900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 9,485
- 11,556
Nimeelewa sasa kwanini mwamba kasema anajitetea mwenyewe, sidhani kama mawakili wake wangeweza kuwataja hao mashahidiMkuu watajitokeza hao mashahidi?, Najiuliza pia hivi kajifikiriaje kuwataja hao?.
Labda na mmiliki wa kikundi cha utekaji wa muda woteHakika, hata mimi ninajiuliza sana hawa watu wawili Polepole na Askofu Gwajima, wana CCM kindakindaki wana Siri ya ukweli upi ambazo wakizisema watu watashangaa, kupigwa butwaa na nchi kutikisika...?
Bila shaka ni mbinu zao hizihizi za chaguzi za uongo na kubumba....
Anyway, tuache speculations. Ngoja tuone kesho itakuwaje...
Lisu bhana kamwambia hakimu usinipangie mashahidi wangu wewe Kazi yako ni kuandika ilitwende mbeleHaahaa yule hakimu aitwaye kiswaga alikuwa anatetemeka aloiposikia mwamba anamtamka shahidi mmojawapo akiwa Samia, alitamani kujificha chini ya meza...
Mpina Siku zake zinahesabika monalisa kakomaanaye,labda kwavile Yuko CCM b ataendelea na kampeniSaizi stori ya mjini ni Mpina,Kiroboto
Yaani wewe hujui kitu bro ..hadi kuwataja anajua mtego wake..Kweli, akili kubwa lakin za kijinga, badala awe serious na kesi yeye analeta ujuaji. Ngoja tuone hao mashahidi kama watamsaidia kushinda kesi.
Mtu anakushitaki halafu wewe unasema eti ni shahidi wako.
Baadhi ya wanawake wakiwa mwezini akili hufyatuka mkuuKuna ulazima gani kujiaibisha kiasi hiki?
Rais Samia amemshitaki lisu wapi?labda lilikundi la wahuni ambalo limemzonga mamaKweli, akili kubwa lakin za kijinga, badala awe serious na kesi yeye analeta ujuaji. Ngoja tuone hao mashahidi kama watamsaidia kushinda kesi.
Mtu anakushitaki halafu wewe unasema eti ni shahidi wako.
Rais Samia amemshitaki lisu wapi?labda lilikundi la wahuni ambalo limemzonga mama
kwahiyo Kwa uelewa wako saa100 ni mpenzi mtazamajiRais Samia amemshitaki lisu wapi?labda lilikundi la wahuni ambalo limemzonga mama
Japo ukweli hutaki ila jua huo ji uhalisia kabisa hakuna cha vipeperushi hapo. Mahakama ipi ikasikilize kesi ya kupinga matokeo ya uraisi?Sasa ivo vipeperushi si vya kutengeneza vitoto tu vinachapisha kwaiyo ndio Ushahidi wa kuwa CCM imeiba kura kwanini msiende na uwo Ushahidi wenu Mahakamani kudai ushindi wenu
Ndio utajua ikaratasi vyakufungia vitumbua 🤣🤣🤣