Habari za Lissu zinatembea kama mabua yaliyochomwa moto

Hajui chochote mihemko tupu
 
Wataalam wa Sheria nisaidieni kujua......

Hivi Kwa aina ya Kesi kama ya Lissu Mshitakiwa ana uwezo wa kuorodhesha Mashahidi wake bila hata kuongea nao ama kuwaomba wawe Mashahidi kwenye Kesi yake..!?
Shahidi huwa haombwi. NI takwa la kisheria. Ushahidi sio uchumba
 

Wakati huo huo Slow Slow ameendelea kubamba
 

Attachments

  • LEO_TAR_20_08_2025_BILA_WOGA_HUMPHREY_POLEPOLE_AWATAJA_WAHUNI_WOTE_KWA_MAJINA,_AMSHAURI_RAIS_S...mp4
    19.2 MB
Kuna ulazima gani kujiaibisha kiasi hiki?
 
Kwa ukiwa kibaraka waarabu sawa acheni huo ujinga siasa za maji taka zimepitwa na wakati kwa hiyo Lissu ndo anaeuza rasilmali za nchi mmekomba mpaka pesa za mfuko wa road fund
We jinga kabisa, kwakuwa nyie mmekuwa wake wa wazungu basi hamna kingine mnawaza
 
Saizi stori ya mjini ni Mpina,Kiroboto
 
Chadema kwa sasa sio tena chama cha kisiasa bali kimekuwa ni genge la kihuni linalo ratibu vitendo vya kihalifu, tujitenge na hili genge.
 
Chadema kwa sasa sio tena chama cha kisiasa bali kimekuwa ni genge la kihuni linalo ratibu vitendo vya kihalifu, tujitenge na hili genge.
Umevuta Bangi hadi umekuwa chizi hapo ghetto kwa Amos makala, chadema lingekuwa Genge mngehangaika kuwaua kuwateka kuwanyanyasa kuwabambikia kesi za uongo?
 
Tutaona kama kweli ana PhD japo ya kupewa pale UDSM
Hana Phd ana masters Tu! Na GPA ya kawaida ila ni wale alumn wa kipindi kile UDSM ikiwa home of intellectuals kweli kweli! Vijana wa Leo mnaharibu kariba ya chuo chetu. Mnachojua ni uchawa tu!
 
Kweli, akili kubwa lakin za kijinga, badala awe serious na kesi yeye analeta ujuaji. Ngoja tuone hao mashahidi kama watamsaidia kushinda kesi.
Mtu anakushitaki halafu wewe unasema eti ni shahidi wako.
Kwaiyo kumbe raisi makamu raisi pamoja na waziri mkuu ndio wamemshtaki lisu mtajisema tu na bado mnatakiwa kwenda kusimama mahakamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…