewe matokeo yako yapoje???

Ikiwa CCM chini ya Uwenyekiti wa Rais Samia Suluhu Hassan CCM imeshinda Uchaguzi wa Serikali za mitaa kwa 98% ichi kitendo ndicho kimefanya Chadema waweke mpira kwapani !!

Rais Samia Suluhu Hassan Watanzania wanampenda sana

tofaut na Genge la nyumbu mitandaoni mnadanganyana sanaaa. Poleni tu.
 
Kile kitambi kinaonekana ni cha ukoo wao. Lissu hata kwa kumtazama unaona kabisa ni kapuku mwenzetu tu.Kusingizia watu ni dhambi.
Wapi kile kitambi ndugu unakumbuka alitishia kugoma kula😆😆😆😆 mimi nilijisemeaga umu jamii forum ndio kwanza kwenye Dunia kumuona mwenye kitambi na anatishia kugoma kula.!!!

Hakuwai kugoma hatasikumoja kila siku tunasikia neno nitagoma nitagoma Sasa lini unagoma mjomba Lisu🤣🤣🤣🤣 mwisho kafuta mgomo juu kwa juu chezea kitambi ww😆😆
 
Endelea kukufuru mpumbavu wewe; Mungu gani aumbe mtu halafu ageuke kuwa mke na kibaraka huko ulaya?!!!
Kwa ukiwa kibaraka waarabu sawa acheni huo ujinga siasa za maji taka zimepitwa na wakati kwa hiyo Lissu ndo anaeuza rasilmali za nchi mmekomba mpaka pesa za mfuko wa road fund
 
Haahaa yule hakimu aitwaye kiswaga alikuwa anatetemeka aloiposikia mwamba anamtamka shahidi mmojawapo akiwa Samia, alitamani kujificha chini ya meza...
 
Kweli, akili kubwa lakin za kijinga, badala awe serious na kesi yeye analeta ujuaji. Ngoja tuone hao mashahidi kama watamsaidia kushinda kesi.
Mtu anakushitaki halafu wewe unasema eti ni shahidi wako.
Hivi unafikiri kawatamka kwa bahati mbaya? Lissu anaijua anachokifanya, ndo maana hakimu kiswaga alitamani kujificha chini ya meza wakati mwamba anamtamka mashahidi wake
 
Africa mjitahidi kuchagua viongozi wenye akili kubwa ili wasibabaishwe na akili kubwa. Chagueni akili kubwa ili ipambane na akili kubwa. Professor Lumumba alisema "In Africa we elect fools to the office "
 
Kweli, akili kubwa lakin za kijinga, badala awe serious na kesi yeye analeta ujuaji. Ngoja tuone hao mashahidi kama watamsaidia kushinda kesi.
Mtu anakushitaki halafu wewe unasema eti ni shahidi wako.
Jaribu kufikiri zaidi ya hapa.
 
Unatumia kitambi kuhamisha msingi wa mada mezani au sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…